OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,948
- 117,871
Nilikuwa kwenye kijiwe cha kahawa cha wazee. Eti wakasema mali za Backresa sio zake ni za Mwinyi alipitishia huko
Unaongozwa na Mpumbavu (Muislam), basi ww ndo mpumbavu zaidiKwanini waislamu mnajistukia sana? Kwasababu hiyo hali nishaiona kwa wapuuzi wengi wakiislamu ukimkosoa samia tu utasikia kisa ni muislamu aisee hakuna watu wapumbavu kama waislamu
Akili zao muda wote inafikiria wao ni boraKwanini waislamu mnajistukia sana? Kwasababu hiyo hali nishaiona kwa wapuuzi wengi wakiislamu ukimkosoa samia tu utasikia kisa ni muislamu aisee hakuna watu wapumbavu kama waislamu
Loliondo haijauzwa kwa mtu yeyote, acheni upotoshaji. OBC wanashiriki zabuni za hunting blocks zinazotangazwa na Serikali na wanashindaMm huu uzi niliuapandisha kuuzu mzee mwinyi kuuza loliondo kwa waaarabu wa OBC ottelo business cooperation
Ilifutwa na sijapewa sababu za kufutwa
Mwinyi anaongelewakuwa Ni my muuungwana sna mm Sina shida na uungqama wake kosa lake kubwa kuuza loliondo kwa waaarabu kinyemela alfu anakah kimya as if Hakuna madudu ameyafanya
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kuniongoza wapi binti?Unaongozwa na Mpumbavu (Muislam), basi ww ndo mpumbavu zaidi
Udini ni nini?Ndivyo mlivyo,mnafichaga udini wenu kwenye Zanzibar na pwani
Ndugu Zazibar kuna mambo mengi ya hatari, enzi za Zecha kuna muda Maalimu Self alimwambia live Shein msikitini kwamba UMEIBA KURA, kama unabisha tukasomewe DUA, Mzee Shein akapoa hadi leoUkweli usemwe marais wa kutoka Zanzibar huwa hawalindi maliasili za bara.
Enzi za utawala wa mzee Ruksa kuliibuka sintofahamu kuhusu Lokiondo kuuzwa kwa waarabu.
Aliyekuwa waziri wa maliasili Abubakar Mgumia alipobanwa alisema muulizeni Rais mimi natekeleza tu maagizo.
Waandishi wote either waliongwa au waliogopa,Stan Katabaro alliripoti mambo mazito, kilichompata ni kuacha mjane na watoto kadhaa
Kifo chake kilijaa utata, Mzee Ruksa baada ya kuambiwa Stan kafa alilia machozi hadharani, mpaka leo haijulikani machozi yale yalimaanisha nini maana alimsumbua sana mzee Ruksa na utawala wake kuhusiana na hiyo kashfa, Stan ni Ken Saro-Wiwa wa Tanzania.
Pia soma
- Stan Katabalo: Tunauhitaji mzimu wako wa habari za Uchunguzi!
Kayngay
Hebu funguka zaidi indemonie na isambe ilikuwaje huko Nairobi?Hamjui huyu dogo. Ukimtajia Isambe na Inde haelewi vilifanya nini kule Nairobi hadi Kanda Bongoman kupigwa marufuku. Halafu unakuta madogo wanashupaza shingo sana.
Wakasomewe dua? Au waende kufanya mubalaha? Hahah we mzee fuso una comedy sanaNdugu Zazibar kuna mambo mengi ya hatari, enzi za Zecha kuna muda Maalimu Self alimwambia live Shein msikitini kwamba UMEIBA KURA, kama unabisha tukasomewe DUA, Mzee Shein akapoa hadi leo
Yaani saisa hizi mdugu zanguni hatari unamsaliti Mungu wako live kabisa.
kwahiyo mwinyi yuko motoni! nilkuwa sijui aiseeMimi nikiwa Rais hakuna atakayekufa Kwa kuikosoa serikali!!
Yaani naamini katika spinning. Team ya kisaikolojia zaidi!!
Hivi system unashindwaje kipropaganda na mtu mmoja!!?
Kumuua mtu mmoja kisa eti anaikosoa serikali ni uzembe wa serikali yenyewe!!
Stan asingetoweka kizembe Lisa loliondo mbona Bandari imeenda bila mwandishi kwenda !!?
Kumpoteza mtu kisa mawazo kinzani ni uwezo hafifu was dola kama kweli imehusika kumpoteza mhusika!!
Team spinning no njia nzuri zaidi ya ku deal na wakosoaji!!
Kumchukia mtu/watu kisa Imani yao ya dini,wakati mwingine kwa kuwa mambo hayajafika pabaya,basi huyo mtu/watu huwa hawana jema mbele ya wadini hao,watachukia hata mavazi yaoUdini ni nini?
ahsante kwa kunikumbusha!Binti hidaya haikuwa ya msela nondo wa uingereza makengeza bin Richard bin mabala,Aya ya ayaa Binti hidaya
waache watu waseme: unajua kwanini enzi zake biasahara ya madawa ya kulevya na uvunaji wa ndovu ulishamiri?Ngojeni ata mzee wawatu aoze kaburini