Tetesi: Kifuatacho: Mtafaruku wa CHADEMA na TeamLowassa kuinufaisha ACT Wazalendo, Kafulila kumfuata Zitto

NAKUSOMA, WEWE SIO KADA MWENZANGU, ILA UNAJARIBU KUKUASA CHAMA CHAKO JUU YA HATARI ILIYO MBELE YAKE , ENDELEENI KUZIBA NYUFA ZA MATOPE.
 
Eti hapo ndo uwezo wako wa kufikri ulipoishia,aiseee kwa namna hii Tanzania ya viwanda kuifikia kazi tunayo,lakini ongeza bidii mkuu kuna nafasi moja humo Uyui Tabora unaweza kukota debe la mahindi kwenye ziwa Victoria:p
 
Day dreaming......................... is there forever
Juliana Shonza baada ya kufaidi usingizi mzuri ndani ya ndoa kwa muda mfupi sasa baada ya kuachika ndoto anazoota ni za ajabu ajabu. Na nyingi ni kuotea mabaya Kule alikokuwa na mabwana wengi kabla ya ndoa.
Hivi kweli JS anaweza kuujua undani wa Kafulila? Au ni kutaka kumharibia ndoa kijana ndoa yake yenye utulivu? Kwako Mrs Kafulila, Hugo demu wa viti maalum kaa naye mbali hata mkiwa bunge canteen anaweza kukudhuru hata kwenye chain ana sifa za ulozi ndio maana kaachwa angali mdogo
 
Hawa Chadema walishaambiwa toka mapema kumkaribisha Lowassa ndani ya chama ndio mwanzo wa anguko lao, nasikia hali ni mbaya ndani ya chama, hata vile viposho vya sh 50000/= vimeyeyuka, Tundu Lissu analia njaa ndio maaana anaimbuka na hoja zisizo na msingi kujaribu kutoka, lakini kila anapojaribu anakwama, dawa ni moja tu kama ni wajasiri wamfukuze LOWASSA.
Utasubiri milele na hizo tetesi na ndoto za mchana kila siku mtazusha uongo wee mpaka mzeeke mfe mambo yapo vilevile kama Lugumi kawashinda mtaweza kudhoofisha Chadema?
 
Hua wanapeana shift kila mtu aje na habari gani,saiv kaanza wakudadavua,badae au kesho anakuja lizaboni na habari yake nyingine,ndio kazi zao zinazowaweka mjini.hawaajiriki kwingine,watakula wapi?
Lowasa amekuwa Duka lao la kujipatia pesa toka CCM mda wote huwa wanakaa na kutengeneza story kisha wanapeleka kwa February anaandikia vocha pesa inatoka wanakula kisha kubuni Uzushi mwingine maisha yanaendelea.
 
Hawa Chadema walishaambiwa toka mapema kumkaribisha Lowassa ndani ya chama ndio mwanzo wa anguko lao, nasikia hali ni mbaya ndani ya chama, hata vile viposho vya sh 50000/= vimeyeyuka, Tundu Lissu analia njaa ndio maaana anaimbuka na hoja zisizo na msingi kujaribu kutoka, lakini kila anapojaribu anakwama, dawa ni moja tu kama ni wajasiri wamfukuze LOWASSA.
Kuntu
 
Juliana Shonza baada ya kufaidi usingizi mzuri ndani ya ndoa kwa muda mfupi sasa baada ya kuachika ndoto anazoota ni za ajabu ajabu. Na nyingi ni kuotea mabaya Kule alikokuwa na mabwana wengi kabla ya ndoa.
Hivi kweli JS anaweza kuujua undani wa Kafulila? Au ni kutaka kumharibia ndoa kijana ndoa yake yenye utulivu? Kwako Mrs Kafulila, Hugo demu wa viti maalum kaa naye mbali hata mkiwa bunge canteen anaweza kukudhuru hata kwenye chain ana sifa za ulozi ndio maana kaachwa angali mdogo
Usibweke,jikite kwenye hoja
 
Naam jicho la tatu limeshachungulia wanaChadema kindai ndaki wameshaamka sasa ni wazi wazi wantamka maneno makali yenye kuonyesha kutoridhishwa na uwepo wa Lowassa ndani ya chamn na upande mwingine wa shilingi yaani Team Lowassa wao wanajipanga na wameweza kupandikiza watu wao katika vikao vya maamuzi, naaum mbegu imepandwa na imeota sasa inamea, naaaum mmea wenyewe ni miba mikali sasa inachoma.

Kwa 'makamanda' Lowassa si tena raisi wa mioyo yao kama walivyomwita Dr.Slaa kwa miaka mitano mfululizo kabla ya kurubuniwa mwaka 2015 lakini kwa teamLowassahuwaimbii kitu. Kwa haraka haraka nyufa nyingi zimetokea kiasi kisichoelezeka na huenda 'jumba' likalemewa na kuanguka.

