Kenya yafuta 50/50 baada ya talaka, unachukua ulichochangia

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
51,702
113,371
Screenshot_20240125_202822_Chrome.jpg

Ndugu zangu katika JF tujadili jinsi ya kuanzisha hili vuguvugu ambalo litasababisha mabadiliko ya sheria. Kila mtu aondoke na alichochuma. Hii itasaidia sana kuimarisha ndoa
 
Kenya wajinga hopeless kabisa kisheria

Tanzania tuko vizuri mfano umeoa Mwanamke hafanyi kazi wale wanaitwa golikipa anajinyima anakula ugali na tembele na kutovaa vizuri ili kubana kahela ka mumewe wanunue kiwanja wajenge au kuanzisha biashara

Mchango wake ni hiyo sacrifice yake angeamua kuwa nataka chips kuku Kila siku na mavazi high fashion za Ulaya au marekani na Kila siku mruke viwanja na kula Bata mngepata mafanikio?

Wakenya wajinga pumbavu zao
 
Kenya wajinga hopeless kabisa kisheria

Tanzania tuko vizuri mfano umeoa Mwanamke hafanyi kazi wale wanaitwa golikipa anajinyima anakula ugali na tembele na kutovaa vizuri ili kubana kahela ka mumewe wanunue kiwanja wajenge au kuanzisha biashar...
Kama hutaki kuchukua 3% uliyochangia hakikisha una imarisha ndoa iwe kufa na kuzikana
 
Hili ni zuri hasa kwa maisha ya sasa. Pia ningependa kuwepo na ''prenuptial agreement'' au mkataba wa ndoa. Mkataba unaweza kujadili masuala mbalimbali ya kifedha na mali na yanaweza kujumuisha mambo kama vile umiliki wa mali, majukumu ya kifedha, na mgawanyo wa mali katika tukio la talaka au kifo. K

wa mfano mnaweza kukubaliana kuwa wakati wa ndoa, mali na fedha zinazopatikana kila mtu anamiliki chake, na wakiaachana kila mtu anaondoka nacho.
 
Kenya wajinga hopeless kabisa kisheria

Tanzania tuko vizuri mfano umeoa Mwanamke hafanyi kazi wale wanaitwa golikipa anajinyima anakula ugali na tembele na kutovaa vizuri ili kubana kahela ka mumewe wanunue kiwanja wajenge au kuanzisha biashara

Mchango wake ni hiyo sacrifice yake angeamua kuwa nataka chips kuku Kila siku na mavazi high fashion za Ulaya au marekani na Kila siku mruke viwanja na kula Bata mngepata mafanikio?

Wakenya wajinga pumbavu zao
Atake mavazi ya ulaya na marekani kwani ela yake ?😂😂😂😂 taka mavazi ya ulaya na kula bata kwa ela yako
 
Kenya wajinga hopeless kabisa kisheria

Tanzania tuko vizuri mfano umeoa Mwanamke hafanyi kazi wale wanaitwa golikipa anajinyima anakula ugali na tembele na kutovaa vizuri ili kubana kahela ka mumewe wanunue kiwanja wajenge au kuanzisha biashara

Mchango wake ni hiyo sacrifice yake angeamua kuwa nataka chips kuku Kila siku na mavazi high fashion za Ulaya au marekani na Kila siku mruke viwanja na kula Bata mngepata mafanikio?

Wakenya wajinga pumbavu zao
Kwa hiyo unamaanisha mwanamke anayekula bata na chips hapaswi kuwa kwenye mgao wa 50/50?
 
Back
Top Bottom