Kenya yafuta 50/50 baada ya talaka, unachukua ulichochangia

Kenya wajinga hopeless kabisa kisheria

Tanzania tuko vizuri mfano umeoa Mwanamke hafanyi kazi wale wanaitwa golikipa anajinyima anakula ugali na tembele na kutovaa vizuri ili kubana kahela ka mumewe wanunue kiwanja wajenge au kuanzisha biashara

Mchango wake ni hiyo sacrifice yake angeamua kuwa nataka chips kuku Kila siku na mavazi high fashion za Ulaya au marekani na Kila siku mruke viwanja na kula Bata mngepata mafanikio?

Wakenya wajinga pumbavu zao
Wewe ndio useless kabisa. Yaan anakula hela ya mumewe ambayo sio yake, kuimek tu na kujibana kwa pesa isiyo yake ndio sacrifice? Aisee CCM indelee kututawala
 
ilikuwa hakuna urithi hata neno 'urithi' walikuwa hawalijuwi kabla y Uislam.
Urithi ulikuwepo.

Urithi ni utamaduni ambao upo miaka mingi katika historia ya muafrika. Watu wanarithi hadi wake yani wajane utasemaje hakukuwa na urithi?

Neno kuwa la kiarabu haina maana utendaji wake wa kazi ulianza baada ya ujio wa waarabu

Hiyo inamaanisha baada ya ujio wa waarabu walikuja na tafsiri mpya ya vitu vingi vilivyokuwa vinafanyika kwenye tamaduni za kiafrika.
 
Kenya wajinga hopeless kabisa kisheria

Tanzania tuko vizuri mfano umeoa Mwanamke hafanyi kazi wale wanaitwa golikipa anajinyima anakula ugali na tembele na kutovaa vizuri ili kubana kahela ka mumewe wanunue kiwanja wajenge au kuanzisha biashara

Mchango wake ni hiyo sacrifice yake angeamua kuwa nataka chips kuku Kila siku na mavazi high fashion za Ulaya au marekani na Kila siku mruke viwanja na kula Bata mngepata mafanikio?

Wakenya wajinga pumbavu zao
Kama anataka chips afanye kazi ale kwani anaeongoza maendeleo ni mke au mme?

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Kenya wajinga hopeless kabisa kisheria

Tanzania tuko vizuri mfano umeoa Mwanamke hafanyi kazi wale wanaitwa golikipa anajinyima anakula ugali na tembele na kutovaa vizuri ili kubana kahela ka mumewe wanunue kiwanja wajenge au kuanzisha biashara

Mchango wake ni hiyo sacrifice yake angeamua kuwa nataka chips kuku Kila siku na mavazi high fashion za Ulaya au marekani na Kila siku mruke viwanja na kula Bata mngepata mafanikio?

Wakenya wajinga pumbavu zao
Fikiria upya.
 
Bora wao ila Tanzania tuna double standards ambayo kwa hali ya sasa anayeumia mtu mmoja ambaye ni mwanaume..

Mwanamke ambaye ni golikipa hata sheria za Kenya wanaelewa anapata ,ila hiyo imelenga wazee wa 50/50 hawa wanafanya kazi , conscious nyingi ila wanataka huduma.

Tanzania ajira wanawake wamejaa sehemu nzuri wanalipwa vizuri ila mume bado tegemezi na mali zake zinagawanywa pasu kwa pasu kama sio ukandamizaji ni nn!? Sheria hii ni ya zamani kipind ambacho wanawake hawana access ya elimu wala kazi kwa sana...Kwa dunia ya sasa haina maana kabisa.
 
Fikiria upya.
Kenya hawako vizuri moja kwenye ndoa za Kikiristo wawili wakioana wanakuwa mwili mmoja wanahesabika mtu mmoja hivyo Mali hapo inakuwa ya mtu mmoja yaani mke na mume haiwi vipande vipande kusema hii ya mke hii ya mume ni zao wote

Pili mke hata akiwa mama wa nyumbani hata kama sio ndoa ya Kikiristo Pesa za Mumewe na zake zimo humo sababu mke anapofanya kazi za nyumbani ni sawa na mfanyakazi wa ndani hivyo Kwa hiyo anastahili kulipwa mshahara kila mwezi Kwa kazi hizo za ndani anazofanya hivyo kama kukitokea talaka meanamke ana haki ya kudai malipo ya misharara ya muda wote alikaa Kwa huyo Mwanaume na riba juu kama alikuwa hamlipi mshahara kila mwezi na kiinua mgongo wanapoachana.Hiyo Sheria inataka kumfanya mwanamke mfano huyo anayeitwa golikipa kuwa Hana chochote anachofanya humo ndani wanasahau kuwa huyo ni mfanyakazi wa ndani domestic worker .Hivyo hiyo tafsiri ya kusema alichochuma ndicho apewe haiko sawa.Mishahara yake kashika Mwanaume kama ni kujenga nyumba Kuna Pesa zake za mishahara yake ambayo alipaswa kulipwa kama mfanyakazi wa ndani ambayo mume hakumlipa na mke hakuiidai ili nyumba ijengwe au biashara zifunguliwe au magari yanunuliwe.Hivyo kwenye Kila mali ambayo mume anayo mke ambaye ni golikipa full time housewife ana hisa kupitia mshahara wake ambayo ka sacrifice Kwa kutolipwa ili ufanye maendeleo

Hiyo Sheria ya Kenya hopeless haijazingatia Sheria za kazi yaani labour laws kutafsiri role ya mke mfano full time housewife ni Nini kwenye nyumba anamfanya kazi Gani na stahiki zake ni zipo kama mfanyakazi wa ndani

Hivyo kama ni gari la mume mshahara wa mke upo kama ni nyumba mshahara wa mke umo humo na ndio maana ya kusikia wanawake Mahakamani wanasema tulijenga wote
 
Kenya hawako vizuri moja kwenye ndoa za Kikiristo wawili wakioana wanakuwa mwili mmoja wanahesabika mtu mmoja hivyo Mali hapo inakuwa ya mtu mmoja yaani mke na mume haiwi vipande vipande kusema hii ya mke hii ya mume ni zao wote

Pili mke hata akiwa mama wa nyumbani hata kama sio ndoa ya Kikiristo Pesa za Mumewe na zake zimo humo sababu mke anapofanya kazi za nyumbani ni sawa na mfanyakazi wa ndani hivyo Kwa hiyo anastahili kulipwa mshahara kila mwezi Kwa kazi hizo za ndani anazofanya hivyo kama kukitokea talaka meanamke ana haki ya kudai malipo ya misharara ya muda wote alikaa Kwa huyo Mwanaume na riba juu kama alikuwa hamlipi mshahara kila mwezi na kiinua mgongo wanapoachana.Hiyo Sheria inataka kumfanya mwanamke mfano huyo anayeitwa golikipa kuwa Hana chochote anachofanya humo ndani wanasahau kuwa huyo ni mfanyakazi wa ndani domestic worker .Hivyo hiyo tafsiri ya kusema alichochuma ndicho apewe haiko sawa.Mishahara yake kashika Mwanaume kama ni kujenga nyumba Kuna Pesa zake za mishahara yake ambayo alipaswa kulipwa kama mfanyakazi wa ndani ambayo mume hakumlipa na mke hakuiidai ili nyumba ijengwe au biashara zifunguliwe au magari yanunuliwe.Hivyo kwenye Kila mali ambayo mume anayo mke ambaye ni golikipa full time housewife ana hisa kupitia mshahara wake ambayo la sacrifice Kwa kutolipwa ili ufanye maendeleo

Hiyo Sheria ya Kenya hopeless haijazingatia Sheria za kazi yaani labour laws kutafsiri role ya mke mfano full time housewife ni Nini kwenye nyumba anamfanya kazi Gani na stahiki zake ni zipo kama mfanyakazi wa ndani
Mimi nilipokuwa mdogo(kufungiwa kwenye box)nilikuwa nawaza kama wewe.Fungua macho.Utaibiwa.Mwili mmoja na mwizi?
 
Back
Top Bottom