BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,810
Kesi Halima Mdee vs CHADEMA imeendelea leo
November 4,2022 hapa mahakama kuu jijini Dar es Salaam
Mbele ya Jaji Cyprian Mkeha.
Jaji anaingia Mahakamani muda huu saa 10:10 Asubuhi hii!
Watu wote hapa Mahakamani tunasimama....!!
Karani wa mahakama:
Kesi namba 36/2022
Halima James Mdee na wenzake kumi na nane dhidi ya CHADEMA...
Mh Jaji:
Karibuni....
Na Tunaweza kuendelea!
Anasimama Wakili wa Serikali:
Mh Jaji naitwa
Leonia Maneno
Namwakilisha mjibu maombi wa pili nawa watatu
Na upande wa Waleta maombi wanawakilishwa na
Mawakili wasomi
Ipilinga Panya
Emanuel Ukashu
Aiko Mwamanenge
Na upande wa Wajibu maombi wa Kwanza anawakilishwa na Wakili Msomi
Peter Kibatala
Hekima Mwasipu
Deogratius Mahinyila
Wakili Panya:
Mh Jaji shauri hili limekuja mleta maombi namba kumi na tano kuhojiwa na upande wa Wajibu maombi wa Kwanza.. kama ilivyokuwa imetolewa hoja
Jaji:
Wakili Kibatala
Kibatala: na sisi Kwa upande wetu tupo tayari kuendelea
Shahidi Nusrat Hanje anapanda Kizimbani!!...
Jaji: Jina lako?
Shahidi: Naitwa Nusrat Shabani Hanje
Jaji: Umri wako?
Shahidi: Nina miaka 33
Jaji: Dini yako?
Shahidi: Muislamu
Jaji shahidi utaapishwa
Jaji: Shahidi utaweza kukaa
Jaji: Mr Kibatala karibu
Jaji: Shahidi upo vizuri
Shahidi: yes ila tatizo ni ufupi
Mahakama kicheko
Kibatala:
Shahidi wito wa kuitwa kikao Cha kamati KUU haujakufukia Kwa wakati?
Shahidi: ndio haukunifikia Kwa wakati
Kibatala: Kwa nn haukukufika Kwa wakati?
Shahidi:
Njia iliyotumika ya wasapt mm sijazoea
Kibatala: Wewe ulikuwa mjumbe wa wa kamati KUU?
Shahidi:ndio nilikuwa kiongozi wa Baraza la vijana
Kibatala: CHADEMA unayosema kuwa mwanachama wa unafahamu kuwa inatumia mawasiliano mbadala?
Shahidi:Ndio nafahamu E-Mail
Kibatala: wewe unafahamu kwenye E-Mail hufahamu njia nyingine?
Shahidi;
Ndio mawasiliano ya Wasapt sijawahi kuona ni njia rasmi ya viongozi kuwasiliana haswa taarifa sensitive kama hizo
Kibatala:
Wewe ulikuwa mjumbe wa kamati KUU ulishiriki kutunga hizo kanuni zinazotambua TEHAMA na ukasema hutambui Wasapt?
Shahidi: Mh jaji kuwa sitambui Waspat Ila kuwa kipindi chote nilikuwa sijawahi kuona njia hiyo ikitumika
Kibatala:Shida yako hapo ujazoea njia Waspat?
Shahidi:
Waspat sio njia inatumika na CHADEMA
Kibatala:Vyovyote itakavyokuwa hiyo barau ya wito wa November 25,2020 uliipata?
Shahidi;
Sikuipata Kwa njia rasmi ila nilipata Kwa njia ya mtandao
Jaji: Uliipata au hakuipata?
Shahidi: Nilipata
Kibatala: Ni sahii Kuwa wito huo ulisema unaitwa kamati KUU Kwa kanuni ya 6.5.1(D)
Shahidi: Mh jaji naomba nione
Shahidi
amepelekewa katiba ya CHADEMA
Shahidi: ndio hiyo
Kibatala: ukisoma 6.5.1.(D)
Kamati KUU imepewa mamlaka ya kushughulikia jambo Kwa dhararu?
Shahidi; mm najua 6.5.1 (a)
Jaji: Embu muaminiane swali halina mtego kabisa
Jaji: Mr Panya Embu msaidie shahidi naona haelewi
Panya: lalda itakuwa alichoulizwa na Kibatala toka mwanzo
Shahidi: Mh jaji hapo bado naomba
Jaji: Shahidi jibu swali au unawasiwasi na Katiba?
