Kiongozi mwema Sayyid Khalifa bin Haroub 1879 - 1960

Ndo maana mnafeli sana mitihani ya NECTA. Haya mambo hayaki hasira !!!

Yes ..ni kweli wanafeli...haya ni matokeo ya Mapinduzi yalo inyanganya znz uhuru wake . ukoloni maisha hawataki muelimike.
enzi za Seyyid Khalifa hakuna kufeli na tulijaz Makerere na University za Nje....
 
Mohamed Said jibu hili...tena kwa ufasaha kabisa,usifiche kitu wala usimung'unye kitu..
Lebron,
Zanzibar walikuwapo watu wakiishi wala hili si jambo la kubishana.

Kwani nani kakueleza kuwa historia ya Zanzibar inaanza na kuja
kwa Waomani Pwani ya Afrika Mashariki?

Hebu fanya rejea ya somo kabla ya kuja katika mjadala.
Soma hapo chini:

83j2J4qAI6POliStATwex3bCHdyzYBZnjumIUICfhTePI7TPhfnB6pZWMp5VZACEmYU2rFQQSApUzCqlxg-32fu1Asl85VVzm5Znsz8jAN6gUcwTPHVHKl7SUliGiPCk-PpJT9GVLZQDdkrMV3w0FvLN0ymxu414wV18YXMFTBwnbXStYFZZRDgGT5kGmjEhzjFGiqf8upp8sHp7DNFIujPPcWsnaT9ZdssH-2LLjxIocJxdCfnJY2dWuACNJQ9jbby6sXRr_23tVZI4OGQeRcmSTF6I-TctPJnX7yYirar_IY6gbCzbvjMpZRCmA9YCBOMJHTDvQwsjKszzwVqFbmEW_AlFHyWDCC6f908DE0C_iQ1BVsWcMFi6C-sAw9Df4eTU7x8suj2elDtz2yPpU2fvFRVRzS1gkyUmyQl5g3sb0eVk-DRCiYIe8uDl4YQe3Lvq5wDNaEu5PL2w4ukBBClXkAIqMkFpjN5HEsrw4MaSE3X6xuAckzkoPZiePpwRPbUAzPyD-zCzK91i4qexO0dEvxHY-kmZSxKmQ-HyfGG0FIrAcInVVAJjwAlULSelq6I2ThclPoDWa_Wnfs3GwFqj9l8WxOMKY1BVQrqf6p3J5MCBVa89-Q=w955-h554-no


Mohamed Said: NATIONAL MUSEUMS OF KENYA ILIVYOADHIMISHA UKARIMU WA OMAN
 
Sikusema chochote kuhusu mzungu infact ndiyo watu ninaowachukia to thé max
Basi kumbe unalo jibu hata wewe muafrika unawachukia wazungu. Unaweza usikubaliane na watu wengine kwa matendo yao lakini sio kuwachukia. Ni ushauri tu mkuu



Ndukiiiii
 
Utangulizi

Wapenzi wasomaji nimekuta ujumbe huu katika group moja katika Whatsapp na nimeupenda. Nimeona niuweke hapa kwa faida yetu sote. Ndani ya ujumbe huu kuna mengi ya kuzingatia na pia kushukuru kuwa leo tunaweza tukawakumbuka masultani waliotawala Zanzibar kwa kheri na kisha tukawaombe dua kwa Allah.

RcrMs6-xDoCSi7-rY-b99xCk9QYVJ5nnkLwsiaXy3FYLUR49ZuIHHvmCcYOhAuCzL4DTDMfKs3O4r3Y1kM97OUXtvYy_W73KPIoH9sLKxER8FIRLnbOzZfjihpS3ezKVUVIVzK1QFQMrFeDurbH7FvIu1nP0LYFuFy0ulPm4megyg4MRu9DeAczxnGvuudxeXfM7DLKhWPnWUg37Ucw9oj6OahEZjIw4GT0w5G_cKlgU-lEKf9x2sEcP73SJeqOdEt9S1TxdV89bPnit88cyttXbfvVEnh7M6zj8LKwLcjHTO1TKymrxXvsmU06O3bWPBo53Sk2cxpj7aQ8jtwkss68Yd3ZyQvlBpRdnOD5YPGtwOANnCZWym7jKUYcOZjnxaiE20f3c16AMJ-qiSc128KmRLmcoXDm35lxfbL0tfOYvCAViDw4vh_2XTM8UAylRyWIieyFMc018zFAY5Q87nOMu6_KGCKsSSWhX1zhkju6GPR-bchQ_J6rVCWfgnC-B37RMEqaplEHxyYF8osjIv_hdtyNrjy4PCUhTKmHjq-vs-3YZbdyxHgWY4VlnPVjEKLJzKY4U-QMhfskfM-NHmGbq_nrbt3qCq9MyZI2HdLsyrRNq0Q=w1231-h692-no

Maziko ya Sultan Sayyid Khalifa bin Haroub

Haya ni mazishi ya Mfalme wa Zanzibar Sayyid Khalifa bin Haroub Albusaidy aliyefariki 1960 alitawala muda wa miaka 49 ilibakia mwaka mmoja tu afanyiwe Diamond Jubilee.

