Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kama mtu anajua link ya kulipia ambazo zipo 24hrs hazikati mnaweza mkawa mnatusaidia kulipia kama wakati ule wa vpn vile vile android box kama mtu anataka anawaagizia kama decoder jukumu letu kutafuta unlimited internet
 
Chief Mkwawa,Njuwa Mavoko,asanteni kwa taaluma mliotupatie,kwangu nimefata hatua zote na kufanikiwa,isipokuwa kwa Vdubt25 ukifungua haioneshi channel yeyote na Paki india live ukifungua zinaonesha channel zoe ila ukiclip to play baada ya sekunde kadhaa inadisplay massegi hii PLAYBACK FAILED.Error check the log for more information. sijui tatizo ni nini,ila Phoniex inaonesha vizuri tu

Mkuu naunga mkono hoja hata mimi kuna iyo shida kwenye vdubt25 inakuja hiyo meseji Error check the log for more information ila phoenix ipo powa sasa dijui mkuu Chief-Mkwawa msaada tutani au kama vipi namna ya kufuta hizi plugin nikaanza upya.
 
Last edited by a moderator:

Unaweza angalia hio error kwenye log file, nafkiri lipo kwenye program files then folder la kodi

Ila mara nyingi tatizo lao wenye plugin na sio lako. Mfano link imekufa
 
Mkuu kwani ni lazima hizo plugin ili uweze kuona au plugin zinakua na ziada ya video maana now nina add video wakati nina plugin moja ya phoenix tu na wapi naweza pata plugin nyingine na vilevile nataka kufuta plugin na video nilizo zi install nianze upya nifanyaje? Mkuu.
 
Nafkiri ukiclick bila kuachilia inakuja option ya kudelete.

Alternative itoe kabisa kodi halafu install upya
 
Mkuu kwani ni lazima hizo plugin ili uweze kuona au plugin zinakua na ziada ya video maana now nina add video wakati nina plugin moja ya phoenix tu na wapi naweza pata plugin nyingine na vilevile nataka kufuta plugin na video nilizo zi install nianze upya nifanyaje? Mkuu.

Right click hyo plug in unayotaka kuitoa itakuja options,click sehem nazan wameandika ad on information,baada ya apo itafunguka chat ina options tofauti,nenda sehem wameandika unistall
 
Ok ngoja nishughulikie afu vipi hii http://www.xunitytalk.com/xfinity nimekosea kuandika au vipi maana now haitaki kabisa kwenye simu yangu na nimejaribu kumuingizia rafiki inakuja error kunani hapo?
 
Umefanikiwa kuifuta kaka?

Mkuu nimefanikiwa shukrani alafu nataka kujua juu ya app kama iptv na xtream codes iptv zinasaidia nini kwenye utumiaji wa hii kodi au zinatumukaje maana nimedownload kodi app peke yake?
 
Wadau hivi inakuaje AZAM TWO inapatikana bila kukata kata alafu hizi zingine Bein zinakuwa zinakata kata, je kuna link nyingne ya mpira yenye sifa kama ya Azam ili nikiweka isiwe inakata kata
 
Azam ni low quality, ndio maana haikati inataka speed ndogo tu ya internet.

Download plugin ya sportsdevil ndio ina chanell za low quality
 
Hapa kwenye ku-download inakuaje maana si litajisave kwenye computer? maana nimechagua sportsdevil for kodi na nika download kitu kinaonekana kipo kwenye computer tayari sasa nitalink vipi na kodi, msichoke wataalamu wetu wengine IT imetupita pembeni ila tukielekezwa tunaweza
 
Fungua kod ap yako,
Nenda kwenye system,then
nenda kwenye settings
Add ons
Install from zip file
Tafuta location ulipo save hyo file la sport devil
then iiclick itainstall
 
Ahsante mkuu nitajaribu baadae mida flani hivi ya kivivuvivu ngoja nipige kazi kwanza na nikikwama nitarudi maana maana nimekosea sehemu hata nilipolisave sijui maana limeingia kwa style kama ya ku-download software vile (nitakomaa alafu nikishindwa ndio nitarudi tena mkuu)
 
Fungua kod ap yako,
Nenda kwenye system,then
nenda kwenye settings
Add ons
Install from zip file
Tafuta location ulipo save hyo file la sport devil
then iiclick itainstall
Ahsante mkuu nimeipata na nimekwenda kwenye ilive. to-sports imekuta kuna channel za soka though channel nyingi zinasema streams are not available but zingine zinafunguka at low quality kama alivyosema Chief-Mkwawa hapo juu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom