Na Nguza Mbangu ambae in mkubwa kuliko Papy Mocha? Yeye katolewa kwa kifungu kipi? Watolewe kama kina Mramba wafyagie Barbara!Waliponea sheria ya mtoto. Sheria ile inazuia mtu aliyechini ya miaka 18 kufungwa jela. Adhabu yao ilikuwa ni viboko au kufungwa jela ya watoto pale karibu na hospital ya Regency. Kwa vile mwenendo ulikosewa toka mwanzo kuwachanganya na watu wazima wakati wa usikilizaji, ndio wakaachiwa. Kwenye jinai kosa au shaka yoyote inamwachia mshitakiwa.