Na kwann mnasoma kwanzaChuo cha Kampala University hiki ambacho kipo Gongo la Mboto kina shida kubwa sana, najua wengi mnajua kimewahi kufungiwa siku za nyuma kutokana na magumashi mengi ambayo kimekuwa kikifanya.
Serikali iingilie kati kuangalia hiki chuo, sisi wanafunzi ambao tupo chuoni hapo tunapitia wakati mgumu.
Mfano sasa hivi wanafunzi wa Diploma ya Udaktari wa mwaka wa kwanza na mwaka wa pili matokeo yetu yote yameonesha ni incomplete wakati sisi tumeshafanya kila kitu, chuo kinatulazimisha tuendelee na mwaka wa tatu wakati wanatambua wazi kuwa kufanya hivyo lazima huko mbele ya safari tudunde.
Tumeshaenda hadi Wizara ya Afya ambao ndio wanaosimamia mitihani yetu, wao wanasema tatizo lipo upande wa chuo.
Wanachojua wao kuna vitu havijakamilika na kama tumeambiwa tulipe ada ya mwaka wa tatu wakati matokeo ni incomplete maana yake wanataka wale ada zetu huku wakitambua hakuna uwezekano wa Kwenda mbele.
Tukiwauliza nini kinachoendelea wanatuzungusha tun a kutupiga danadana, wanataka tulipe ada tu.
Serikali iingilie kati na kutusaidia, kuna mambo mengi hayapo sawa katika hiki chuo.
Kuna baadhi ya wanafunzi wameshakata tamaa ya kuendelea na masomo ukizingatia tunalipa ada kubwa, wengine tunatoka familia dun, hivi inakuwaje unafika mwisho wa masomo na hauwezi ku graduate, unamueleza nini yule ambaye amekuwa akikupa fedha ya ada
Kuna watu wanaishia kulia tu hatuna msaada.
Tuangalie solution coz kitupia lawama haisaidii jambo lishatokea haina budi kutatuaNa kwann mnasoma kwanza
Mkuu vyuo vinavotoa kozi za afya ni vichache Tz ukisema kila mtu aangalie vyuo km muhan n.k wengi wao wataambulia kapa... elimu yenyewe ya sekondari imelegezwa zama hizi watoto kila wakigusa waya na wengi wao ndoto zao kuwa madaktari so watu ni wengi vyuo vichache competition ni kubwa ndo maana watu wanaenda vyuo kama kampala..Musiwe munaomba kudahiliwa kwenye vyuo vya vya kisenge Kama hivyo
Hicho chuo au shule ya kata, namba ya mtihan mnapewa siku moja kabla.Sio kweli Academic register anachoongea coz three days before NACTE examination walifk kwa ajili ya kufanya verification kama wanafunzi wako verified kufanya exams or not, na baada ya apo watu wakawa selected kufanya mitihn although sio wote coz wengn waliambia wana incomplete kabla ya mtihn. Sasa issue ya attendance inatokea wap apo na kwann kama wameona mahudhurio ni sabb wakaamua kuturuhusu kufanya mtihn..!? Kampala you guys you are not serious..tunataka sababu ya incomplete and by the way hakuna mwanafunzi alofanya fujo ata mmoja coz namba za mtihn zenyew mlitupa usiku wa kuamkia day ya exams na fujo izo zimefanyika mda gn...Kampala tell the truth and be honest kwakwel
Mwanasheria wa kujitolea nipo hapa twende mahakamani tukafungue shauri sasa 😁Chuo cha Kampala University hiki ambacho kipo Gongo la Mboto kina shida kubwa sana, najua wengi mnajua kimewahi kufungiwa siku za nyuma kutokana na magumashi mengi ambayo kimekuwa kikifanya.
Serikali iingilie kati kuangalia hiki chuo, sisi wanafunzi ambao tupo chuoni hapo tunapitia wakati mgumu.
Mfano sasa hivi wanafunzi wa Diploma ya Udaktari wa mwaka wa kwanza na mwaka wa pili matokeo yetu yote yameonesha ni incomplete wakati sisi tumeshafanya kila kitu, chuo kinatulazimisha tuendelee na mwaka wa tatu wakati wanatambua wazi kuwa kufanya hivyo lazima huko mbele ya safari tudunde.
Tumeshaenda hadi Wizara ya Afya ambao ndio wanaosimamia mitihani yetu, wao wanasema tatizo lipo upande wa chuo.
Wanachojua wao kuna vitu havijakamilika na kama tumeambiwa tulipe ada ya mwaka wa tatu wakati matokeo ni incomplete maana yake wanataka wale ada zetu huku wakitambua hakuna uwezekano wa Kwenda mbele.
