Kiongozi wa Halmashauri Mafia adaiwa kumbaka Dada wa kazi. Je, Utenguzi alifanya Rais unahusiana na tukio hili?

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,833
4,586
1713477198885.png

Anaandika Boniface Jacob katika ukurasa wake wa X

Nimepokea taarifa mbaya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mafia inayohusu kiongozi mkubwa wa Halmashauri hiyo kumbaka mfanyakazi wake wa ndani (house girl) ambaye ana umri wa miaka 16.

Vyombo vya dola wilaya ya Mafia vyote vinafahamu lakini kwa masikitiko makubwa wameamua kumsaida mwenzao kwa kumlazimisha binti apokee fedha ili wamalize kesi.

Swali:
Je, tukio hili linaweza kuhusiana na Utenguzi alioufanya Rais Samia leo 19/04/2024

Soma:
- Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo

- Polisi Mafia wamchunguza DED aliyetenguliwa na Samia
 
Anaandika Boniface Jacob katika ukurasa wake wa X

Nimepokea taarifa mbaya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mafia inayohusu kiongozi mkubwa wa Halmashauri hiyo kumbaka mfanyakazi wake wa ndani (house girl) ambaye ana umri wa miaka 16.

Vyombo vya dola wilaya ya Mafia vyote vinafahamu lakini kwa masikitiko makubwa wameamua kumsaida mwenzao kwa kumlazimisha binti apokee fedha ili wamalize kesi.

Swali:
Je, tukio hili linaweza kuhusiana na Utenguzi alioufanya Rais Samia leo 19/04/2024

Soma: Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo
Hawa makada wa CCM sijui huwa wanavuta bangi ya wapi? DED si unaagiza demu kutoka hata Ulaya
 
Anaandika Boniface Jacob katika ukurasa wake wa X

Nimepokea taarifa mbaya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mafia inayohusu kiongozi mkubwa wa Halmashauri hiyo kumbaka mfanyakazi wake wa ndani (house girl) ambaye ana umri wa miaka 16.

Vyombo vya dola wilaya ya Mafia vyote vinafahamu lakini kwa masikitiko makubwa wameamua kumsaida mwenzao kwa kumlazimisha binti apokee fedha ili wamalize kesi.

Swali:
Je, tukio hili linaweza kuhusiana na Utenguzi alioufanya Rais Samia leo 19/04/2024

Soma: Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo
Kwani hizo pesa alizopewa sio msaada? Au ulitaka msaada gani?
 
Back
Top Bottom