Kijana, Kulelewa na mwanamke uwe mvumilivu

heee jamani hivi kuna vijana na akili zao wanakubali kulelewa na wamama ili iwe nini? ni ujinga na ulimbukeni huo tafadhali kijana inuka tafuta kazi iliyo halali upate pato lako halali kwa jasho lako uwe na maisha yako na mipango yako ya maendeleo utaifikia
kijana acha kuendekeza ngono bila kuwa na malengo yako binafsi kwani mtegemea cha nduguye hufa maskini hata Mungu anachukizwa na watu wasiofanya kazi wasipewe chakula haooooooo!!!
 
Hapo utakuwa umewasaidia sana ila tatizo nao wanapenda so hayo manyanyaso wanayaona ni kitu cha kawaida
 
Ila tuseme ukweli kina mama mmejaliwa maneno ya shombo samtaimz, mwanaume mwenye roho nyepesi hachelewi kurusha ngumi! Marioo ndo hana namna, inabidi kuvumilia tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom