Anaomba ushauri: Alimuacha mke kwa miaka 9 (bila kumpa talaka kwa ndoa ya kiislamu), sasa anataka warudiane wakati mke alishaolewa!

Mbahili

Senior Member
Nov 28, 2016
185
283
Mimi ni kijana nina miaka 37, nimeoa ndoa yangu ina miaka 12 sasa, kuna kipindi nilipata mwanamke mwingine, niliondoka na kwenda kuishi naye, kweli nilimuacha mke wangu na watoto wawili na sikuwa nikihudumia kwakua kipato kilikua cha shida, lakini sikumpa talaka kwani sisi wote ni waislamu. Kwa miaka kama tisa hivi nilikua sijakanyaga nyumbani nilianzisha familia nyingine nikawa naishi na huyo dada, sikuhudumia si kwakua sikutaka bali kwakua sikua na kazi.

Mwaka jana huyo mwanamke niliyekua nikiishi naye alimua kuniacha, aliondoka na kwenda kuishi na mwanaume mwingine. Aliniacha kwa dharau na matusi nikaona kwakua hatukufunga ndoa basi niondoke, aliondoka na wanangu wawili na mpaka sas ahataki hata nihudumie watoto. Kwanza niliona aibu kurudi nyumbani lakini baada ya kuongea na marafiki zangu walinishauri nirudi kulea familia. Mimi kwetu ni shinyanga na huyo mwanamke niliyekua naishi naye alikua akiishi Mwanza.

Nilirudi nyumbani lakini cha ajabu niliambiwa kuwa mke wangu alikua kaondoka mua mrefu kaondoka na watoto wangu. Roho iliniuma sana, kwani alikata mawasiliano kabisa na ndugu zangu na walikua hawajui kama yuko wapi? niliamua kwenda mpaka kwao, Moshi Kilimanjaro, mke wangu yeye ni mpare, nilienda na kuongea na ndugu zake, kwanza walinishangaa na kuniambia kuwa mke wangu alirudi nyumbani na kuwaambia kuwa nimempa talaka, alianza maisha na sasa anishi Dar anafanya kazi.

Baada ya kuondoka kwetu nilipokua nimemuacha alirudi akawaacha watoto nyumbani kwao akaenda kusoma chuo kwani wakati nilimuoa alikua na Diploma. Alimaliza Digrii na sasa hivi anafanya kazi kwenye benki moja ni mtu mkubwa tu. Niliamua kwenda dar kumtafuta, niliwaambia ndugu zake ninachotaka mimi ni kuwaona watoto wangu basi. Nilienda nikamfuata ofisini, alinipokea vizuri tu na kuniruhusu kuwaona watoto lakini hakuruhusi niende kwake. Tatizo nikuwa mimi nimejirudi, nataka kurudiana na mke wangu lakini yeye alikua hataki.

Amefunga ndoa na mwanaume mwingine wakati mimi bado nilikua sijampa talaka, nimeuambia hata anipe mtaji ili nimuache nimpe talaka lakini hataki hata kunisikia. Naomba kuuliza hivi sina haki zozote kwa mke wangu? Je mimi sitambuliki kama mume halali wakati sikumpa talaka?
 
niliwaambia ndugu zake ninachotaka mimi ni kuwaona watoto wangu basi.
Nilienda nikamfuata ofisini, alinipokea vizuri tu na kuniruhusu kuwaona watoto lakini hakuruhusi niende kwake.
Naomba kuuliza hivi sina haki zozote kwa mke wangu?
Inawezekana alikwenda omba talaka kwa Mufti(mahakama ya kadhi). Kumbuka huyu mke ulimtelekeza kwa miaka 9 sasa unataka akusubiri tu?. Maneno yako umesema unataka akupe mtaji ndio utowe talaka sasa shida yako mtaji au mke?.
 
