Tetesi: Kifuatacho: Mtafaruku wa CHADEMA na TeamLowassa kuinufaisha ACT Wazalendo, Kafulila kumfuata Zitto

Enzi zile kweli CHADEMA ilikuwa sio mchezo lakini ndio hivyo tena, mwenyekiti hatimae akachanga karata vibaya , akachanganya M4C na 4U Movement, kilichotokea baada ya huo mchanganyiko unanikumbusha movie moja maarufu sana ya John Travota na Nicolas Cage inayoitwa FACE/OFF, kila mmoja anaongea lake, wakati M4C wanafikiria uanaharakati as Method ya kukuza chama, 4U Movement wasiokijua chama ila wapo purposely kwa ajili ya URAIS wanaona hiyo inaweza kuwakosesha kura 2020, na mzee mpaka anajisahau anajipigia debe ya urais 2020 kwenye kampeni za udiwani, sasa sijui mgombea hamjui au anamjua hiyo ni yeye,
Matokeo ya uchaguzi mdogo yamewafanya M4C kuanza kufikiri kuwa inawezekana yameharibika kwa sababu ya uwepo wa 4U Movement, na inawezekana 4U Movement yasiwaume sana haya matokeo kwa sababu interest yao ni urais wa Lowasa na sio udiwani au ubunge wa mtu mwingine
Enzi zile zipi? Wakati Mwalimu Nyerere anakiona ni chama makini kilikuwa hakina Mbunge wala wananchi walikuwa hawajakijua hiki chama,

Alisoma misingi ya Chama, aligundua ni Taasisi hata akitoka Mwanzilishi hakifi, hakina misingi ya kumtegemea mtu mmoja.
Nimesema mwanzo, Alinunuliwa Dr na Kule akanunuliwa Prof, wapi kuna Rongorongo?

Kama hujaelewa na hapo hauta elewa milele. Labda Darasa aje kukuelimisha
 
CDM vs CCM bus.jpg

Hakuna Kulala.jpg

Ndoto zingine tamu kweli. Siku moja nilipokuwa mtoto mdogo niliota kuwa nimeokota sh. 10000. Nilifurahi sana na nikaishika kwa nguvu sana kwenye ngumi yangu mkononi. Niliamka na furaha nikiwa nimekunja ngumi lakini nilipokunjua, duh! Hamna kitu.
 
Naam jicho la tatu limeshachungulia wanaChadema kindai ndaki wameshaamka sasa ni wazi wazi wantamka maneno makali yenye kuonyesha kutoridhishwa na uwepo wa Lowassa ndani ya chamn na upande mwingine wa shilingi yaani Team Lowassa wao wanajipanga na wameweza kupandikiza watu wao katika vikao vya maamuzi, naaum mbegu imepandwa na imeota sasa inamea, naaaum mmea wenyewe ni miba mikali sasa inachoma.

Kwa 'makamanda' Lowassa si tena raisi wa mioyo yao kama walivyomwita Dr.Slaa kwa miaka mitano mfululizo kabla ya kurubuniwa mwaka 2015 lakini kwa teamLowassahuwaimbii kitu. Kwa haraka haraka nyufa nyingi zimetokea kiasi kisichoelezeka na huenda 'jumba' likalemewa na kuanguka.

Naaam, 'ajizi nyumba ya njaa' kama ambavyo waswahili walivyonena..kwa sasa Zitto ameonekana kufurahiwa na 'makamanda' wakijuta sasa kumpoteza, kila mtu sasa anafutilia kauli za Zitto kwenye mitandao na mikutano na kuhakikisha zinasambaa kwa watu wengi wakati huohuo 'makamanda' wamelaani tabia ya Mbowe kuwachagulia viongozi kwenye kanda za kiutawala ndani ya chama hadi kupelekea makumi na mamia ya viongozi wa mashina kufa moyo na baadhi kujiuzuru. Kuelekea uchaguzi ndani ya chama na hata uchaguzi mkuu mwaka 2020 njia ni nyeupe na ninawaona baadhi ya wabunge wa sasa wa Chadema haswa wale wasiotokea kanda ya kaskazini na wanachama waandamizi wakihamia ACT Wazalendo na kuendelea na harakati zao kisiasa wakimsusia chama ndugu Lowassa na Mbowe.

Na chakufurahisha zaidi kafulila atagombea ubunge huko Kigoma mwaka 2020 kupitia ACT wazalendo na si Chadema ni suala la muda tu.

Nawasilisha.

Hoja yako hasa nin nini?
 
