Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 2,896
- 2,023
click hapo hapo kwenye add source then chagua NONE utaona sehemu ya kuweka hiyo URL yako
Mkuu hata hairespond kabisa, sijui shida nini.
click hapo hapo kwenye add source then chagua NONE utaona sehemu ya kuweka hiyo URL yako
Mkuu hata hairespond kabisa, sijui shida nini.
Hio skin/themes umeitoa wap?
Mimi nilijaribu vdubt24 bila mafanikio ila nilipoweka phoenix ikakubari kwenye tecno p5 sky sport zinaonyesha poa
Install superRepo all(gotham) then tafuta add on imeandikwa zemtv..iactivate hyo...super sport utazipata huko zinaonyesha
Naweza kuingia System>File Manager>Add source. Nikicklick add source ndo inagoma kurespond kabisa
soma jinsi ya kuwekaphoenix unaweka vp mdau mbna me sion kweny zile add ons zang
Mimi iliwahi kugoma sababu ya skin, nilieka 3rd party skin. Ndio maana nkakwambia na wewe umetoa wap hio skin?
Pia kama addon inazingua achana nayo tafuta nyengine. Phoenix ni rahisi sana kutumia
Mkuu Innomatix Hiyo superRepo inapatkana kwenye nini?....msaada tafadhali
soma jinsi ya kuweka
Select SYSTEM > File
Manager
Select Add Source
Select None
Type the following EXACTLY
http://fusion.tvaddons.ag
and select Done
Highlight the box underneath
Enter a name for this media
Source & type fusion
Select OK
Go back to your Home
Screen
Select SYSTEM
Select Add-Ons
Select Install from zip file
Select fusion
Select xbmc-repos
Select english
Select repository.xbmchub-
x.x.x.zip
Wait for Add-on enabled
notification
Select Get Add-Ons or
Install from repository on
Isengard
Select TVADDONS.ag Addon
Repository
Select Video Add-Ons
Select Phoenix
Select Install
Wait for Add-on enabled
notification
Phoenix is now installed and
ready to use. As usual the add-
on can be accessed via VIDEOS >
Add-Ons > Phoenix
Mimi iliwahi kugoma sababu ya skin, nilieka 3rd party skin. Ndio maana nkakwambia na wewe umetoa wap hio skin?
Pia kama addon inazingua achana nayo tafuta nyengine. Phoenix ni rahisi sana kutumia
Haujakosea kitu kitu rudi tena video then add on utaona ile add on yako ipo (imeshakua installed) iclick itafunguka na kuonesha video zakeMkuu samahani nimedandia gari kwa mbele nimedownload kodi nimeenda kwenye video>add on>zimefunguka chanel nyingi tu> click chanel> nime install>inakuja enabled.
Wapi nimekosea niwie radhi lakini kwa kukurupuka kwangu nielekeze tu.
Huwenda ni tatizo la server za sky, vitu vya bure ndio tabu zake. Test chanell nyengine pia hazioneshi?chief me kuna tatzo linantokea niclick station labda kama skysport 2 inaload kisha inatokea rangi nyeuc hvyo image haionekani nackia saut tu watu wanaongea cwaoni....zngne wanaonekana baadh hawaonekan nackia saut tu
Tumezoea katika maisha yetu tukiangalia Tv basi huduma ile tunaipata kupitia madishi, cable au antenna. siku zinavyosogea mbele na technology ndivyo inavyokuwa na ndio jinsi madish na antenna vinavyopitwa wakati. leo kwenye uzi huu tutaangalia IPTV.
Ni nini hii IPTV?
IPTV ni kifupi cha Internet Protocal TeleVision. Hii ni aina ya uangaliaji TV kupitia mtandao wa internet ambapo kituo cha TV badala ya kutumia satelite dish au cable wenyewe wanarusha matangazo kwa internet.
Unawezaje kuangalia IPTV?
Utahitaji kifaa chenye internet na uwezo wa kustream ili kuweza kuangalia kama vile smartphone, tablet, laptop, desktop hadi TV zenye internet zinaweza kustream.
Internet yenye speed gani inahitajika?
Internet yoyote hata ya edge inaweza kustream ila iwe na latency nzuri, zipo stream zinahitaji speed ya 200kbps tu (25KBps). Kama una latency ndogo hata internet iwe na speed vipi huwezi kustream live utastream tu vitu ambavyo si live. Kujua zaidi kuhusu latency nenda thread hii
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...iwa-na-download-speed-kubwa-ndio-mzuri-2.html
Je software gani inatumika kustream hizo TV?
Kikawaida browser yenye flash au html5 inaweza kustream tv lakini ukitaka kustream vizuri zaidi software kama VLC au KODI ni muhimu. Kutokana na uhaba wa links za VLC nitazungumzia zaidi jinsi ya kutumuia KODI kuangalizia IPTV.
KODI ni nini?
KODI ni software (media centre) ambayo hutumika kuubadili muonekano wako wa simu uwe kama TV na kuweza kuenjoy TV unazotumia na inapatikana kwenye simu, tablet, computer hadi TV.
![]()
Kuidownload nenda website yao hii hapa chini, ni bure haiuzwi
Downloads | Kodi
Nikishadownload kodi nini kinafuatia?
Utahitaji ku install plugin ili uweze kuangalia TV online. Click video add on halafu chagua watchmojo, install halafu ifungue tuone kama itafanya kazi.
![]()
KODI imefanya kazi, je siwezi angalia mpira na vipindi vyengine?
Unaweza angalia mpira chanel unayotaka kuanzia za ki-Africa kama Super sport, za Ulaya kama Sky sport, za Asia kama Bein sport hadi za kimarekani kama NBC cha muhimu uwe na plugin (add ons) husika, hizi plugin za mpira na michezo mengine zinapatikana tu internet mfano mimi plugin yangu ninayotumia inaitwa Vdtube25 ina channel nyingi sana kuanzia mpira hadi movie.
![]()
![]()
Hio hapo juu sky sport 3
Uzuri wa hizi plugin za kodi zipo TV ni HD na nyengine ni full HD kabisa hivyo internet yako tu.
Malipo?
Kila kitu kuanzia juu hadi hapa ulipofikia ni bure hutoi pesa, ila hizi plugin za bure haziaminiki zipo za kulipia ambazo hazikati ovyo. Mimi sijawahi kulipa natumia tu bure ila kama unahitaji service nzuri zaidi unaweza kulipa ila pia kuwa makini na matapeli
Tutorial ya kuweka na mahala pa kupatia plugins
Plugin yangu ninayotumia ya vdtube25
https://seo-michael.co.uk/how-to-install-vdubt25-add-on-kodi-xbmc
Website hio hio pia utapata plugins nyingi.
Kama una swali lolote usisite kuuliza chini
Install superRepo all(gotham) then tafuta add on imeandikwa zemtv..iactivate hyo...super sport utazipata huko zinaonyesha