AHMARDZ
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 790
- 677
- Thread starter
- #121
kweli North korea wanaichukulia poa saana, jamaa ka dedicate kwenye nuclear tuh sio kama mataifa mengine kwenye mafuta, kilimo, mara viwanda asa wao viwanda vya nuclear tuh na jeshi ogopa saana huyu mtu, the only way kumsimamisha jamaa iwe vita ya dunia dhidi ya north korea na ndo wana chotaka kufanya.Kwan NK yuko sky? Au ardhin?? Mkuu acha kututishia habaro ya kipumbavu, sisi tunajua Marekani anahanya kwa NK na ninataman afinywe had abaki historia tu ila trump apone na the game