Kisa cha mbwa kumi wa Mfalme

Nimeumia sijui kwanini sometimes huwa niko emotional hivi, hili swala la kutumbua watu hadharani indeed ni jema kama utalitazama kwa jicho moja, lakini ni baya ukishugulisha fikra..... maana kila alitendalo mkuu huwa ni funzo kwa walio chini ya mamlaka yake.... sisi pia ni viongozi kwenye ngazi zetu... boss wa housegirl, boss wa mumeo au mkeo, bosi kwenye viwanda, hata boss wa bodaboda.... imagine umtumbue poor boda boda mbele ya boda boda wenzie... au umtumbue mkeo mbele ya house girl, au umtumbue mkeo mbele ya wanawakambo.... Allah know the best namuomba sana Allah awape hikma viongozi wetu... ameen
 
Nilibahatika kuwa na Mbwa asiye sikiliza amri, pia ni mlafi. Kiangazi kikaingia na chakula kikawa haba ndani ya nyumba. Utaratibu pekee ni kumtoa nje akafie huko nje na Mungu wake! tukamtoa nje.
Siku ya kwanza akatoka akarudi ndani, siku ya pili vivyo hivyo. Baada ya wiki akiwa amekonda na njaa Kali nikambeba kumtoa nje hadi kwenye shimo la taka ajaribu kufukuafukua uozo na mifupa . Ajabu alirudi ndani tena.
Tatizo ni nini kwa huyu Mbwa mlafi?
Watoto walipiga kelele, Mbwa karudiiiii....
Nafikiri unaelewa kilichofuata.....
 
Back
Top Bottom