Kisheria zaidi: Serikali haijaipa Kenya madaktari


Nyie watu, kwa nini mwaingilia vitu visivyo wahusu, jibu lilitakiwa kuwa hatuna madaktari wakat madaktari kila siku mwaomba na kulalamikia wizara mkingoja AJIRA?
 
Umetoa madaktari 500 then unasema waombe kazi! Kama unawamiliki si uwaite kwa majina yao na kuwapa nauli waende Kenya? Haendi mtu msiwafanye wenzenu kafara ya kisiasa wakachomwe mwoto huko na Mungiki.....tengenezeni ajira hapa Tanzania waajiri madaktari hata 700 wakapunguze vifo huko vijijini na wilayani!!! Aceni siffa za kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…