mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,029
- 49,220
Ukweli usemwe marais wa kutoka Zanzibar huwa hawalindi maliasili za bara.
Enzi za utawala wa mzee Ruksa kuliibuka sintofahamu kuhusu Lokiondo kuuzwa kwa waarabu.
Aliyekuwa waziri wa maliasili Abubakar Mgumia alipobanwa alisema muulizeni Rais mimi natekeleza tu maagizo.
Waandishi wote either waliongwa au waliogopa,Stan Katabaro alliripoti mambo mazito, kilichompata ni kuacha mjane na watoto kadhaa
Kifo chake kilijaa utata, Mzee Ruksa baada ya kuambiwa Stan kafa alilia machozi hadharani, mpaka leo haijulikani machozi yale yalimaanisha nini maana alimsumbua sana mzee Ruksa na utawala wake kuhusiana na hiyo kashfa, Stan ni Ken Saro-Wiwa wa Tanzania.
Pia soma
- Stan Katabalo: Tunauhitaji mzimu wako wa habari za Uchunguzi!