Korea yakubali Kuisadia Tanzania Usalama wa Mtandao wa Internet

Nilidhani wapo wanadili na usalama wa tovuti za serikali ambazo zipo uchi na Mara kwa Mara huwa zinadukuriwa. Kiuchumi, vipi swala LA ajira kwenye huo uwekezaji wa Korea hapa TZ.
Nchi yangu wakati mwingine nabakia Haaa!
 
View attachment 498281

Sasa Vijana Mnaotukana Hovyo Kaeni Mkao wa Kuliwa maana wale jamaa kwa tekchnolojia ya Mawasiliano wako Mbali sana.

Tuombe Mungu wasimshauri Rais Kuzifuta Facebook, Instagram, Twitter na na WhatsApp

NB: SOUTH KOREA
Kinachosababisha tusi au tukano ni ubongo na mdomo, sasa sijui na vyenyewe watavifungwa kwa mtandao gani?
 
Hapo kinachofanyika ni wao kutupatia teknolojia wanazotumia halafu sisi wenyewe tunazifunga na kuzitumia kwa utashi wetu kung'amua shughuli za udukuzi wa kijasusi na uhalifu mwingine wa kimtandao.

Naona serikali ya Tanzania imeona umuhimu wa ulinzi wa mitandao yake na mawazo kama hili kupitia hapa na mengine yanasaidia sana: Ujasusi wa Kiuchumi na Kiteknolojia unakuwa kwa kasi, Je Tanzania iko tayari

Hii ni serikali makini, big up.
Hizo teknolojia watakazotupa ni nani atafanya auditing kuhakikisha hakun backdoors wala any dialing home kind of stuffs. Unajua why China baadhi ya Windows hazikuruhusiwa at release?

I wish them all the best in their endeavor. Lakini wakumbuke no neighbor have got no stabbing interest. Its a matter of when and how...
 
Tanzania ina watu mamilioni kwa nini tusisomesha watoto wetu waje waitumikie nchi yao .DIGITAL ERA haepukiki ,tuwe na watu wetu watakaobuni kitu chetu kulingana na mazingira yetu . nguo ya kuazima haisitir makalio.
 
Ukiwa Korea kusini hutasikia wanaizungumzia North Korea, hawa hujitegemea na hawana mafungano na North Korea na mara nyingi huiita Korea bila kuongeza neno. Ila North Korea ukiitaja lazima uongeze North.
Mtu akisema Korea ujue ni ile iliyopo kusini mwa North Korea.
Nimewafungua wanaouliza ni Korea ipi.Ni sawa tu na Sudan kama Sudan na Sudan kusini.
 
Hizo teknolojia watakazotupa ni nani atafanya auditing kuhakikisha hakun backdoors wala any dialing home kind of stuffs. Unajua why China baadhi ya Windows hazikuruhusiwa at release?

I wish them all the best in their endeavor. Lakini wakumbuke no neighbor have got no stabbing interest. Its a matter of when and how...

Wapo vijana wengi tu wamesoma hata hukohuko Korea Kusini na Uchina, bila kuwasahau wale wa udsm.

Ukifanya auditing unaangalia mambo yote uloyataja kama hilo la "dialling home."

Kila kitu kipo sawa.
 
Hii inamaanisha jamaa pia wanaweza kutumia njia hii kufahamu siri zetu. Mbaya sana!
akili za kuvukia barabara ni sawa na kununua magari ya washa washa badala ya kununua magari yenye bullet proof kwaajili ya askari wetu wanapo pambana na majambazi ama magaidi 'bullet proof devices' Lakini kuna vijana wetu wengi wamesoma hukohuko korea na china
 
Back
Top Bottom