Tukiwauliza nini kinachoendelea wanatuzungusha tun a kutupiga danadana, wanataka tulipe ada tu.
Serikali iingilie kati na kutusaidia, kuna mambo mengi hayapo sawa katika hiki chuo.
Kuna baadhi ya wanafunzi wameshakata tamaa ya kuendelea na masomo ukizingatia tunalipa ada kubwa, wengine tunatoka familia dun, hivi inakuwaje unafika mwisho wa masomo na hauwezi ku graduate, unamueleza nini yule ambaye amekuwa akikupa fedha ya ada
Kuna watu wanaishia kulia tu hatuna msaada.
Mnakwenda shule kuchezea? Mahudhurio yanakuwa aje hafifu hadi unakosa sifa ya kufanya mitihani? Mbio kulaumu chuo!
Kumbe Serikali inatambua kuwa hiki chuo kina magumashi, sasa kwa nini hawawachukulii hatua? Kuwacha hivi kwamba wanaandika barua tu lakini kiuhalisia hawafanyi kile ambacho kinatakiwa kufanywa ni jambo baya.Chuo cha Kampala University hiki ambacho kipo Gongo la Mboto kina shida kubwa sana, najua wengi mnajua kimewahi kufungiwa siku za nyuma kutokana na magumashi mengi ambayo kimekuwa kikifanya.
Serikali iingilie kati kuangalia hiki chuo, sisi wanafunzi ambao tupo chuoni hapo tunapitia wakati mgumu.
Mfano sasa hivi wanafunzi wa Diploma ya Udaktari wa mwaka wa kwanza na mwaka wa pili matokeo yetu yote yameonesha ni incomplete wakati sisi tumeshafanya kila kitu, chuo kinatulazimisha tuendelee na mwaka wa tatu wakati wanatambua wazi kuwa kufanya hivyo lazima huko mbele ya safari tudunde.
Tumeshaenda hadi Wizara ya Afya ambao ndio wanaosimamia mitihani yetu, wao wanasema tatizo lipo upande wa chuo.
Wanachojua wao kuna vitu havijakamilika na kama tumeambiwa tulipe ada ya mwaka wa tatu wakati matokeo ni incomplete maana yake wanataka wale ada zetu huku wakitambua hakuna uwezekano wa Kwenda mbele.
============
SERIKALI YATOA UFAFANUZI YADAI CHUO KIMEFANYA UDANGANYIFU
Mkurugenzi wa Mafunzo kutoka Wizara Afya, Dk Saitore Laizer amesema:
“Hao wanafunzi wa mwaka wa kwanza na wapili hawakufundishwa, chuo hakikuwafundisha, huwa tunakuwa na utaratibu wa kuhakiki wakati au baada ya mitihani.
“Baada ya mtihani tukabaini kuwa hao wanafunzi kuna masomo hawajafundishwa hata nusu ya syllabus, na chuo kimefanya udanganyifu mkubwa sana
Tusipokuwa makini tutauana huku duniani, kilifanyika kikao cha pande zote, chuo wakari makosa na kuandika barua jinsi ya kuziba hizo nafasi ili wanafunzi waweze kufundishwa vizuri ili mambo yao yaendelee.”
Kuhusu madai ya wanafunzi kusema kuwa wamekamilisha kila kitu na ndiyo maana wakaruhusiwa kufanya mitihani, Mkurugenzi anasema: “Hawakukamilisha, hapo wenye tatizo ni chuo.”
Kuhusu malalamiko ya wanafunzi kuwa wameshalipa ada na wanatakiwa kulipa tena amesema: “Hicho ni chuo binafsi, hatuingilii masuala ya ada. Hayo malalamiko yanaweza kwenda NACTE.”
Alipoulizwa kwa nini waliruhusu wanafunzi kufanya mitihani wakati wanatambua chuo hakikukamlisha taratibu ambazo zinatakiwa, anasema: “Udanganyifu kwenye mitihani unaweza kugundulika wakati wowote.”
“Tulichoamua ni lazima wanafunzi wafundishwe kile ambacho hawakufundishwa kisha watafanya mitihani tena, lakini hapohapo na sisi tutafanya uhakiki wetu kwa njia tunazozijua.”
Tukiwauliza nini kinachoendelea wanatuzungusha tun a kutupiga danadana, wanataka tulipe ada tu.
Serikali iingilie kati na kutusaidia, kuna mambo mengi hayapo sawa katika hiki chuo.
Kuna baadhi ya wanafunzi wameshakata tamaa ya kuendelea na masomo ukizingatia tunalipa ada kubwa, wengine tunatoka familia dun, hivi inakuwaje unafika mwisho wa masomo na hauwezi ku graduate, unamueleza nini yule ambaye amekuwa akikupa fedha ya ada
Kuna watu wanaishia kulia tu hatuna msaada.
