Live coverage on JamiiForums
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyo bibi kilaza hajiamini kbs, katiba yetu inapaswa kuainisha compitence ya mtu kuwa rahisi wa nchi...sio ilimradi mtu anavaa miwani basi anatosha kuwa rahisi!.
Duuh wewe ata kuandika umeshindwa alafu unatukana na kubeza wengine. (compitence,rahisi)
 
Mama anazidi kupandisha joto la No reform no Election .na kujiongezea maadui pasipo sababu swala la Lisu litamuharibia sana kitaifa na kimataifa.Hoja za Lisu zinaungwa mko na watanzania wote wa ndani ya nchi na nje ya nchi hata yeye mwenyewe anazikubali ,Hoja wanazo jibu nivichekesho vitupu.Wamwachie Lisu kupunguza joto la kisiasa linalo zidi kupanda la sivyo watajaza mahabusu kibao wa kesi zsa kisiasa siku zote binadamu wapo kama nyuki jinsi unavyo ewaua ndivyo wansvyo zifi kukufuata
Kwamba mataifa yanaona ni sahihi Lissu avuruge uchaguzi? Stop kidding
 
Utamu wa uchaguzi wa 2020 umenoga wamejisaha kumbe walikanyaga nyaya za moto.

Mgeda Kaunga mkono na kunyoosha kidole. Wananchi viongozi wa dini taasisi vyama vya siasa wasikilizwe

Hata Kinyata alitabiria KANU yake na akaizika mwenyewe.

No Reforms No Election
Mkuu naomba link au video nami nimuone huyo mjeda?!
 
Upo uwezekano Lisu kesi yake ikasikilizwa ki mtandao(conference) ili kuondoa uwezekano wa watu kuwa wanajazana mahakamani, Ina maana mawakili wa lisu ndio watakao kuwepo mahakamani.
 
Back
Top Bottom