Kifo cha David Balali: Kauli mbalimbali toka kwa watanzania

Alichosema mbowe ni cha kweli, na sasa ninawasiwasi kuwa hata Chenge tunaweza kumpoteza muda wowote maana pia anamengi ya kutueleza.

Ikumbukwe kuwa, chenge alikuwa mwanasheris mkuu, hivyo anamengi sana anayoyafahamu kuhusu mafisadi wenzake, je watamtoa kafara?
 
Bonge la pointi. Lakini kuna development nyingine zilitokea baada ya hiyo statement.

Kwenye Uraia hakuna utata. Balozi Green alitangaza Jumatatu iliyopita kwamba Ballali sio raia wa US. (Kumbuka, japo hayuko Homeland Security, Balozi Green ana faili la Uraia/ US Visa status ya kila Mtanzania aliyerekodiwa. Na status ambazo sio kanjanja lazima zirekodiwe. Kwa hiyo kwenye Uraia hakuna utata. Mzee alikuwa M-Bongo.

Kwenye Diplomatic Visa, sio kweli kwamba Jasusi yuko sahihi. Kitu kama "Diplomatic Visa" hakihitajiki. Hivyo ndivyo Balozi Green alisema: Ukiwa na Visa/Uraia tayari, huhitaji Visa nyingine yeyote. Ballali asingeweza kupewa Visa nyingine (mmeiita 'diplomatic Visa') kama tayari ana Permant Resident/Uraia. 'Diplomatic Visa' hicho kitu sidhani kama kipo. Na kama kipo, Balozi Green asingesema kwamba haiihitajiki Visa ya ziada.

Na hata Green Card pia hakuwa nayo. Ubalozi wa US uliulizwa, "kama mmetengua Visa yake kwa nini hamumtimui?" Akajibu "sisi hatuendi mlango kwa mlango tunatafuta illegal aliens." Kumbuka, Balozi hapo anaongea akijua vizuri sana Visa status ya Ballali. Ina maana anatuambia Mzee alikuwa illegal. Lakini hiyo ni inference ambayo mimi nina i draw. The more conclusive evidence ni kwamba US walisema wamempa Billlali "non-immigrant Visa." Kama alikuwa na Green Card, yaani "Immigrant Visa," utapewaje tena "non-immigrant Visa" wakati huo huo?

Wakati anakufa Mzee Ballali hakuwa na Uraia, wala Green Card, wala Visa yoyote ile. Hakuna la zaidi.

Kuhani Mkuu,

KUna jambo ambalo inaelekea hulijui kwenye masuala ya immigration. Mimi nina uhakika mtu
anaweza kuwa na permanent residence kama hapa UK, akaenda kwao na kupata uongozi wa siasa, akaanza kutumia diplomatic passport. Sasa hapo huwezi kutumia permanent residence yako au green card pamoja na diplomatic passport. Sheria zote za green card
zinakataa. Hivyo huyo mtu anaombewa visa kama kawaida. Lakini hii haiwezi kuwa ndio mwisho wa PR yako.

Siku ukipoteza hiyo status ya kuwa na diplomatic passport na kurudi UK au USA, status yako inaweza kurudi kwenye PR au green card. Kama hapa UK wanakushauri uombe visa na suala lako la PR linakuja kushughulikiwa huku ndani kama uendelee au la. Kwa suala la Ballali tayari alikuwa USA wakati visa yake ilivyokuwa revoked, kwahiyo ilitosha tu kuwaambia
hao immigration kwamba yeye amerudi kimoja USA na anataka kuendelea na green card yake. Kwasababu yeye bado ana nyumba USA, familia yake iko USA, ana mapesa mengi tu ya kuishi USA, na kikubwa hana criminal record, nina uhakika hiyo green card wangemrudishia bila matatizo yoyote. Kumbuka alifukuzwa kazi lakini hakushitakiwa mahali popote.

Nilisoma statement ya Green, kwa kweli ilikuwa na utata mkubwa na pia inaficha ujumbe
nyuma yake. Kama nilivyosema mwanzoni ukirudi kwenu kwa kazi ya muda mrefu inatakiwa upoteze haki ya green card, labda hicho ndio alikuwa anaongelea Balozi, lakini kupoteza huko sio permanent, hali ikibadilika unaweza kurejeshewa kwa muda mfupi sana. Mimi naamini kwa case ya Ballali ingelikuwa kama hapa UK, wangemrudishia PR bila matatizo kwasababu hizo ambazo nimezitaja hapo juu.
 
Kwani jamani Balali hajafanyiwa autopsy? Na kama hajafanyiwa ni kwa nini? Maana sasa naona wote tumeachwa dilemma na swala zima.

Membe anasema serikali haijamua Dr.Balali, jee kwa nini yeye akusema kwamba Balali amekufa na nini? At this moment kuna consipirancy nyingi sana na moja wapo ni kuuliwa na serikali, it will be like that untill proves otherwise.

Mkuu Mtanganyika,

Ulisema unaenda kumuaga Ballali, mbona hujaleta taarifa ilikuwaje? Au na wewe umemwagiwa mchanga na unauguza macho?
 
Govt behind Ballali death? I`ll resign...

2008-05-26 09:32:44
By Patrick Kisembo said:



Foreign Affairs and International Cooperation minister Bernard Membe has said he will resign if it is proved that the government had a hand in Daudi Ballali`s May 16 death.

He made the remarks in Dar es Salaam yesterday when asked by a reporter for comment on the government`s stand on the death and burial in the US of the immediate former Bank of Tanzania governor.

The minister was addressing a news conference at his office at which he spoke on the proceedings of the just-ended special African Union summit on the single African government idea, the Burundi crisis, and the fate of Tanzanians living in South Africa in the wake of the xenophobic attacks there.

``I am not the govern ment`s spokesperson but I can say a few words concerning this (Ballali) death. I would like to know the person who said the government is responsible for the death. What do you mean when you say the government is behind his death?`` noted the minister.

He said suggestions that the government was behind the death were mere speculation resulting from the fact that every citizen of Tanzania enjoys the freedom to air his or her views on anything.

``However, it is very bad to say categorically that the government is behind the death because it is as if there is some official notification to the effect that it is government agents killed him,`` said Membe.

It is at that point that the visibly shaken minister declared that he would stand down as cabinet minister ``if it is proved that the government was indeed involved in the death``.

Admitting that he found the rumours linking the government to the former BoT chief`s death both unnerving and ridiculous, he said there was no need to start witch hunting over the sad incident ``just because it is part of African culture to believe that there is black magic or witchcraft behind every death``.

``We have so many problems to deal with here and each one of you knows that. We are working on them and should not waste precious time discussing these baseless allegations,`` said Membe, adding that Ballali`s death was natural.

``If you want to prove that this was the case, then have a look at his death certificate. His doctors know what caused his death,`` he noted.

Ballali served for several years as BoT governor before President Jakaya Kikwete terminated his service early this year after it was established that the bank had mismanaged billions of shillings through dubious payments to phony companies in 2005.

The revelations were contained in a State House press statement based on audits of the central bank�s External Payment Arrears Account (EPA) by Ernst and Young last year.

EPA had since June 1985 been under the custody of the bank`s Economic Policy directorate and had the discretion to provide any amount of foreign exchange to importers in the country.

At the time of the State House statement, Ballali was said to be undergoing treatment in the US.

Reports about his death have triggered massive controversy and debate, with many wondering as to exactly when and where he died and why reports on the death were kept under the lid for several days.

There have also been questions concerning the real cause of the former governor`s death, the decision to bury him in the US and not in Tanzania, and why only a chosen few people were allowed to his burial.

President Kikwete is among the scores of people who sent condolence messages to the late governor�s family following the death.

Government investigations into the EPA funds mismanagement reports are going on but Ballali has died before being officially implicated or interrogated over his reported involvement in the saga.
 
Last edited by a moderator:
What I want to know are the answers to these few simple questions:

1) Logic (as according to Spin Doctor Salva Rweyemamu) tells us Balali was a 'private citizen', no longer a civil servant. If that indeed was the case, what was the reason for the alleged 'late' Balali's family to contact the Government of Tanzania, PRIOR TO announcing the news of his death? Huh?

