MWONA MBALI
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 460
- 611
Mbaya zaidi hii ndoto ameota wakati hajalala na mumewe.Sio kila ndoto unayoota ni sahihi mtoa mada ndoto zingine ni maruerue usipende kusimulia utachekwa
Juliana Shonza baada ya kufaidi usingizi mzuri ndani ya ndoa kwa muda mfupi sasa baada ya kuachika ndoto anazoota ni za ajabu ajabu. Na nyingi ni kuotea mabaya Kule alikokuwa na mabwana wengi kabla ya ndoa.Day dreaming.........................is there forever
Utasubiri milele na hizo tetesi na ndoto za mchana kila siku mtazusha uongo wee mpaka mzeeke mfe mambo yapo vilevile kama Lugumi kawashinda mtaweza kudhoofisha Chadema?Hawa Chadema walishaambiwa toka mapema kumkaribisha Lowassa ndani ya chama ndio mwanzo wa anguko lao, nasikia hali ni mbaya ndani ya chama, hata vile viposho vya sh 50000/= vimeyeyuka, Tundu Lissu analia njaa ndio maaana anaimbuka na hoja zisizo na msingi kujaribu kutoka, lakini kila anapojaribu anakwama, dawa ni moja tu kama ni wajasiri wamfukuze LOWASSA.
Lowasa amekuwa Duka lao la kujipatia pesa toka CCM mda wote huwa wanakaa na kutengeneza story kisha wanapeleka kwa February anaandikia vocha pesa inatoka wanakula kisha kubuni Uzushi mwingine maisha yanaendelea.Hua wanapeana shift kila mtu aje na habari gani,saiv kaanza wakudadavua,badae au kesho anakuja lizaboni na habari yake nyingine,ndio kazi zao zinazowaweka mjini.hawaajiriki kwingine,watakula wapi?
KuntuHawa Chadema walishaambiwa toka mapema kumkaribisha Lowassa ndani ya chama ndio mwanzo wa anguko lao, nasikia hali ni mbaya ndani ya chama, hata vile viposho vya sh 50000/= vimeyeyuka, Tundu Lissu analia njaa ndio maaana anaimbuka na hoja zisizo na msingi kujaribu kutoka, lakini kila anapojaribu anakwama, dawa ni moja tu kama ni wajasiri wamfukuze LOWASSA.
Ushuzi usipanik...siasa ni sayansiUtasubiri milele na hizo tetesi na ndoto za mchana kila siku mtazusha uongo wee mpaka mzeeke mfe mambo yapo vilevile kama Lugumi kawashinda mtaweza kudhoofisha Chadema?
Jielekeze kwenye hojaNAKUSOMA, WEWE SIO KADA MWENZANGU, ILA UNAJARIBU KUKUASA CHAMA CHAKO JUU YA HATARI ILIYO MBELE YAKE , ENDELEENI KUZIBA NYUFA ZA MATOPE.
Usibweke,jikite kwenye hojaJuliana Shonza baada ya kufaidi usingizi mzuri ndani ya ndoa kwa muda mfupi sasa baada ya kuachika ndoto anazoota ni za ajabu ajabu. Na nyingi ni kuotea mabaya Kule alikokuwa na mabwana wengi kabla ya ndoa.
Hivi kweli JS anaweza kuujua undani wa Kafulila? Au ni kutaka kumharibia ndoa kijana ndoa yake yenye utulivu? Kwako Mrs Kafulila, Hugo demu wa viti maalum kaa naye mbali hata mkiwa bunge canteen anaweza kukudhuru hata kwenye chain ana sifa za ulozi ndio maana kaachwa angali mdogo
Usibweke,jikite kwenye hoja.Mbaya zaidi hii ndoto ameota wakati hajalala na mumewe.
Siku CCM itakapoigusa Escrow na IPTL ndipo CDM itapoteza umaarufu.Lakini wakati IPTL.haijaguswa kumekuja Lugumi,meli mbovu,Uwanja wa Ndege Chato duh halafu eti tunapiga vita rushwaNaam jicho la tatu limeshachungulia wanaChadema kindai ndaki wameshaamka sasa ni wazi wazi wantamka maneno makali yenye kuonyesha kutoridhishwa na uwepo wa Lowassa ndani ya chamn na upande mwingine wa shilingi yaani Team Lowassa wao wanajipanga na wameweza kupandikiza watu wao katika vikao vya maamuzi, naaum mbegu imepandwa na imeota sasa inamea, naaaum mmea wenyewe ni miba mikali sasa inachoma.
Kwa 'makamanda' Lowassa si tena raisi wa mioyo yao kama walivyomwita Dr.Slaa kwa miaka mitano mfululizo kabla ya kurubuniwa mwaka 2015 lakini kwa teamLowassahuwaimbii kitu. Kwa haraka haraka nyufa nyingi zimetokea kiasi kisichoelezeka na huenda 'jumba' likalemewa na kuanguka.
Naaam, 'ajizi nyumba ya njaa' kama ambavyo waswahili walivyonena..kwa sasa Zitto ameonekana kufurahiwa na 'makamanda' wakijuta sasa kumpoteza, kila mtu sasa anafutilia kauli za Zitto kwenye mitandao na mikutano na kuhakikisha zinasambaa kwa watu wengi wakati huohuo 'makamanda' wamelaani tabia ya Mbowe kuwachagulia viongozi kwenye kanda za kiutawala ndani ya chama hadi kupelekea makumi na mamia ya viongozi wa mashina kufa moyo na baadhi kujiuzuru. Kuelekea uchaguzi ndani ya chama na hata uchaguzi mkuu mwaka 2020 njia ni nyeupe na ninawaona baadhi ya wabunge wa sasa wa Chadema haswa wale wasiotokea kanda ya kaskazini na wanachama waandamizi wakihamia ACT Wazalendo na kuendelea na harakati zao kisiasa wakimsusia chama ndugu Lowassa na Mbowe.
Na chakufurahisha zaidi kafulila atagombea ubunge huko Kigoma mwaka 2020 kupitia ACT wazalendo na si Chadema ni suala la muda tu.
Nawasilisha.
Jikite kwenye madaACHANA NA POROJO, BUT KUMCHUKIA ZITTO NA KUIKUMBATIA CDM YA LOWASSA NA MBOWE NI KUWAWEKA WAKOLONI CCM MILELE.
Dogo,jielekeze kwenye madaSiku CCM itakapoigusa Escrow na IPTL ndipo CDM itapoteza umaarufu.Lakini wakati IPTL.haijaguswa kumekuja Lugumi,meli mbovu,Uwanja wa Ndege Chato duh halafu eti tunapiga vita rushwa
Kafulila hawezi kwenda act ni gumu kdogoNaam jicho la tatu limeshachungulia wanaChadema kindai ndaki wameshaamka sasa ni wazi wazi wantamka maneno makali yenye kuonyesha kutoridhishwa na uwepo wa Lowassa ndani ya chamn na upande mwingine wa shilingi yaani Team Lowassa wao wanajipanga na wameweza kupandikiza watu wao katika vikao vya maamuzi, naaum mbegu imepandwa na imeota sasa inamea, naaaum mmea wenyewe ni miba mikali sasa inachoma.