Kim Jong-un: Sijali kuhusu onyo la Trump, tutaendelea kutengeneza silaha za nyuklia

Inasikitisha kuona watu kama wewe, regardless ya chuki zako na nchi kama marekani, still wao wanaishi vizuri kuliko wewe, hiyo ni fact, na North Korea ni masikini watu wanapigwa njaa. Sasa kama discipline ndiyo ina maanisha uishi bila kufanya unachotaka au ufe na njaa basi endelea kuikumbatia hiyo discipline.
Kumbe North Korea ni kama TZ eeh
 
Inasikitisha kuona watu kama wewe, regardless ya chuki zako na nchi kama marekani, still wao wanaishi vizuri kuliko wewe, hiyo ni fact, na North Korea ni masikini watu wanapigwa njaa. Sasa kama discipline ndiyo ina maanisha uishi bila kufanya unachotaka au ufe na njaa basi endelea kuikumbatia hiyo discipline.
nimeikumbatia achana na mimi wewe kakumbatie hao ma capitalism and western propaganda mnazo zusha, the USA wont tell the truth about North korea, they only tell lies. asa sikiliza izo media za ki freemason
 
Hehehe acha na mimi nikumbatie hawa hawa unaosema wana propaganda, bora niishi kwenye propaganda ila nakula, nalala, naishi vizuri kuliko kujifanya nina-resist alafu napigwa njaa na bado hakuna utofauti wowote ule ninaouleta duniani.
What makes you think kuna ukweli tofauti umejificha kuhusu North Korea? tafuta watu waliotoroka kwenye hilo taifa wakuambie vizuri pakoje. America ndiyo anajaribu kutake control ya dunia nzima na anataka awe lead siku zote ila kwenye swala la north korea hapana, ungeniambia nchi nyingine ningekuelewa.
 
Mungu wangu sipati picha, ila dogo wana muonea angalia video ya dennis rodman alivyo visit north korea, kurudi waka mm interview dogo anasema hataki vita anataka obama ampigie simu waoge, mie naona dogo yuko sawa ana ji hami. USA sio mtu mzuri kabisa.

USA ni sawa na mamba anakaa kwa maji kimya kisha anamdaka swala sasa hata Kim, lazima atupe mawe kule DC ili asikilizie kelele kisha ajue mtambo wa nuke wa kutoka nao.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mimi niliona mwanzoni mkomb hotuba ya Kim ikiripotiwa kupitia CNN TV , yeye( Kim) alisema wanazo missile zamkupiga USA na kusisitiza kuwa zina uwezo mkubwa wa kufumua USA yote na hata eneo lolote lile la pembe ya dunia kwa usahihi.

Japo, Kim aliongezea kusema kuwa , yeye missile zake zote ni kujikinga na adui wao mkubwa ambaye ni USA na washirika wake.

Kwa hiyo hii taarifa ni sahihi na Kim amesema yuko katika harakati za kuandaa ya kufuta dunia nzima kwa Mara moja.
Meaning kwamba hata nchi yake yenyewe itafutika akiamua alilaunch hayo makombora ya kufuta dunia!!
Sasa kuna haja gani ya kuwa na hayo makombora ambayo yanatishia hata uwepo wake yeye mwenyewe?
 
yule mwendazamu ku launch ata launch tuh hi mara sita sijui na awaja mgusa. na mshirika wake ni china ndo trump kawachana live wa china.
 
Mimi niliona mwanzoni mwezi huu hotuba ya Kim ikiripotiwa kupitia CNN TV , yeye( Kim) alisema wanazo missile zamkupiga USA na kusisitiza kuwa zina uwezo mkubwa wa kufumua USA yote na hata eneo lolote lile la pembe ya dunia kwa usahihi.

Japo, Kim aliongezea kusema kuwa , yeye missile zake zote ni kujikinga na adui wao mkubwa ambaye ni USA na washirika wake.

Kwa hiyo hii taarifa ni sahihi na Kim amesema yuko katika harakati za kuandaa ya kufuta dunia nzima kwa Mara moja.
Akifuta dunia nzima ina maana nirth korea anaifuta au??
 
Haaa haaa swali zuri sana,
Hata Putin alisemaa kuwa siku ISS,.au gaidi yeyote akifanya mlipuko au kulipua Russia; yeye Putin atafuta dunia nzima.

Hiyo ni lugha ya picha aisee, panua akili yako na tazama kwa upeo si kwa.macho na masikio aisee.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Meaning kwamba hata nchi yake yenyewe itafutika akiamua alilaunch hayo makombora ya kufuta dunia!!
Sasa kuna haja gani ya kuwa na hayo makombora ambayo yanatishia hata uwepo wake yeye mwenyewe?

Ni.lugha ya picha na kuonesha ubora ama kumtisha adui kwa kuonesha kuwa hana mzaha kabisa,

Ila kwa Kim, kwa kifupi kwa asili ya nchi yake kuondoa dunia nzima siyo issue kwake.

Let.say, USA wanataka kumpiga au kumkamata nakuhakikishia asilimia 75% kwa Kim, kujitoa mhanga na dunia nzima ni mkubwa sana.

Na ndiyo maana hata USA wako wanafanya udukuzi wa nchi hiyo kwa uangalifu sana.

Kim, siyo mtu wa kisportsport aisee
 
bora umesema wewe, yule kama kumshambulia wange fanya zamani asa mara sita hi,watu wana ha ha kumuekea vi kwazo watu wana msoma kama biology action wanaogopa kwanza. nimeangalia hilo kompora ambalo la continental dah USA utawaonea huruma wanavyo fanya prediction impact itavyokua west coast ahaha hatari.
 
Mimi niliona mwanzoni mwezi huu hotuba ya Kim ikiripotiwa kupitia CNN TV , yeye( Kim) alisema wanazo missile zamkupiga USA na kusisitiza kuwa zina uwezo mkubwa wa kufumua USA yote na hata eneo lolote lile la pembe ya dunia kwa usahihi.

Japo, Kim aliongezea kusema kuwa , yeye missile zake zote ni kujikinga na adui wao mkubwa ambaye ni USA na washirika wake.

Kwa hiyo hii taarifa ni sahihi na Kim amesema yuko katika harakati za kuandaa ya kufuta dunia nzima kwa Mara moja.
Hiyo ya kufumua dunia nzima, mi ndio naipenda!
 
hahaha yule jama mwehu utawala wa obama umemuambia trump na utawala wake wawe makini na dogo huyu sio mtu wamchezo mchezo nae trump anachukulia swala la utani utani siku atasikia kitu kina teremka newyork.
6ea722696d936be0988a37a0b4d9abf6.jpg
 
Inasikitisha kuona watu kama wewe, regardless ya chuki zako na nchi kama marekani, still wao wanaishi vizuri kuliko wewe, hiyo ni fact, na North Korea ni masikini watu wanapigwa njaa. Sasa kama discipline ndiyo ina maanisha uishi bila kufanya unachotaka au ufe na njaa basi endelea kuikumbatia hiyo discipline.
Hiyo njaa sini sababu ya beberu "usa" kuweka vikwazo kila sector

World ingekuwa better place without USA

Tokea 1990 kamwekea vikwazo NK

Lakini mwisho ya yote wananchi wa NK wanawachukia sana USA licha ya njaa ..
 
Back
Top Bottom