2) Ok, so there is a will that declares that Balali should be buried in the US. Is Balali a US citizen or Tanzanian citizen? Normally, one gets buried in their homeland. If he was a US citizen, why then did the Government give him such a strategically important job as the CENTRAL BANK GOVERNOR? Something stinks here!

3) Has anyone seen the will? See, if he did get buried in the US, who amongst us has witnessed (if ever) the funeral proceedings? How are we to verify that indeed it was Balali being sent back to the ashes... dust to dust? Bado haijatulia hii!

Asanteni, nasubiri majibu!

MwanaHaki, heshima mbele.

Viongozi wa wajuu wakija kuwa private citizen haimaanishi contact na Serikali zinaisha. Mpaka leo kina Msuya na Sumaye wanahudumiwa na Serikali. Kikiwatokea kitu, utategemea familia zao ziwafahamisha Serikali. Ballali alikuwa ana kila sababu ya kuendeleza contact na Serikali. Moja wapo ikiwa Serikali bado ilikuwa inalipia matibabu yake hata baada ya kufukuzwa kwa sababu za kimkataba, tuliambiwa. Na hata baada ya kufa, mkewe Anna Muganda, ambaealisha fanya kazi Ikulu, anajua itifaki za kuendeleza contact na Serikali. Moja ya sababu hapa napo inahusu "mshiko." Kuanzia May 16, Cheki zote za pensheni na mafao yaliyobaki ya Ballali yataanza kuelekea kwa mjane. Kwa hiyo, Anna Muganda knows better than to stop contacting the gov't to say, hey look here people, change the mailing address, your guy is dead!

Ballali ni raia wa US? Moja ya matundiko machache juu ya lako limeweka rekodi ya Serikali ya Marekani, kupitia Balozi Green, kutangaza kwamba Ballali hakuwa raia. Sasa jamani sijui utata uko wapi hapa.

"Nani kati yetu ameshuhudia majivu..."? Kati yetu nani, Mtanzania yeyote au 'doubting Thomasses' wa JF? Wapo Watanzania ambao walikuwepo kwenye mazishi. Wewe na mimi hatukuwepo, lakini hiyo haisemi lolote kuhusu kufa au kutokufa kwa Ballali. Hiyo inatupa tu haki ya kusema mimi nina "shuku za Tomaso" Lakini "shuku za Tomaso" ni za Tomaso, na hazipunguzi kesi ya aliye dai Mtume kafa eti kwa sababu Thomaso mpaka aguse alama za mateso kwenye mbavu ndio aache kubisha!

Na swala la "Will," hilo ni la kifamilia. Ni mkataba kati ya mfiwa na mfu wake. Ni mpaka hapo litakapo zuka jambo na wafiwa fulani kulalamika ndio wengine, kama vile mahakama, wanaweza kuingilia kusema leteni tuone "Will." Sisi hatuwezi kudai hii Will sasa hivi. Kisheria wanasema hatuna "privity" na huu mkataba. Hautuhusu!

Huu msiba unawachanganya Watanzania, nadhani, kwa sababu ya tofauti za kiutamaduni. Mama Muganda hapa ana exercise haki za watu wa Magharibi. Desturi zinazo heshimu Private Rights, ambazo sisi labda hatuna. Lakini kwa kweli sio za ajabu sana hizi rights, na kuna wakati zina make sense. I mean, masuala ya EPA na ya kuthibitisha kifo yanakuhusu. Lakini vipi kama humo ndani, zaidi ya kuongelea mazishi na kugawanya mali, pia ana msihi mmoja wa Binti zake, kwa mfano, aache uasherati? Mpaka na sisi tujue? Well, wote tukijua inaweza ku defeat the purpose of the "Will" kwa sababu kuna Wana Haramu wanaweza kuanza kumtafuta haraka huyo aliyepewa Wosia kama huo kabla haujamkaa kichwani!
 
Kuhani Mkuu

Sheria ziko tofauti wanaopeta kwa pesa ya walipa kodi baada ya kuacha zaidi ya pension zao ni former Presidents & PM's sio kila moja, angalia sheria inasemaje.

