Kisheria zaidi: Serikali haijaipa Kenya madaktari

Ha ha ha haa we kweli huelewi wala hujui kitu ...ni bora ukae kimya usikilize tu na sio kujitia kujibu hoja zisizokua na mashiko

hata kama kenya imeomba wizara jibu la wizara lilitakiwa kuwa hatuna Madaktari ... ila tutawatangazia ili wale wasio kua na ajira waje kuomba kazi.

Kama ambavyo atakae kwenda kenya kwa mujibu wa tangazo hilo atakua amekwenda kuomba kazu kwa kutaka mwenyewe!!

Nyie watu, kwa nini mwaingilia vitu visivyo wahusu, jibu lilitakiwa kuwa hatuna madaktari wakat madaktari kila siku mwaomba na kulalamikia wizara mkingoja AJIRA?
 
Umetoa madaktari 500 then unasema waombe kazi! Kama unawamiliki si uwaite kwa majina yao na kuwapa nauli waende Kenya? Haendi mtu msiwafanye wenzenu kafara ya kisiasa wakachomwe mwoto huko na Mungiki.....tengenezeni ajira hapa Tanzania waajiri madaktari hata 700 wakapunguze vifo huko vijijini na wilayani!!! Aceni siffa za kijinga
 
Back
Top Bottom