Hii chuo Bwana matatizo ya kielim hajawai pata tiba sijui shida ni nini, Kama ni miundombinu wanayo mizuri tu ila nafikili Kuna shida kubwa kwenye utawalaChuo cha Kampala University hiki ambacho kipo Gongo la Mboto kina shida kubwa sana, najua wengi mnajua kimewahi kufungiwa siku za nyuma kutokana na magumashi mengi ambayo kimekuwa kikifanya.
Serikali iingilie kati kuangalia hiki chuo, sisi wanafunzi ambao tupo chuoni hapo tunapitia wakati mgumu.
Mfano sasa hivi wanafunzi wa Diploma ya Udaktari wa mwaka wa kwanza na mwaka wa pili matokeo yetu yote yameonesha ni incomplete wakati sisi tumeshafanya kila kitu, chuo kinatulazimisha tuendelee na mwaka wa tatu wakati wanatambua wazi kuwa kufanya hivyo lazima huko mbele ya safari tudunde.
Tumeshaenda hadi Wizara ya Afya ambao ndio wanaosimamia mitihani yetu, wao wanasema tatizo lipo upande wa chuo.
Wanachojua wao kuna vitu havijakamilika na kama tumeambiwa tulipe ada ya mwaka wa tatu wakati matokeo ni incomplete maana yake wanataka wale ada zetu huku wakitambua hakuna uwezekano wa Kwenda mbele.
============
SERIKALI YATOA UFAFANUZI YADAI CHUO KIMEFANYA UDANGANYIFU
Mkurugenzi wa Mafunzo kutoka Wizara Afya, Dk Saitore Laizer amesema:
“Hao wanafunzi wa mwaka wa kwanza na wapili hawakufundishwa, chuo hakikuwafundisha, huwa tunakuwa na utaratibu wa kuhakiki wakati au baada ya mitihani.
“Baada ya mtihani tukabaini kuwa hao wanafunzi kuna masomo hawajafundishwa hata nusu ya syllabus, na chuo kimefanya udanganyifu mkubwa sana
Tusipokuwa makini tutauana huku duniani, kilifanyika kikao cha pande zote, chuo wakari makosa na kuandika barua jinsi ya kuziba hizo nafasi ili wanafunzi waweze kufundishwa vizuri ili mambo yao yaendelee.”
Kuhusu madai ya wanafunzi kusema kuwa wamekamilisha kila kitu na ndiyo maana wakaruhusiwa kufanya mitihani, Mkurugenzi anasema: “Hawakukamilisha, hapo wenye tatizo ni chuo.”
Kuhusu malalamiko ya wanafunzi kuwa wameshalipa ada na wanatakiwa kulipa tena amesema: “Hicho ni chuo binafsi, hatuingilii masuala ya ada. Hayo malalamiko yanaweza kwenda NACTE.”
Alipoulizwa kwa nini waliruhusu wanafunzi kufanya mitihani wakati wanatambua chuo hakikukamlisha taratibu ambazo zinatakiwa, anasema: “Udanganyifu kwenye mitihani unaweza kugundulika wakati wowote.”
“Tulichoamua ni lazima wanafunzi wafundishwe kile ambacho hawakufundishwa kisha watafanya mitihani tena, lakini hapohapo na sisi tutafanya uhakiki wetu kwa njia tunazozijua.”
Tukiwauliza nini kinachoendelea wanatuzungusha tun a kutupiga danadana, wanataka tulipe ada tu.
Serikali iingilie kati na kutusaidia, kuna mambo mengi hayapo sawa katika hiki chuo.
Kuna baadhi ya wanafunzi wameshakata tamaa ya kuendelea na masomo ukizingatia tunalipa ada kubwa, wengine tunatoka familia dun, hivi inakuwaje unafika mwisho wa masomo na hauwezi ku graduate, unamueleza nini yule ambaye amekuwa akikupa fedha ya ada
Kuna watu wanaishia kulia tu hatuna msaada.
Dah Poleni sanaChuo cha Kampala University hiki ambacho kipo Gongo la Mboto kina shida kubwa sana, najua wengi mnajua kimewahi kufungiwa siku za nyuma kutokana na magumashi mengi ambayo kimekuwa kikifanya.

Mkuu ishu imeishiaje???Chuo cha Kampala University hiki ambacho kipo Gongo la Mboto kina shida kubwa sana, najua wengi mnajua kimewahi kufungiwa siku za nyuma kutokana na magumashi mengi ambayo kimekuwa kikifanya.