Alfan issa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,262
- 882
Haya sasa
Nina imani mkataba huu ni kwa nia njema ya kuakikisha tunajenga uwezo wa kupambana na wanaofanya uhalifu kupitia mtandao na si kuwafunga vinywa watu wenye maoni tofauti na watawala. Ukiwafumba watu vinywa wataongea kwa vitendo ambayo ndio hatari Zaidi.View attachment 498281
Sasa Vijana Mnaotukana Hovyo Kaeni Mkao wa Kuliwa maana wale jamaa kwa tekchnolojia ya Mawasiliano wako Mbali sana.
Tuombe Mungu wasimshauri Rais Kuzifuta Facebook, Instagram, Twitter na na WhatsApp
NB: SOUTH KOREA
Hiv unajua kuifuta facebook na whatsapp na insta ni almost impossible... mitandao yote ni ya america.. na south korea ni mshirika wa karibu wa america. Bora ingekuwa hata North Korea..View attachment 498281
Sasa Vijana Mnaotukana Hovyo Kaeni Mkao wa Kuliwa maana wale jamaa kwa tekchnolojia ya Mawasiliano wako Mbali sana.
Tuombe Mungu wasimshauri Rais Kuzifuta Facebook, Instagram, Twitter na na WhatsApp
NB: SOUTH KOREA
Kumbe hapo tuna wahitaji wa North koreaHiv unajua kuifuta facebook na whatsapp na insta ni almost impossible... mitandao yote ni ya america.. na south korea ni mshirika wa karibu wa america. Bora ingekuwa hata North Korea..
Itakuwa Korea ya dogo PankiMkuu Kuna Nchi Mbili zinazotumia Jina la KOREA sasa ni IPI?
Kama ni huyo mwehu tukae mkao wa kunyolewa panki na waheshimiwa wa duniaSipati picha kama iwe tumeingia mkataba na Korea ya yule Dogo mapanki (North Korea).
Maana wakat Wa msako Wa Trump hakuna atayesalimika...chezea marekan wewe..utaumia
Umesahau wataalamu wa mikataba feki niwakinananani?Wale maprofesa udsm kwenye computer sio vipanga? Ukipanga wao kwenye mikataba ya uwekezaji tu. Vijana waliohitimu computer science wafanyekazi gani? Wale vijana wa ucc hawawezi hadi tulete mamluki kutoka korea?
Kumbe hapo tuna wahitaji wa North korea
South koreaDuh, Korea ipi .....................!!? Kaskazini au Kusini!!?
Wafute TU maana hata wee hautapata nafasi kuchangia mada na kutumia mtandao wa kijamiiView attachment 498281
Sasa Vijana Mnaotukana Hovyo Kaeni Mkao wa Kuliwa maana wale jamaa kwa tekchnolojia ya Mawasiliano wako Mbali sana.
Tuombe Mungu wasimshauri Rais Kuzifuta Facebook, Instagram, Twitter na na WhatsApp
NB: SOUTH KOREA
kwa tanzania hutapata chochote cha maana ndani ya mitandao ya serikaliNilidhani wapo wanadili na usalama wa tovuti za serikali ambazo zipo uchi na Mara kwa Mara huwa zinadukuriwa. Kiuchumi, vipi swala LA ajira kwenye huo uwekezaji wa Korea hapa TZ.