Kibatala anarudia swali kifungu hicho 6.5.1 kuwa Kamati KUU inaweza kushughulikia jambo Kwa dhararu
Shahid: ndio
Kibatala:Hapo awali nilikuuliza mambo ya TEHAMA nakuonyesha muongo wa CHADEMA maswala ya TEHAMA soma 3.2
Kibatala: Unafahamu kuwa wewe kama mleta maombi inatakiwa udhibitishe ulichokileta mahakamani kwenye kesi Hii?
Shahidi:.ndio nafahamu
Kibatala: Hiyi barua ya November 25 ulisema ilitoka kwa nani?
Shahidi:
Kwa katibu mkuu
JJ Mnyika
Kibatala:
Ambaye namba yake ya Siku umuiweka?
Shahidi: ofisi ya katibu mkuu mtu yoyote anaweza kutumia
Kibatala:
Kwenye kiapo chako Kuna sehemu ulisema kamati KUU haikivunja
Katiba ya CHADEMA
Shahidi:
Naomba nisome
Anapewa kiapo
Shahidi: Mh jaji kwenye Affidavit para ya 21 inasema (anasoma)
Mh jaji para 21 mpaka nakuja kuitwa kwenye kamati KUU nilikuwa mbunge tayari na hiyo kwenye sehemu E sehemu inataka viongozi washugulikiwe tofauti
Jaji embe uliza upya ilo swali
Kibatala; Kwa Hiyo kwako para ya 21 sehemu E ndio imebeba kukiukwa KATIBA ya CHADEMA?
Shahidi: ndio
Kibatala: Unafahamu Kuwa CHADEMA haijawahi kukuteua Kuwa mbunge?
Shahidi: Sifahamu
Naomba nisome Affidavit
Jaji; kwenye Kesi jinsi ilivyo Kuna sehemu inasema CHADEMA walikuteua Kuwa mbunge
Mahakama kicheko
Kibatala: Kuna sehemu uliandika kwenye kiapo chako Kuwa walikuteua?
Shahidi;
Hakuna sehemu walisema
Kibatala: Kwa Kuwa ndio jambo linalobishaniwa Unafahamu Kuwa unatakiwa kudhibitisha walikuteuaje?
Shahidi: hakuna
ndo Maana tupo hapa Mahakamani
Kibatala: kuna Mahali wanasema kuwa wewe ulikuwa unakingwa na kifungu hicho cha
E ?
Shahidi: hapana
Kibatala: katika hati Yako ya Kiapo umeleta ni Kuthibitisha kuwa umemaliza hatua zote za Ndani ya chama si ndiyo?
Shahidi: ndiyo
Kibatala: kwahiyo vitu ulivyovileta hapa Mahakamani ni Ili vitumike kuamua wewe kupata Haki Yako?
Shahidi: ndio
Kibatala: unafahamu mojawapo ya malengo ya kukuita wewe hapa ni Ili nikudodose Ili Mahakama ifahamu Ukweli Juu Yako na jambo hili?
Shahidi: ndio
Kibatala: nakupeleka kwenye Rufaa Yako Kwenye Mstari unaanza na Maneno kwahiyo:;
Shahidi anaasoma
Anasema Alikuwa Gerezani na hakupewa wito
Kibatala: kwa hiyo unaona Maelezo hayo yanafanana na Maelezo Yako ya Awali kuwa Ulipata?
Jaji: soma Upya
Kibatala: Hizo dhana Mbili zinaoana?
Shahidi: ni mimi niliona tu kwenye Mitandao narudia kusema
Kibatala: Mojawapo ya misingi mingine Mbele ya Mahakama hii ya Kesi Yako ni kuwa hata kwenye Baraza Kuu la Chama hukutendewa Haki
Shahidi: ni sahii
Kibatala: ni sahihi kuwa uliandika Rufaa kwenye Baraza Kuu uliandika Maelezo na Ukaanza kwa kusema wah Viongozi na wajumbe wote wa Baraza Kuu,
Kibatala: Ni sahihi kuwa ulipeleka Rufaa na ukaainisha sababu kadha wa kadha na Ukapeleka Mawasilisho ya kina ya kiwepo na vifungu vya katiba, na dhana za kisheria
Shahidi: ndio
Jaji: Shahidi jibu swali ( Jaji Anarudia swali la Kibatala)
Shahidi: ndio nimeandika mimi na Barua hizi ni za kunisapoti mimi kwenye kesi Yangu
Kibatala: unafahamu kuwa kuna namna Mbili za kusikilizwa? Kwa mdomo au kwa Maandishi?
