Nina hamu ya kusoma kijarida hiki ambacho kama sikosei hutolewa kila Jumanne. Kwa anayejua nitawezaje kupata toleo la wiki hii (kama lipo), please help!
Go to mwanakijiji.com, while in the site go to forums, then to file cabinet. That is the only way that I know.
Mwanakijiji CHECHE yako ni coincidence tu au ni muendelezo wa hiyo CHECHE ya UDSM enzi hizo?
Mwanakijiji mimi ninabonyeza halahu napata message kuwa siruhusiwi kuaccess hiyo resource vipi? Nataka kuprint hicho kijarida nisaidie!!
Ningependa kujua kuwa kile kijarida alichokuwa anatoa Mwanakijiji mbona hakitoi tena?