Ref. tunao wastaafu kama kuni hivi ambao wanakula pesa ya walipa kodi Che-nkapa, Salim A Salim, Msuya, Sumaye, EL, Marais wastaafu wa Zanzibar, Kawawa, etc.
 
swala la waziri kusema mnitajiuzulu ikibainika hivi na hivi ni la kawaida hapa tz, lakini wanjua kabisa ugumu wa kuthibitisha hayo, mramba aliwahi kusema ikijulikana kama anayetajwa kama godfrey mramba ambaye ni director wa alex sterwart angeachia ngazi, lakini godfey yule yule ndo mtoto wake tena wa pekee wa kiume na hadi leo anatumbua huko alex strewart
 
swala la waziri kusema mnitajiuzulu ikibainika hivi na hivi ni la kawaida hapa tz, lakini wanjua kabisa ugumu wa kuthibitisha hayo, mramba aliwahi kusema ikijulikana kama anayetajwa kama godfrey mramba ambaye ni director wa alex sterwart angeachia ngazi, lakini godfey yule yule ndo mtoto wake tena wa pekee wa kiume na hadi leo anatumbua huko alex strewart

Inaelekea Membe anajua Ballali kafa kwa nini. Nafikiri anajua wazi sio kwa sumu na badala yake ni ugonjwa wa muda mrefu kama vile kansa au AIDS.

Ni kama kaongea kwa uhakika mno na anaweka msisitizo kwa daktari aliyekuwa anamtibu.
 
........naona SOPHIA SIMBA naye anakurupuka kuwa ooh marehemu balali alikuwa na maradhi ya muda mrefu....yeye sophia ni lini amekuwa daktari....?..au hayo maradhi amemuambukiza yeye??...mbona yeye anayo...?...kuwa na maradhi ina maana huwezi kupewa sumu ya kuharakisha kifo..assume angeweza kuishi miaka 25 mbele kama kina katto...?

..rat smell..smell rat!!!....the way wanavyogongana maneno ...rais anasema kazi ya Mungu...waziri membe anasema ...sisi hatujauwa..kama tumeuwa najiuzulu..huyu mgawaji simba anakimbilia kusema ..najua huyu alikuwa mgonjwa siku nyingi...walikuwa wakiunga wote foleni kuchukua dawa au alimuambukiza..au simba kawa daktari...

..du!
 
Kuhani Mkuu,

KUna jambo ambalo inaelekea hulijui kwenye masuala ya immigration. Mimi nina uhakikamtu anaweza kuwa na permanent residence kama hapa UK, akaenda kwao na kupata uongozi wa siasa, akaanza kutumia diplomatic passport. Sasa hapo huwezi kutumia permanent residence yako au green card pamoja na diplomatic passport. Sheria zote za green card zinakataa. Hivyo huyo mtu anaombewa visa kama kawaida. Lakini hii haiwezi kuwa ndio mwisho wa PR yako.

Siku ukipoteza hiyo status ya kuwa na diplomatic passport na kurudi UK au USA, status yako inaweza kurudi kwenye PR au green card. Kama hapa UK wanakushauri uombe visa na suala lako la PR linakuja kushughulikiwa huku ndani kama uendelee au la. Kwa suala la Ballali tayari alikuwa USA wakati visa yake ilivyokuwa revoked, kwahiyo ilitosha tu kuwaambia hao immigration kwamba yeye amerudi kimoja USA na anataka kuendelea na green card yake. Kwasababu yeye bado ana nyumba USA, familia yake iko USA, ana mapesa mengi tu ya kuishi USA, na kikubwa hana criminal record, nina uhakika hiyo green card wangemrudishia bila matatizo yoyote. Kumbuka alifukuzwa kazi lakini hakushitakiwa mahali popote.

Nilisoma statement ya Green, kwa kweli ilikuwa na utata mkubwa na pia inaficha ujumbe nyuma yake. Kama nilivyosema mwanzoni ukirudi kwenu kwa kazi ya muda mrefu inatakiwa upoteze haki ya green card, abda hicho ndio alikuwa anaongelea Balozi, lakini kupoteza huko sio permanent, hali ikibadilika unaweza kurejeshewa kwa muda mfupi sana. Mimi naamini kwa case ya Ballali ingelikuwa kama hapa UK, wangemrudishia PR bila matatizo kwasababu hizo ambazo nimezitaja hapo juu.

Unachemsha vibaya mno!

Kama Permanence Residence ikiwa revoked kwa sababu umekaa sana nje ya nchi husika halafu eti unaipata siku ukirudi, then what's the point of revocation? Yani wana revoke katika kile kipindi ambacho hujarudi UK/USA tu? Well, katika kile kipindi hukujaribu kurudi anyway, so that revocation would have no effect! Revocation itakuwa moot. It makes absolutely no sense!

Permanent Residence ikiwa revoked ndio imetoka! Huwezi baadae kurudi kuwaambia eti ooooh, nina nyumba na familia huko kwenu, au eti oooooh sina criminal record na nina mapesa. You kidding me? Watakwambia "so what?" Ingekuwa hivyo, kila Chomvi na Nyonzo mwenye pesa angepata Green Card. Now you know they don't give GC to every Tom and Harry mwenye clean record na nyumba. I mean, every Joe Blow can have a family!

Halafu kusema kwamba ukiwa na Permanent residence unahitaji Visa nyingine kwenye Diplomatic Passport is extremely out of whach. You simply can not have two Visas! For what? Visa ni kibali cha kuingia kwenye nchi na hali yako ya uwepo mara baada ya kuingia (status). Sasa ukishakuwa na kibali cha kuingia ndio umeshaingia, huhitaji kingine. Na status huwezi kuwa nazo mbili, moja inakuruhusu kukaa milele (PR) nyingine inakutaka urudi ukimaliza kazi iliyo kuleta (non-immigrant Visa aliyopewa Ballali). Huoni conflict hapo musee!

Sasa hayo hapo sio maneno yangu. Ni Ubalozi ulielezea. Lakini wewe unadai eti maelezo ya Ubalozi yana utata, yasahihishwe (Jasusi). Hawa mabalozi ndio wametupa hizi Visa, na sheria ni zao. Halafu Balozi anasema huhitaji Statuses mbili tunambishia. Nilidhani mimi ndio mbishi!

Unasema Sheria zote za Green card zinakataa Permanent Residence kutumika kwenye Diplomatic Passport. Lete hiyo sheria inayo kupa confidence ya kusema Balozi kakosea.
 
........naona SOPHIA SIMBA naye anakurupuka kuwa ooh marehemu balali alikuwa na maradhi ya muda mrefu....yeye sophia ni lini amekuwa daktari....?..au hayo maradhi amemuambukiza yeye??...mbona yeye anayo...?...kuwa na maradhi ina maana huwezi kupewa sumu ya kuharakisha kifo..assume angeweza kuishi miaka 25 mbele kama kina katto...?

..rat smell..smell rat!!!....the way wanavyogongana maneno ...rais anasema kazi ya Mungu...waziri membe anasema ...sisi hatujauwa..kama tumeuwa najiuzulu..huyu mgawaji simba anakimbilia kusema ..najua huyu alikuwa mgonjwa siku nyingi...walikuwa wakiunga wote foleni kuchukua dawa au alimuambukiza..au simba kawa daktari...

..du!

Hivi hujamgundua huyu mama kuwa ni mropakaji, na anaropoka pumba kweli kweli
 
...Duh! lakini tukirudi kwenye mada pia tukumbuke Rutihinda nae walisema alilishwa sumu kwani alikuwa anajua siri nyingi sana za wakina Mwinyi,na ndio maana ile kazi akapewa Dr Rashid,yaani mtu wao.Kolimba alilishwa sumu kwa sababu pia alikuwa anataka kulipua bomu la CCM,Malima alilishwa sumu kwa sababu alikuwa na siri nzito za viongozi wenzake aliokuwa nao serikalini kabla ya kuondolewa.....the list goes on and on,hata Mwalimu aliuawa pia...
Mimi hata sijui la kuamini sasa ni lipi,maana kwanza kabisa nilikuwa najiuliza kama kweli kafa...sasa naona hilo swali tayari jibu limepatikana.Sasa natafuta tena jibu kama kuna kamchezo alichezewa au vipi? Zamani ilikuwa ni uchawi,na stori ingekuwa kuwa kalogwa,lakini sikuhizi uchawi ni polonium.At the same time Meghji anasema kwa kipindi chote alichokuwa waziri,Balali alikuwa anakwenda USA kwa ajili ya matibabu more than 3 times a year....basi labda haka kasumu alikabwia wakati dili ya EPA inaendelea,kwa sababu kutokana na maelezo ya Meghji,inaelekea Balali alianza kwenda kutibiwa kabla hata Meghji hajawa waziri
 
Unachemsha vibaya mno!

Kama Permanence Residence ikiwa revoked kwa sababu umekaa sana nje ya nchi husika halafu eti unaipata siku ukirudi, then what's the point of revocation? Yani wana revoke katika kile kipindi ambacho hujarudi UK/USA tu? Well, katika kile kipindi hukujaribu kurudi anyway, so that revocation would have no effect! Revocation itakuwa moot. It makes absolutely no sense!

Permanent Residence ikiwa revoked ndio imetoka! Huwezi baadae kurudi kuwaambia eti ooooh, nina nyumba na familia huko kwenu, au eti oooooh sina criminal record na nina mapesa. You kidding me? Watakwambia "so what?" Ingekuwa hivyo, kila Chomvi na Nyonzo mwenye pesa angepata Green Card. Now you know they don't give GC to every Tom and Harry mwenye clean record na nyumba. I mean, every Joe Blow can have a family!

Halafu kusema kwamba ukiwa na Permanent residence unahitaji Visa nyingine kwenye Diplomatic Passport is extremely out of whach. You simply can not have two Visas! For what? Visa ni kibali cha kuingia kwenye nchi na hali yako ya uwepo mara baada ya kuingia (status). Sasa ukishakuwa na kibali cha kuingia ndio umeshaingia, huhitaji kingine. Na status huwezi kuwa nazo mbili, moja inakuruhusu kukaa milele (PR) nyingine inakutaka urudi ukimaliza kazi iliyo kuleta (non-immigrant Visa aliyopewa Ballali). Huoni conflict hapo musee!

Sasa hayo hapo sio maneno yangu. Ni Ubalozi ulielezea. Lakini wewe unadai eti maelezo ya Ubalozi yana utata, yasahihishwe (Jasusi). Hawa mabalozi ndio wametupa hizi Visa, na sheria ni zao. Halafu Balozi anasema huhitaji Statuses mbili tunambishia. Nilidhani mimi ndio mbishi!

Unasema Sheria zote za Green card zinakataa Permanent Residence kutumika kwenye Diplomatic Passport. Lete hiyo sheria inayo kupa confidence ya kusema Balozi kakosea.


Kuhani Mkuu,

Wapi nimeandika PR ikiwa revoked? Nionyeshe hata sehemu moja niliyoandika hivyo. Soma na usikurupuke bure
 
Kuhani Mkuu

Sheria ziko tofauti wanaopeta kwa pesa ya walipa kodi baada ya kuacha zaidi ya pension zao ni former Presidents & PM's sio kila moja, angalia sheria inasemaje.

Sikusema Ballali atapata matunzo kama ex-Presidents and PM's. Soma vizuri nilicho sema. Kwanza nimeeleza kwanini Private Citizen haina blanket meaning kwamba contact zote na Serikali ndio zimekwisha. Nikatoa mifano ya Mawaziri Wakuu kuendelea kutunzwa (hizo ni contacts baina ya Serikali na Private Citizens wastaafu). Halafu nikaja specifically kwenye ishu ya Ballali, ambae nimesema mkewe ataendelea kupokea pensheni na mafao "yaliyo baki". Umeona nilitumia maneno "yaliyo baki"? Ex-Pres na PMs' wanatunzwa maisha, hakuna cha "yaliyo baki." Kwa hiyo nilicho kieleza kilikuwa sahihi, na lugha niliyo tumia ilikuchukuliwa tahadhari.
 
Alooooooooo yani kuna Info nyingi sana za huyu jamaa na KIFO chake mpaka nachanganyikiwa, maana sijui lipi ni lipi.. duh....
 
