Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,939
- 4,706
Kesho pia utasikia tena ushahidi CCM sio wamoja tena...baadae utasikia wanahujumiwa.
Mimi nadhani hili ni tatizo zaidi ya ujambazi, jambazi hutafuta hela ni si kutafuta silaha watanzania tukiendelea kujadili mambo kirahisi namna hii tujue tunazidi kuchelewa kulikabili tatizo.
Akili za kuambiwa changanya na za kwako.Juzi tuliambiwa tuna amani tele.. Akajisifu kwamba amewakomesha majambazi.. Sasa naona wamemtumia message..
Mimi nadhani hili ni tatizo zaidi ya ujambazi, jambazi hutafuta hela ni si kutafuta silaha watanzania tukiendelea kujadili mambo kirahisi namna hii tujue tunazidi kuchelewa kulikabili tatizo.
silaha zimepona kweli?
Mkuu hata uwezekano wa kutorosha wahalifu wenzao upoIna maana unafikiri walikuwa wanataka nini?
Kamanda kuwa muungwana kidogo ni vifo vya walinda Usalama wetu, kaka umeamka salama asubuhi shukuru Mungu! Baada ya jamaa kupata wazo kuwa wapige staki Shari, pengine ilikuwa wanaelekea home kwako?Kwa jinsi polisi walivyo waonevu sina haja ya kutoa pole