Arnold Kalikawe
Senior Member
- Sep 28, 2016
- 152
- 377
Hongera kwao, hatimae wamepata Cha kujivunia. Hizi takwimu ndio zinambeba Mangungu, kabla yake timu ilikuwa hoi sana.Hizi ndio klabu za soka zenye thamani ya juu zaidi Afrika Mashariki, kwa klabu zilizoweka wazi takwimu zao.
Kutoka chanzo cha kuaminika cha TransferMarkt Klabu tatu kubwa Tanzania ndio zinaongoza katika orodha hii.
View attachment 2967455
Ongeza na haya kaka mtafika mbali saanaHizi ndio klabu za soka zenye thamani ya juu zaidi Afrika Mashariki, kwa klabu zilizoweka wazi takwimu zao.
Kutoka chanzo cha kuaminika cha TransferMarkt Klabu tatu kubwa Tanzania ndio zinaongoza katika orodha hii.
View attachment 2967455
Hahahaha ndio nami najiulizaMnapenda sana kujifariji. Utajiri ipi huo?
Gongowazi watabishaHiyo ni kweli kwenye ukweli tuseme ukweli tu... Daima simba inathamani kuliko yanga, pia brand ya simba ni kubwa na inauzika tofauti na Yanga.
Channel ya whatsapp sio ubunifu wa Simba, hawakuwa na hiyo channel Ila walipogundua kuwa timu zote kubwa duniani zina channel huko whatsap hawakujivunga, walifungua hiyo channel na wamepata followers wengi kutoka sehemu mbalimbali duniani.Ongeza na haya kaka mtafika mbali saana
Mpewe maua yenu, ila kama ule mnara wa Ismail Aden Rage unacheleleweshwa ujenzi wake na Hali ya umbumbumbu itaongezeka.Hiyo ni kweli kwenye ukweli tuseme ukweli tu... Daima simba inathamani kuliko yanga, pia brand ya simba ni kubwa na inauzika tofauti na Yanga.
Wameshaingiziwa tayari, kwa nini wahangaike kuingiza wakati wamewazidi 🐸🐸 wasio na mkwanja mrefu.Kama nawaona mwisho wa mwaka watakavyoliingiza hili kwenye Mafanikio ya Club..!😂
Hapa tutofautishe kati ya timu kuwa tajiri na timu kuwa na kikosi chenye thamani kubwa. Kuwa na kikosi chenye thamini kubwa si utajiri wa timuHizi ndio klabu za soka zenye thamani ya juu zaidi Afrika Mashariki, kwa klabu zilizoweka wazi takwimu zao.
Kutoka chanzo cha kuaminika cha TransferMarkt Klabu tatu kubwa Tanzania ndio zinaongoza katika orodha hii.
View attachment 2967455
Kwamba Simba anamzidi Mazembe timu yenye kiwanja chake na private jet?Hiyo ni kweli kwenye ukweli tuseme ukweli tu... Daima simba inathamani kuliko yanga, pia brand ya simba ni kubwa na inauzika tofauti na Yanga.
Kama hujaridhika na wewe fanya utafitiKwamba Simba anamzidi Mazembe timu yenye kiwanja chake na private jet?
Klabu tajiri hata viwanja hazina, klabu masikini ndiyo zenye viwanja.Miamba ya Tanzania Simba Yanga na Azam inaingiza Orodha hiyo katika nafasi ya kwanza Hadi ya Tatu huku nafasi ya nne ikishikwa na Tp Mazembe
Orodha kamili
1. Simba
2. yanga
3. Azam
4. Tp Mazembe
5. Vipers
6. Lupopo
7. DC motemapembe
8. APR
9. Kenya polisi
10. Namungo
11. Tanzania prisons
12. Singida bc
13. Villa Kampala
14. Gormahia
Chanzo Orodha ya klabu tajiri Africa mashariki
Dewji oyeeeeHizi ndio klabu za soka zenye thamani ya juu zaidi Afrika Mashariki, kwa klabu zilizoweka wazi takwimu zao.
Kutoka chanzo cha kuaminika cha TransferMarkt Klabu tatu kubwa Tanzania ndio zinaongoza katika orodha hii.