Kuhani Mkuu,

Wapi nimeandika PR ikiwa revoked? Nionyeshe hata sehemu moja niliyoandika hivyo. Soma na usikurupuke bure

Nakunukuu:

"Kwa suala la Ballali tayari alikuwa USA wakati visa yake ilivyokuwa revoked, kwahiyo ilitosha tu kuwaambia hao immigration kwamba yeye amerudi kimoja USA na anataka kuendelea na green card yake. Kwasababu yeye bado ana nyumba USA, familia yake iko USA, ana mapesa mengi tu ya kuishi USA, na kikubwa hana criminal record, nina uhakika hiyo green card wangemrudishia bila matatizo yoyote."

Umesema nini hapo? Wangemrudishia Green Card right?

Ndugu sijakurupuka bure. Ni wewe uliharakisha kunambia eti sielewi mambo ya immigration. Wasafiri tutaacha kujua mambo ya Visa bwana?
 
KM,

Soma hii article na niambie kama unaamini mtu kama Ballali ingelikuwa hapa UK angeshindwa kuendelea na PR yake:

When is 'indefinite leave to remain' not 'permanent'?

--------------------------------------------------------------------------------
THIS week, we will discuss an issue raised by an anxious Max who e-mailed from Harare. Max is currently in Zimbabwe where he has been valiantly battling to run a transport business for the past 3 years.

Apparently, due to the economic meltdown in Zimbabwe, the business is literally going nowhere and Max's dream of becoming a transport baron is rapidly turning into a nightmare. Five articulated trucks shipped with cheerful optimism from these shores have rapidly reduced to one forlorn and rusted wreck lying on its back somewhere in the sands of the Zambezi valley. Max wrote to enquire whether he can now return to the UK on the back of his Indefinite Leave to Remain (ILR) in the UK which he obtained in 2003.

The very basic answer is ‘no'. There are exceptions of course, and we will explore them here but generally under the ‘returning residents' rule, Indefinite Leave to Remain (ILR), also called permanent residence or ‘settlement' lapses after more than 2 years absence from the UK. Permanent is not so permanent after all and on the face of the facts, it appears that Max has since lost his ILR because of his absence from the UK for more than 2 years.

So what are the exceptions which Max could rely on? First, lets briefly look at how ILR is obtained. The UK generally grants ILR after 4 years' legal and continuous residence in a range of immigration categories, including asylum since 30 August 2005. Sometimes ILR is granted more quickly, for example after 2 years of marriage to a person settled in the UK. We have also discussed on this column the other categories such as unmarried partners and victims of domestic violence where in appropriate cases, ILR can be granted after 2 years. On the other end of the spectrum of course, ILR may be obtained under the ‘long residence' rule (after 10 years legal residency, or after 14 years of illegal residency in the UK), or the 7-year children concession (whereby children under 18 who have spent 7 continuous years in the UK will be granted Discretionary Leave with their families, regardless of their parents' immigration status).

The ILR visa is coveted primarily because it has no immigration related restrictions on the type of work or business a person on this visa class may undertake. It also clears the way to a host of benefits and tax relief schemes. It is of course also the first major step towards British nationality for those who are so inclined.

Once obtained, ILR may be lost or revoked by the Secretary of State in very limited circumstances. For our discussion, ILR can be lost after 2 years absence from the island. Generally however, a person with ILR can go away and return to the UK as a returning resident if he;

(i) had indefinite leave to enter or remain in the United Kingdom when he last left; and

(ii) has not been away from the United Kingdom for more than 2 years; and

(iii) did not receive assistance from public funds towards the cost of leaving the United Kingdom; and

(iv) now seeks admission for the purpose of settlement (as opposed to a short visit).

Where a person does not benefit from the above by having been away from the United Kingdom for far too long, they may nevertheless be admitted as a returning resident under the exceptions found in Rule 19 of the Immigration Rules.

Rule 19 allows for a person who like Max, has been absent from the UK for more than 2 years to be issued entry clearance as a returning resident if they show that they have lived in the UK for most of their lives. Paragraph 19 is therefore a lifeline to those persons who have ties with the UK which merit admission even if they have been absent from the UK for longer than two years.