Naaam, 'ajizi nyumba ya njaa' kama ambavyo waswahili walivyonena..kwa sasa Zitto ameonekana kufurahiwa na 'makamanda' wakijuta sasa kumpoteza, kila mtu sasa anafutilia kauli za Zitto kwenye mitandao na mikutano na kuhakikisha zinasambaa kwa watu wengi wakati huohuo 'makamanda' wamelaani tabia ya Mbowe kuwachagulia viongozi kwenye kanda za kiutawala ndani ya chama hadi kupelekea makumi na mamia ya viongozi wa mashina kufa moyo na baadhi kujiuzuru. Kuelekea uchaguzi ndani ya chama na hata uchaguzi mkuu mwaka 2020 njia ni nyeupe na ninawaona baadhi ya wabunge wa sasa wa Chadema haswa wale wasiotokea kanda ya kaskazini na wanachama waandamizi wakihamia ACT Wazalendo na kuendelea na harakati zao kisiasa wakimsusia chama ndugu Lowassa na Mbowe.

Na chakufurahisha zaidi kafulila atagombea ubunge huko Kigoma mwaka 2020 kupitia ACT wazalendo na si Chadema ni suala la muda tu.

Nawasilisha.
Siku CCM itakapoigusa Escrow na IPTL ndipo CDM itapoteza umaarufu.Lakini wakati IPTL.haijaguswa kumekuja Lugumi,meli mbovu,Uwanja wa Ndege Chato duh halafu eti tunapiga vita rushwa
 
ACHANA NA POROJO, BUT KUMCHUKIA ZITTO NA KUIKUMBATIA CDM YA LOWASSA NA MBOWE NI KUWAWEKA WAKOLONI CCM MILELE.
 
Siku CCM itakapoigusa Escrow na IPTL ndipo CDM itapoteza umaarufu.Lakini wakati IPTL.haijaguswa kumekuja Lugumi,meli mbovu,Uwanja wa Ndege Chato duh halafu eti tunapiga vita rushwa
Dogo,jielekeze kwenye mada
 
Mpo Mpo, kinachofanywa kwa siri ni agenda ya kuunganisha vyama vyote vya siasa uchaguzi wa 2020. Lipumba ndo mtibuxi
 
Mimi nina m shauri huyo bwana awashauri hao wenye kuleta chokochoko hizo ama warudishe hizo pesa walizopewa na the blacksuits and glasses kwa sababu tunajua mbinu zao au wakae kimya tu. That's not going to happen
 
Naam jicho la tatu limeshachungulia wanaChadema kindai ndaki wameshaamka sasa ni wazi wazi wantamka maneno makali yenye kuonyesha kutoridhishwa na uwepo wa Lowassa ndani ya chamn na upande mwingine wa shilingi yaani Team Lowassa wao wanajipanga na wameweza kupandikiza watu wao katika vikao vya maamuzi, naaum mbegu imepandwa na imeota sasa inamea, naaaum mmea wenyewe ni miba mikali sasa inachoma.

Kwa 'makamanda' Lowassa si tena raisi wa mioyo yao kama walivyomwita Dr.Slaa kwa miaka mitano mfululizo kabla ya kurubuniwa mwaka 2015 lakini kwa teamLowassahuwaimbii kitu. Kwa haraka haraka nyufa nyingi zimetokea kiasi kisichoelezeka na huenda 'jumba' likalemewa na kuanguka.

Naaam, 'ajizi nyumba ya njaa' kama ambavyo waswahili walivyonena..kwa sasa Zitto ameonekana kufurahiwa na 'makamanda' wakijuta sasa kumpoteza, kila mtu sasa anafutilia kauli za Zitto kwenye mitandao na mikutano na kuhakikisha zinasambaa kwa watu wengi wakati huohuo 'makamanda' wamelaani tabia ya Mbowe kuwachagulia viongozi kwenye kanda za kiutawala ndani ya chama hadi kupelekea makumi na mamia ya viongozi wa mashina kufa moyo na baadhi kujiuzuru. Kuelekea uchaguzi ndani ya chama na hata uchaguzi mkuu mwaka 2020 njia ni nyeupe na ninawaona baadhi ya wabunge wa sasa wa Chadema haswa wale wasiotokea kanda ya kaskazini na wanachama waandamizi wakihamia ACT Wazalendo na kuendelea na harakati zao kisiasa wakimsusia chama ndugu Lowassa na Mbowe.

Na chakufurahisha zaidi kafulila atagombea ubunge huko Kigoma mwaka 2020 kupitia ACT wazalendo na si Chadema ni suala la muda tu.

Nawasilisha.
Kafulila hawezi kwenda act ni gumu kdogo
 
Back
Top Bottom