Alikuwa Mfalme mpole mwenye huruma akiwapenda sana wananchi wake akiwatembelea kwa miguu na akiwahi kuwaamkia kabla yeye hajaamkiwa akipita pahala watu wote husimama kwa kumlahiki kwa furaha kubwa wakati anasalimiana nao.

Alipokuwa Uingereza aliulizwa, "Je nchini kwako kuna siasa za vyama vingi vinavyoshindana si huenda wale wakagombana wasiwafikiane?

Akajibu, "Habana hawa ni ndugu hawagombani wanazungumza tu maendeleo ya nchi yao watawafikiana."

Alikuwa hapendi ugomvi wala mivutano, alipenda kuona watu wake wanaishi kwa raha.

Siku za Maulidi ya Mtume SAW watu wa Maulidi ya Home na dhikri wa mashamba wakifika Forodhani Sultan Palace wakimsomea maulidi na dhikri na yeye akiwapikia biriani nzuri sana na sharbati ikisha akishuka na marashi akitia marashi kwa mkono wake kisha akiwatunza pesa na Ahli dhikri na Ahlul Maulidi wakifurahi kwa taadhima na heshima hiyo kubwa wanayopewa na Sayyid Sultan.

Allah amuweke peponi pamoja na Mtume wetu Muhammad SAW na Allah atupe baraka zake na madad yake na Allah aijalie Zanzibar iwe nchi ya amani upendo huruma na mshikamano baina ya wananchi wake na viongozi wao Amin Amin.
Amin
 
Sahim1,
Utafanyaje mjadala ikiwa hata somo lenyewe hulijui?

Sayyid Khalifa katawala kutoka 1911 - 1960.
Hujui siasa za vyama vilianza lini Zanzibar?

Kasome kwanza historia ya Zanzibar ndipo urejee hapa kwenye mjadala.
Mjadala pia ni darsa mzee muhamed.
Mjadala pia ni fursa ya kujua usio yajua.
 
Mjadala pia ni darsa mzee muhamed.
Mjadala pia ni fursa ya kujua usio yajua.
Sahim1,
Uliyosema ni kweli lakini ili pawepo na mjadala ni lazima
pande mbili zinazofanya mjadala zikawa zote wanauelewa
wa hicho wanachojadili.

Vinginevyo utakuwa mjadala wa viziwi.
 
Sahim1,
Uliyosema ni kweli lakini ili pawepo na mjadala ni lazima
pande mbili zinazofanya mjadala zikawa zote wanauelewa
wa hicho wanachojadili.

Vinginevyo utakuwa mjadala wa viziwi.
Mzee muhamed swali langu linatokana na maelezo yako ya awali huko mwazo mwa post hii.
Nanukuu...Alipo kuwa uingereza aliulizwa..
"Je nchini kwako kuna siasa za vyama vingi vinavyoshindana huenda wale wakagombana wasiwafikiane? Mwisho wa kunukuu.
Ndio maana nikakuliza swali lile,
 
Mzee muhamed swali langu linatokana na maelezo yako ya awali huko mwazo mwa post hii.
Nanukuu...Alipo kuwa uingereza aliulizwa..
"Je nchini kwako kuna siasa za vyama vingi vinavyoshindana huenda wale wakagombana wasiwafikiane? Mwisho wa kunukuu.
Ndio maana nikakuliza swali lile,
Sahim1,
Ikiwa ni hivyo iweje na wewe kuuliza swali hilo hilo?
 
Kwani kuna wazanzibari walofanywa watumwa.....wewe uliwahi kusikia mtumwa wa kitumbatu ? Au wa donge au makunduchi au wa pemba ?
Yey hakua mgeni alizaliwa hapona kukulia hapo ni kwao....hakua mkoloni....mkoloni alikua muingereza...yeye alikua kwao....
Alitenda mengi mazuri.
Hakuua mzanizbari hata mmoja
Wala hakufunga raia zake
Ria wote walikua sawa...alikua mwema kweli.....alipandisha zanzibar mpaka ikawa himaya , Empire...ilikua nchi , ikiheshimika dunia nzima
Ni zanzibar ilotoa wanazuoni wakubwa chini yake.... alipo ondoka dunaini misingi yake ni Zanzibar kuwa Mwanachama wa UN na commonwealth....nchi huru kabisa.....
Wakaja walokuja wavamizi wakaweka vibaraka wao , waka iuza nchi ...ikawa mkoa....
Huwezi kumlinganisha kabisa mzalendo huyu aloipenda nchi yake na watu wake na wauza nchi kwa vyeo...
Bullshit
 
Ze Farmer,
Chuki katika ni katika maradhi mbaya sana ya nafsi.

Chuki hudhoofisha ubongo kwa kasi ya ajabu sana
na huathiri maungo.

Kubwa na baya sana ni kuwa chuki huua fikra nzuri
na kukijaza kifua na joto la ghadhabu.

Mwenye ghadhabu hasemi ila la shari.
Siamin katika "Ukipigwa ubavu wa kushoto mpe na la kulia...
 
Sahim1,
Ikiwa ni hivyo iweje na wewe kuuliza swali hilo hilo?
Nia yangu nikujua sio ushindani lakini nahisi ww unadhani mm nahitaji ushindani.
Basi mm nimefikia mwisho mzee wangu.
Nimetosheka na majibu yako jazaak lkheir..
 
Back
Top Bottom