Shahidi: ndo ilikuwa Hivyo
Kibatala: Na Haki hizo za kusikilizwa kwa kuitwa na kusikilizwa zimejengwa kwenye Misingi ya kikatiba au ni Fikra zako!
Shahidi: ndio lakini Ukiniita lazima unisikilize
Jaji: Nilivyomrekodi ni kuwa kwakuitwa alitegemea kupewa nyingeza ya kuongea
Jaji: Panya nisaidie
Shahidi: Mh jaji Katiba ya Chama Haiwezi ku-over rule Katiba ya Nchi
Panya: Shahidi swali lipo hivi...
Jaji : Jibu swali la
Kibatala: Je kuna Mahali kwenye Katiba ya CHADEMA hayo Maelezo kuwa ulipaswa kupewa Muda wa kujieleza zaidi ya hayo Maandishi?
Shahidi: hapana
Kibatala: Wajibu Maombi walileta hati ya Kiapo kinzani na Wakaleta minutes hapa, sasa iambie Mahakama hii kuwa Unazitambua au huzitambui?
Shahidi Anazipitia....Mh Jaji Hizi Minutes kuna Baadhi ya Vitu navitambua na vingine sivitambui
Kibatala: embu taja unayoyatambua
Shahidi: 9.2 ya Sequence ya matukio
Kibatala: hayo usiyoyatambua Sema vimekuwaje?
Anasoma Zimefikaje hapa?
Au Zimefojiwa?
Shahidi: sijui zimetoka wapi
Kibatala: kwenye Kiapo chako kuna mahali Ungesema kuwa Hizo minutes Zimefojiwa?
Shahidi:
mh jaji Kwenye Kiapo changu kuna Sehemu
Kibatala: kuna Mahali kwenye Kiapo chako kuna Mahali umesema kuwa Hujui kuwa hivyo vimetoka
wapi?
Shahidi: ndio
Kibatala: Umewahi kusikia Neno Afterthought?

Anapewa Maelezo ya CHADEMA yanayosema kuwa NUSRAT HANJE kuwa hakuwahi kushiriki Mchakato wa Ubunge
Kibatala: ndo hayo yanayosemwa unayakubalia au unayapinga? Kwenye Aya ya 6, je wewe unayapinga?
Shahidi: ndio
Kibatala: hayo Madai wewe umeyapinga au unayapinga kuwa Hukukamatwa na hukuwa Gerezani?
Jaji: mpatie Asome
Shahidi: niliyapinga kwenye Affidavit Yangu niliyojibu CHADEMA
Kibatala: Kwahiyo Para 6 ya Kiapo cha CHADEMA Imeipinga kwenye Kiapo chako kinzani kwenye Para 7?
Shahidi: Para ya 7 Anasoma
Jaji: Bado Muda mnao
Shahidi: Mh jaji Naomba Turudi kule tukajadili kwenye Chama tukamalize
Mahakama: kicheko
Kibatala: Unafahamu kama hujaverify Par yeyote inakuwa Useless?
Shahidi: ndio
Kibatala: Nisomee
Anasoma Para zote Isipokuwa 7 Ambayo haijawa Verified
Kibatala: Embu Nisomee Par 8 ya Affidavit Yako,
Kibatala: kwa Mujibu wa Kiapo chako ulichokileta Uliachiwa tarehe 23 Nov 2020 kinasema hivyo?
Shahidi: Ndiyo yakwangu, Anasoma
Kibatala: Sasa yale Uliyokuwa unasema unayapinga kuwa hukuwahi kuwa jela?
Shahidi: Mimi nimekataa vingine ila hicho cha kuwa Gerezani sijakataa
Shahidi: ndio
Kibatala: Ambayo Ina Maelezo ya kuwa Gerezani pia!
Shahidi: ndio
Kibatala: je Kwenye content Nzima ya para 6 Umeikataa?
Shahidi: ndio
Kibatala: Katika para 2 ya Kiapo chako umesema kuwa uliteuliwa na CHADEMA
Shahidi: Ndiyo
Kibatala: CHADEMA wanasema hawajawahi kukuteua
Shahidi: Mh jaji Vyama vya siasa vinaua Ndoto za Vijana wengi sana kwenye nchi hii!
Kicheko: Mahakamani
Shahidi: Misheni yote ya kunitoa Gerezani ilifanywa na Mwenyekiti na Katibu Mkuu, wakaniletea Fomu jaza na hakuna shida yeyote!
🤣🤣🤣🤣
Kibatala: Shahidi unasema kuwa swala la kusema kuwa hawajakuteua siyo swala la Msingi?