Huku nikikutukana nitafungiwa ila we jamaa ni MPUUZI sana..!!Hio Ndoa ya 12 ni ipi ni hiii hii Uliemuacha mwanamke miaka 9 kwasababu ya Hawara..?Umerudi kwasababu kule umeachwa so bila kuachwa bado ungebaki kule MPK kifo chako..!Huna Adabu Umeleta mada ya kunikera usiku huu Nitakutukana mseng* wewe…
 
Huyu bwana ukiachilia mbali uislamu wake pia ni TAAHIRA, kuwakimbia wanao miaka 9 kwa kisingizio cha ugumu wa maisha huku ukiishi na mchepuko na kutoa huduma ni ujinga usiovumilika na mtu yeyote. wewe ulieleta mada hii hapa jukwaani ni mshenzi kwa niaba ya huyo uliemuwakilisha!
 
Inawezekana alikwenda omba talaka kwa Mufti(mahakama ya kadhi). Kumbuka huyu mke ulimtelekeza kwa miaka 9 sasa unataka akusubiri tu?. Maneno yako umesema unataka akupe mtaji ndio utowe talaka sasa shida yako mtaji au mke?.
Anaomba kuuza Talaka Kwa bei gani mjinga huyu?, Kwani yeye anaomba ile K yake ameifunga Kwa Talaka, kwamba asipompa Talaka machine nyingine haziingizi mzigo?
 
Mimi ni kijana nina miaka 37, nimeoa ndoa yangu ina miaka 12 sasa, kuna kipindi nilipata mwanamke mwingine, niliondoka na kwenda kuishi naye, kweli nilimuacha mke wangu na watoto wawili na sikuwa nikihudumia kwakua kipato kilikua cha shida, lakini sikumpa talaka kwani sisi wote ni waislamu. Kwa miaka kama tisa hivi nilikua sijakanyaga nyumbani nilianzisha familia nyingine nikawa naishi na huyo dada, sikuhudumia si kwakua sikutaka bali kwakua sikua na kazi.

Mwaka jana huyo mwanamke niliyekua nikiishi naye alimua kuniacha, aliondoka na kwenda kuishi na mwanaume mwingine. Aliniacha kwa dharau na matusi nikaona kwakua hatukufunga ndoa basi niondoke, aliondoka na wanangu wawili na mpaka sas ahataki hata nihudumie watoto. Kwanza niliona aibu kurudi nyumbani lakini baada ya kuongea na marafiki zangu walinishauri nirudi kulea familia. Mimi kwetu ni shinyanga na huyo mwanamke niliyekua naishi naye alikua akiishi Mwanza.

Nilirudi nyumbani lakini cha ajabu niliambiwa kuwa mke wangu alikua kaondoka mua mrefu kaondoka na watoto wangu. Roho iliniuma sana, kwani alikata mawasiliano kabisa na ndugu zangu na walikua hawajui kama yuko wapi? niliamua kwenda mpaka kwao, Moshi Kilimanjaro, mke wangu yeye ni mpare, nilienda na kuongea na ndugu zake, kwanza walinishangaa na kuniambia kuwa mke wangu alirudi nyumbani na kuwaambia kuwa nimempa talaka, alianza maisha na sasa anishi Dar anafanya kazi.

Baada ya kuondoka kwetu nilipokua nimemuacha alirudi akawaacha watoto nyumbani kwao akaenda kusoma chuo kwani wakati nilimuoa alikua na Diploma. Alimaliza Digrii na sasa hivi anafanya kazi kwenye benki moja ni mtu mkubwa tu. Niliamua kwenda dar kumtafuta, niliwaambia ndugu zake ninachotaka mimi ni kuwaona watoto wangu basi. Nilienda nikamfuata ofisini, alinipokea vizuri tu na kuniruhusu kuwaona watoto lakini hakuruhusi niende kwake. Tatizo nikuwa mimi nimejirudi, nataka kurudiana na mke wangu lakini yeye alikua hataki.

Amefunga ndoa na mwanaume mwingine wakati mimi bado nilikua sijampa talaka, nimeuambia hata anipe mtaji ili nimuache nimpe talaka lakini hataki hata kunisikia. Naomba kuuliza hivi sina haki zozote kwa mke wangu? Je mimi sitambuliki kama mume halali wakati sikumpa talaka?
Kwa Kuwa kabila la mke ushalitaja, bila shaka sitaambiwa Ninaendekeza ukabila nikikuuliza kuwa wewe ni msambaa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom