OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 54,484
- 123,107
Champion League ndio kilele cha mafanikio ya mpira. Asante mzee wa jambia kwa kuweka kumbukumbu klia.
Tuendelee na pasaka
Kijana wa Moo energy, unateseka ukiwa wapi?View attachment 2582203
View attachment 2582204
Champion League ndio kilele cha mafanikio ya mpira. Asante mzee wa jambia kwa kuweka kumbukumbu klia.
Tuendelee na pasaka
Kupata kichekesho kama hivyo unabonyeza ngapi?Kijana wa Moo energy, unateseka ukiwa wapi?
Wewe ndio una akili mbovu, je hao barcelona wako juu ya Real Madrid Kwa ubora? Hapo ndio point ilipo uto. Nyinyi uto kujiita Bora kwenye nchi au ukanda wakati kwenye ukanda huo huo kuna klabu inashiriki mashindano makubwa zaidi, ni upuuzi makubwa Sana.Akili mbovu, Barcelona ipo miongoni mwa vilabu vitano Bora Ulaya lakini haupo UEFACL, EUROPA Wala Conference league, ubora wa team haupimwi Kwa kigezo kimoja cha kuwepo 8 Bora kwenye club bingwa..
Ukimwona mtu mzima naangalia kwa mdomo, jua ana shida nyingi.View attachment 2582203
View attachment 2582204
Champion League ndio kilele cha mafanikio ya mpira. Asante mzee wa jambia kwa kuweka kumbukumbu klia.
Tuendelee na pasaka
Weka rank ya sasaAkili mbovu, Barcelona ipo miongoni mwa vilabu vitano Bora Ulaya lakini haupo UEFACL, EUROPA Wala Conference league, ubora wa team haupimwi Kwa kigezo kimoja cha kuwepo 8 Bora kwenye club bingwa..
Hiyo hapo kakaWeka rank ya sasa
Kina Chelsea walioko Champions league hawapoHiyo hapo kakaView attachment 2582379
Tatizo mashabiki wa bongo wengi wanaweka ushabiki mbele hawaangalii uhalisia, kuwepo champions League hakumaanishi wewe ni Bora Zaidi ya wengine Bali inategemea na opponents unaokutana naoKina Chelsea walioko Champions league hawapo
Said it all, team kama Chelsea msimu huu unasemaje ni Bora eti kisa ipo quarter final ya UEFA wakati performance Yao kiujumla kwenye competitions zote ni mbovu??Kina Chelsea walioko Champions league hawapo