Hawezi kuwa amejialika na kama ame alikwa walio mualika ndio wanao gharimia transport and accomodation.Kwa gharama za serikali
Huyu Bwana yaani sijui alilambwa na umbwa miguuni pindi akiwa mtotot mdogo?
Make sisi huko kwetu kama mbwa akimlamba mtoto mchanga/mdogo miguu basi huyo akikua hashikiki. Nyumbani hatulii yeye ni kiguu na njia muda wote. Hahahahaha Ndizo za Mkwere
YanlllaaaaahHuyu Bwana yaani sijui alilambwa na umbwa miguuni pindi akiwa mtotot mdogo?
Make sisi huko kwetu kama mbwa akimlamba mtoto mchanga/mdogo miguu basi huyo akikua hashikiki. Nyumbani hatulii yeye ni kiguu na njia muda wote. Hahahahaha Ndizo za Mkwere
WivuJK kweli anapenda kusafiri na kuzurula! Daaaa!!!
Hapo sasa! Wanabana huku wanalegeza huku! Ameenda kama nani? Tuna rais mmoja tuuuuu mbona hivi lakini?Namuona mhe Rais mstaafu JK na mkewe mama Salma kupitia Bukedde TV anahudhuria kuapishwa Museveni huko Uganda.
Jee atakuwa kaenda kwa gharama za serikali hii hii inayotuaminisha inabana matumizi kwa kuhakikisha safari za muhimu tuu ndio zinagharamiwa? Hii ni kwa vile kwa nafasi yake kama rais mstaafu hawezi kwenda kwenye shughuli hiyo kibinafsi kama vile anavyokwenda Lindi ukweni kuwasalimia.
Serikali mbona haisimamii kauli zake? Anaogopwa?
Namuona mhe Rais mstaafu JK na mkewe mama Salma kupitia Bukedde TV anahudhuria kuapishwa Museveni huko Uganda.
Jee atakuwa kaenda kwa gharama za serikali hii hii inayotuaminisha inabana matumizi kwa kuhakikisha safari za muhimu tuu ndio zinagharamiwa? Hii ni kwa vile kwa nafasi yake kama rais mstaafu hawezi kwenda kwenye shughuli hiyo kibinafsi kama vile anavyokwenda Lindi ukweni kuwasalimia.
Serikali mbona haisimamii kauli zake? Anaogopwa?
Stop speculations. Kwani familia ya Kikwete siku hizi wamezuiwa kusafiri? Au wanapotaka kusafiri waje kwako kuomba kibali na kukuonyesha uthibitisho kuwa safari yao wanafadhili wenyewe?Namuona mhe Rais mstaafu JK na mkewe mama Salma kupitia Bukedde TV anahudhuria kuapishwa Museveni huko Uganda.
Jee atakuwa kaenda kwa gharama za serikali hii hii inayotuaminisha inabana matumizi kwa kuhakikisha safari za muhimu tuu ndio zinagharamiwa? Hii ni kwa vile kwa nafasi yake kama rais mstaafu hawezi kwenda kwenye shughuli hiyo kibinafsi kama vile anavyokwenda Lindi ukweni kuwasalimia.
Serikali mbona haisimamii kauli zake? Anaogopwa?
kwani anashindwa?
Unaweza kupata kisukari kwa kumfuatilia kikweteNamuona mhe Rais mstaafu JK na mkewe mama Salma kupitia Bukedde TV anahudhuria kuapishwa Museveni huko Uganda.