There are some critical factors which the Entry Clearance Officer will consider in assessing whether strong ties exist. These include:

* the length of the original residence in the UK (before he left the UK);
* the time the applicant has been outside the UK;
* the reason for the delay beyond the 2 years - was it through their own wish or no fault of their own (e.g. having to care for a sick or elderly relative)?;
* the reasons for leaving the UK and for now wishing to return;
* the nature of the family ties in the UK;
* how close are they and to what extent have they been maintained during the absence?
* do they have a home in the UK and, if admitted, would they remain and live there?

The longer a person has remained outside the UK (over 2 years), the more difficult it will be for them to qualify for admission under this provision. The longer the previous residence in the UK, the stronger the case for consideration, provided that there had not been a break in residence which extended over a number of years. Generally, the pattern of absences as well as the duration of absences will be considered by the Entry Clearance Officer (ECO). Continuity of residence in the UK would not be regarded as broken by a small number of short absences abroad of up to 6 months at any one time. Such short absences cannot be said to disrupt or sever ties with the UK, and would normally be ignored unless such trips were frequent. Where they were, the reasons would be requested. The applicant, like our man, might have business overseas, or might be maintaining family ties abroad.

Other more specific circumstances which would support an application are travel and service overseas with a particular employer before return to the UK with the employer; service abroad for the UK Government, or as a dependant of a member of H M Forces or as an employee of a quasi-governmental body, a British company or a United Nations organisation; employment abroad in the public service of a friendly country by a person who could not reasonably be expected to settle in that country permanently; a prolonged period of study abroad by a person who wishes to rejoin the family in UK on completion of studies; prolonged medical treatment abroad of a kind not available in the UK.

In these situations, the 2 year rule might be waived. Max's options will therefore depend very much on whether the above factors apply to him.

There is of course nothing to stop Max from seeking admission to the UK in another capacity other than that of a returning resident.

Taffy Nyawanza is accredited by the OISC and writes in his personal capacity. He can be contacted at profettaffy@yahoo.co.uk
 
Nakunukuu:

"Kwa suala la Ballali tayari alikuwa USA wakati visa yake ilivyokuwa revoked, kwahiyo ilitosha tu kuwaambia hao immigration kwamba yeye amerudi kimoja USA na anataka kuendelea na green card yake. Kwasababu yeye bado ana nyumba USA, familia yake iko USA, ana mapesa mengi tu ya kuishi USA, na kikubwa hana criminal record, nina uhakika hiyo green card wangemrudishia bila matatizo yoyote."

Umesema nini hapo? Wangemrudishia Green Card right?

Ndugu sijakurupuka bure. Ni wewe uliharakisha kunambia eti sielewi mambo ya immigration. Wasafiri tutaacha kujua mambo ya Visa bwana?

Unachekesha sana, sasa hapo ndio nimeandika PR yake ilikuwa revoked? Mimi naongelea visa kwenye diplomatic passport yake ndio ilikuwa revoked na wala sio green card.

Lazima utofautishe vitu na maandishi yangu hapo juu yako clear kabisa unless kama unataka kupotosha kwa makusudi.

Hakuna hata sehemu moja kwenye mjadala huu ambapo mtu yeyote ameongelea green card kuwa revoked. Hata balozi hakuongelea green card kuwa revoked.

Kwa faida ya discussion ni bora kusoma kilichoandikwa na kama hujaelewa uliza. Mimi sikuandika popote kwamba PR ikiwa revoked unaweza kurudishwa, nimekuambia onyesha nilipoandika hivyo, badala ya kusahihisha makosa yako, unakuja na kitu ambacho ni tofauti kabisa.

Green card au PR kuwa revoked kuna maana tofauti kabisa mkuu. Ni cases chache sana ambazo zinaweza kuifanya serikali ku revoke green card au PR na moja itakuwa ni kwasababu umefanya makosa kwenye nchi husika au uliipata hiyo green card au PR kwa udanganyifu. Case ya Ballali ni tofauti kabisa. Ballali kama ni kupoteza green card yake ilikuwa kwasababu ya kuwa na kazi permanent TZ na pia labda kuwa nje ya nchi zaidi ya mwaka kwa USA. Sababu zote mbili hizo sio kubwa, hivyo kama bado ana ties kubwa na USA, anaweza kurudishiwa green card yake bila matatizo makubwa.

Soma hiyo case ya UK, inaongelea kitu kama hicho hicho.
 
Back
Top Bottom