Ata Lowasa waliambiwa atakwenda Chadema wakabisha, wakasema hawamtaki fisadi, mda ulipofika akaenda na sasa wana mahaba nae
 
Lowasa anakutesa wewe?! Utafikiri alikuchukulia demu wako haaa! chuki yako kwake haizuii riziki yake bali inakuletea jaka moyo wewe mwenyewe maana kila siku unakula BAN, malipo ya mzururaji ni uchovu kwake mwenyewe chuki yako kwake ni sumu kwako jaribu kuachilia nafsi mwache mwenzako.
 
Naam jicho la tatu limeshachungulia wanaChadema kindai ndaki wameshaamka sasa ni wazi wazi wantamka maneno makali yenye kuonyesha kutoridhishwa na uwepo wa Lowassa ndani ya chamn na upande mwingine wa shilingi yaani Team Lowassa wao wanajipanga na wameweza kupandikiza watu wao katika vikao vya maamuzi, naaum mbegu imepandwa na imeota sasa inamea, naaaum mmea wenyewe ni miba mikali sasa inachoma.

Kwa 'makamanda' Lowassa si tena raisi wa mioyo yao kama walivyomwita Dr.Slaa kwa miaka mitano mfululizo kabla ya kurubuniwa mwaka 2015 lakini kwa teamLowassahuwaimbii kitu. Kwa haraka haraka nyufa nyingi zimetokea kiasi kisichoelezeka na huenda 'jumba' likalemewa na kuanguka.

Naaam, 'ajizi nyumba ya njaa' kama ambavyo waswahili walivyonena..kwa sasa Zitto ameonekana kufurahiwa na 'makamanda' wakijuta sasa kumpoteza, kila mtu sasa anafutilia kauli za Zitto kwenye mitandao na mikutano na kuhakikisha zinasambaa kwa watu wengi wakati huohuo 'makamanda' wamelaani tabia ya Mbowe kuwachagulia viongozi kwenye kanda za kiutawala ndani ya chama hadi kupelekea makumi na mamia ya viongozi wa mashina kufa moyo na baadhi kujiuzuru. Kuelekea uchaguzi ndani ya chama na hata uchaguzi mkuu mwaka 2020 njia ni nyeupe na ninawaona baadhi ya wabunge wa sasa wa Chadema haswa wale wasiotokea kanda ya kaskazini na wanachama waandamizi wakihamia ACT Wazalendo na kuendelea na harakati zao kisiasa wakimsusia chama ndugu Lowassa na Mbowe.

Na chakufurahisha zaidi kafulila atagombea ubunge huko Kigoma mwaka 2020 kupitia ACT wazalendo na si Chadema ni suala la muda tu.

Nawasilisha.
Hujawahi kuja na thread inayosifia au kuelezea chama tawala
 
Kajifunze Kiswahili !

Anza na Mifano ya sentensi hii kwa kutambua tofauti ya misemo hii ( ya kufikirika sio kweli)

1) Wachagga wengi ni Wezi

2) Wezi wengi ni Wachagga.
umechanganyikiwa ww,wamekugongea mkeo nini,mbona una mahaba sana
 
Sasa ukipata kata 1 kati ya 22 , you are dead, sema mnajitutumua tu. We ni mshabiki tu lakini hali ya viongozi wako wa chama sio nzuri
2020 kwetu kama karne,nyinyi kwenu mnaona kama week hamtamani hata ifike
Ulimuelewa lakin mkuu kwa nn alishangilia vile vikata vyenu mlivyorudishaaa?
Wenye chama wanaelewa joto linavyofuka
Tukutane 2020 Inshallah
 
February baada ya kugundua Mkulu kabana mianya yote ya pesa wamebuni kula pesa zake kupitia fitna za kuwadhoofisha Upinzani,kuna Bajeti kubwa imetengwa kwa ajili ya kuwavuruga Ukawa na upinzani kwa ujumla na hiyo pesa kwa kiasi kikubwa inapigwa na Wajanja wachache ni aina mpya ya Ufisadi kwa kivuli cha kuua upinzani Tanzania.
2020 kwetu kama karne,wao kwao wanaona kama week hawatamani hata ifike
Mkuu juz kashqngilia kata walizozirudisha,wengi hawakumuelewa kabisa
Waaache tukutane 2020 Inshallah
 
Ufipa line nawaona mnavotokwa mapovu,vipi zile line za mtandao wenye kasi zaidi mmemaliza kuzivunja??
 
Back
Top Bottom