BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,131
Mushi, Bubu anammaliza nani pale Anne Kilango?
I can't believe this! I can't believe this! I can't believe this!
I told you people! I told your asses! (samahani nikeshikwa na furaha/hasira kwa sababu moja ya watu ambao nilisikitika kutofautiana nao katika hii ishu ni Bubu. Nimefurahi hapa ataona sikuwa na nia mbaya ya kum undercut huyu Mama Mbunge)
Kina Bubu waliniona kama shetani la kifisadi niliposema huyu Mama ni msanii.
Bubu umesema eti...Ha haaa haaaaa a
Bubu, nilimsikia huyu Mama anaongea na Mwanakijiji jamani. Kabla ya hapo nilikuwa nampenda sana huyu Mama. Tena nikawa namu admire kwa sababu akiwa kama Mke wa Malecela, you would think atakuwa mkereketwa wa CCM establishment being that Mmewe ni party statesman. Nikawa nazidi kumpenda kwa kukosoa kosoa chama cha Mmewe. Kuja kumsikia anamwambia Mwnkjj eti Kikwete administration ni adui wa ufisadi kwa sababu eti alitoa hotuba nzuri wakati wa inauguration nikatema Mama tema mate chini!
Sasa, check this out Bubu Ataka Kusema. Hayo ya Musa. Kaa chonjo. Ya firauni yanakuja. Don't change the channel.
Lakini Mkuu, kabla hatujaenda mbali unaweza kuzichanganua kauli mbli alizotoa huyu mama katika kipindi kizichozidi wiki moja? Hizi kauli zinatofautiana kama usiku na mchana kwa sisi tusiomfahamu vizuri huyu mama tulikuwa na kila sababu ya kuomba apewe muda, hatukusema kama yeye ni mkombozi wa kweli bali tuliomba tumpe muda ili tuone maneno yake kama ni ya kweli au la. Na kama ulivyoona Watanzania wengi nje na ndani ya nchi walimsifu, magazeti mbali mbali pia yalimsifu kwa kile alichoongea. Sasa sijui kisichoeleweka ni kitu gani watu wanapoomba fulani apewe muda wa kufuatilia kauli na matendo yake kabla ya kuhitimisha huyo mtu ni mtu wa aina gani. Sasa mungu si Athumani hata wiki haikupita ametuionyesha yeye ni mtu wa aina gani. Na mimi nimebadili msimamo wangu maana nimeshaona kwamba ni msanii tu, huku yuko na kule yuko.