Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,064
Gembe una hakika gani kwamba magazeti hayakuposha na Cheche ndio liko sahihi? Mi nadhani hapa kinachotakiwa ni usahihi wa habari si kwamba habari iliandikwa na gazeti fulani na hiyo ikawa point of reference, basi hapo ndio tuseme hizo ndio zina hakika. Yawezekana Cheche likawa na habari za hakika kuliko magazeti ya bongo ambayo historia inaonyesha ni mabingwa wakupokea bahasha ili wapindishe habari.Kushtumiwa ni lazima sababu mambo ya kupotosha hayatakiwi..
Habari ndiyo hiyo.