Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 21,642
- 52,464
- Thread starter
- #21
Hakunaga muongozo wa mafanikio.
Kila mmoja na ashinde mechi zake mwenyewe.
Au sio
Hakunaga muongozo wa mafanikio.
Kila mmoja na ashinde mechi zake mwenyewe.
Úzi wa bluu tiki,sema sikuusoma wote ni mrefu sana kama unju bin unuki.
Aliyesoma hadi mwisho atu samaraizie
anajielewa sana huyo jamaa. sio kama yule mwingine aka popoma.Umuungishe nini?
Wewe ni mke wake mpaka umjibieUmuungishe nini?
Sawa mkuuIlikuwa ni Kihonda kanisani.
Kwa sasa Dar es salaam
Sawa mkuu
Sio jibu hilo ni swali.Wewe ni mke wake mpaka umjibie
mimi nimejiriwa nina familia na watoto watatu wanasoma ninamiliki nyumba moja na nyingine ipo kwenye usawa wa linta nina kiwanja kimoja ila najiona maskini wakutupwa.astafirullah
nitarudii
Na mimi nipo hapa Wallet Pub nastua mtori huku nikisubiri jibu pia..Kihonda sehemu gani nije nikuungishe boss
Duuuh mitaa yangu hiyoo, upande wa chini kuna fremu nyingi jirani na kijiwe cha ma trafiki... Na upande wa juu mfusini pia fremu nyingiiIlikuwa ni Kihonda kanisani.
Kwa sasa Dar es salaam
Duuuh mitaa yangu hiyoo, upande wa chini kuna fremu nyingi jirani na kijiwe cha ma trafiki... Na upande wa juu mfusini pia fremu nyingii
Na mimi nipo hapa Wallet Pub nastua mtori huku nikisubiri jibu pia..
Ahaaaa unakunja pale kwenye Grocery nyuma wanauza kitimito... Nimekusoma mkuuKabla hujafika Wallet Pub,
Kuna Barabara inayoingia kushoto ukiwa unatokea Msamvu, kuna bango la Kana Open School. Shuka na hiyo njia, unaweza kuulizia ulipokuwa Ofisi ya Taikon wa Fasihi. Ingawaje Kwa sasa nimehama nipo DSM