Kichekesho: Yanga ndio timu kubwa Afrika Mashariki

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
54,486
123,108
Screenshot_20230409-142121_Gallery.jpg

Screenshot_20230409-142210_Gallery.jpg


Champion League ndio kilele cha mafanikio ya mpira. Asante mzee wa jambia kwa kuweka kumbukumbu klia.
Tuendelee na pasaka
 
Kwa lugha nyepesi ni hivi; Yanga hata akichukua kombe la Shirikisho la mwaka huu 2023, haiwezekani tena kwa mwaka huu ikaingia katika vilabu bora 8 vya Afrika maana hiyo list ipo tayari pembeni imejazwa, na sio 8 bora tu, hata 16 bora maana alitolewa wakati wa kutafuta 16 bora 😁😁😁
NB: CAF Champions League ndio kilele cha mpira wa Vilabu barani Afrika
 
Akili mbovu, Barcelona ipo miongoni mwa vilabu vitano Bora Ulaya lakini haupo UEFACL, EUROPA Wala Conference league, ubora wa team haupimwi Kwa kigezo kimoja cha kuwepo 8 Bora kwenye club bingwa..
Wewe ndio una akili mbovu, je hao barcelona wako juu ya Real Madrid Kwa ubora? Hapo ndio point ilipo uto. Nyinyi uto kujiita Bora kwenye nchi au ukanda wakati kwenye ukanda huo huo kuna klabu inashiriki mashindano makubwa zaidi, ni upuuzi makubwa Sana.

Mashindano makubwa ndio yanatoa klabu bora. Morocco ni bora kuliko Senegal lakini Senegal ni bingwa WA AFcon. Ubora wa Morocco ni kutokana na hatua aliyoishia mashindano makubwa world cup.
 
Akili mbovu, Barcelona ipo miongoni mwa vilabu vitano Bora Ulaya lakini haupo UEFACL, EUROPA Wala Conference league, ubora wa team haupimwi Kwa kigezo kimoja cha kuwepo 8 Bora kwenye club bingwa..
Weka rank ya sasa
 
Back
Top Bottom