mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 725
- 1,260
TAMISEMI ondoeni shida ya usafiri kutoka vituo vya SGR.
Malalamiko ya shida ya usafiri kutoka vituo vya SGR sio mageni.
Ni kama viongozi wa mikoa hii ya morogoro na wenzao wa Dodoma wamechagua kuweka pamba masikioni.
Jamani viongozi mnaohusika amkeni kufanya jambo kukomesha shida hii ya usafiri.
Kama viongozi waliopo hawatoshi waondolewe maana watu wanateseka.
Viongozi wa mikoa mingine inayopitiwa na SGR na nyinyi mjenge vituo na kuhakikisha usafiri mzuri kwa abiria msisubiri hadi mradi ufike kwenu na kuwapa watu shida kama hizi.
Mkumbuke huo mradi ni wa kimataifa. Taifa linaaibika kwa uzembe wenu.