Shahidi:
Ndio
Kibatala: Nimekuelewa kuwa Kwenye Kiapo chako pia Unataka Mahakama iseme kuwa Mwenendo wa Baraza Kuu kuwa haukufuata Utaratibu
Shahidi: Ni Mimi mwenyewe nashangaa ndo Maana nimekuja hapa Ili Mchakato ukarudiwe tusikilizwe
Shahidi: Ni kweli
Kibatala: umewahi kuchalenge popote vifungu vya katiba ya CHADEMA?
Shahidi: ndio
Kibatala: Toka unaingia kwenye CHADEMA ulikuta Katiba Inasema kuwa wajumbe wa Kamati Kuu ni wajumbe wa Baraza kuu
Shahidi: Hapana kwakuwa iko very Hamble
Kama Niya kubambikizwa hata mm naunga mkono waachiwe tuu maana hazina tija kwa upande wowote.
Ila Kama ni uhalifu halisi sheria za nchi zifuate mkondo wake.
Kibatala tala; nikweli kuwa Kazi Katibu Mkuu aliyofanya ni kutetea Uamuzi wa kamati Kuu Kwenye Baraza Kuu
Shahidi: Alienda mbali zaidi na kuchochoe wajumbe
Kibatala: Embu tusomee Par G, na F
Shahidi: F Baraza Kuu lilipokea Rufaa za warufani ...
Shahidi: G' Mwenyekiti Alitoa wasalisho la nmna alivyo waeleza warufani kutengeneza mahusiano Mazuri na wanachama
Kibatala: Katiba ya CHADEMA inaruhusu au kukataza Mjumbe wa kamati Kuu kuja kufanya wasilisho kutetea Uamuzi wa kamati Kuu Kwenye Baraza Kuu?
Shahidi: Sifahamu
NUSRAT: ni katazo
Kibatala: Sasa Naomba unisomee kwenye Katiba hii ni wapi hilo lipo
NUSRAT: Mh Katiba hii hakuna ila Naifahamu kwenye Katiba ya Nchi ndo inakataza aliyeshiriki kutoa uamuzi Kuja kutetea uamuzi wake kwenye chombo kingine
Kibatala: Unaweza kututajia Ibara Gani?
Shahidi: Kwa ni Mimi ni kosa
Kibatala: Mwendesha Mashtaka akikushitaki na Akaja kwenye mahakama kuja kwenye Mahakama kutetea swala lake ni kosa?
Kibatala: Unakubaliana na mimi kuwa Kamati Kuu ya CHADEMA Siyo Mahakama? Au Unafahamu kuwa kuna tofauti kidogo?
Shahidi: Mh jaji mimi naona Walikuwa manguli hivyo Walikuwa wasingekubali kuwa pale
Shahidi: Nafahamu ila havitofautiani sana
Kibatala: sasa kwa Msingi Huo kuna tofauti Gani mtu Kuja kutetea uamuzi wake kuwa nilifanya sahihi?
Shahidi: Mh jaji mimi niliona nimenyimwa Haki kwakuwa nilikuwa nataka Haki
Kibatala: Hivi Ulitaka nani aje atetee Uamuzi wa Kamati Kuu kwenye Baraza Kuu? Mjumbe Kutoka singida?
Shahidi; Katibu mkuu alipaswa kwa nia Njema awakaimishe jukumu hilo ama Naibu Bara Au Zanzibar!
Kibatala: Ulitaka nani Aje atetee Uamuzi wa Kamati Kuu?
Hekima mwasipu: Fomu uliyojaza ya kuteuliwa kuwa Mbunge ilijazwa na hakima wa Dodoma au Dar?
Shahidi: sijui Katibu mkuu ndo anajua kuwa ilijazwa wapi mimi nilijaza toka July
Hekima mwasipu: Unafahamu kuwa Katika Mchakato wa Uteuzi Ofisi ya Spika inawasiliana na Chama cha Siasa?
Shahidi: sijui
Hekima mwasipu: Kati ya Tume ya Taifa unayosema umeteuliwa na Katibu mkuu wa CHADEMA anasema hajakuteua nani Unamwamini?
Shahidi: Nawaaamini wote
Hekima mwasipu: Mh Jaji Nimemaliza!
Jaji: Mr Kibatala
Kibatala: jaji hatu la Ziada!
Jaji: Panya
Panya: mh jaji tunomba Ahirisho fupi ili tupumzika kidogo kisha tukirejea tuendelee na Re-examination...
Jaji; Naahirisha mpaka saa nane 8 Kamili mchana!