Kenya ilikosewa, maendeleo yake yana limitations!

Rich Kenyans !! Bado sijaona ni kwa nini tunawalaum ndugu zetu Wakenya kwa kiasi hiki, mimi binafsi ni ndugu zangu Kenya na nimesomea Kenya elimu ya Msingi, hawa watu wana uzalendo sana na nchi yao kitu ambacho ni tofauti na nchi nyingine. Ukiigusa Kenya, wanaondoa tofauti zao na kukushambulia wewe, sio rahisi hicho kitu kinachohusu ukabila kikavunja umoja wao katika ngazi ya Kimataifa, angalia hata michezoni - riadha n.k wanashiriki kama Kenya sio kabila wala Ukanda fulani, angalia maendeleo yao hata barabara, watu wa mikoa ya Kanda ya Ziwa kutoka Tz wamekuwa wakitumia barabara za kenya muda mrefu kwenda Nairobi, angalia kule Rorya na Tarime - Cement, mabati, sukari, nondo, sabuni mafuta ya kupikia vyote vyatoka Kenya. Watanzania ndio wanabaguana nje ya nchi, hao wakenya wakiwa nje ya nchi wanavaa nguo zenye rangi ya bendera ya nchi yao, ni vizuri Watz tukajifunza mazuri kutoka kwao kama vile kufanya kazi kwa bidii, kutumia fursa yoyote inayojitokeza nje ya nchi na kurudi kuwekeza kwetu na kuipenda nchi yetu, yale mabaya tuwaachie wayashughulike wenyewe, maana dawa yake wanayo wenyewe.
Wewe hujielewi, sijui hata unatetea nini hapa,
Wenzio tumekaa pembeni kwanza tuwaone wanavyotupiana vijembe vya ukabila,
Barbarossa amawachokonoa kiaina umeona walivyotiririka..
Hahahaha.
 
I am very real, we always had our differences but tell me when they were used so efficiently to divide us. We always looked at the ethnic composition of Moi and Kibaki cabinet but tell me when they were used on a national scale to vilify a community. Tell me of any uprising to wards the Kalenjin community during Moi era or Kenyattas rule against the Kikuyu. You should look at the composition of the Kenyan tribes and start seeing the fallacy of 41 against 1

Nigga plizz..Don't be so hostile to the facts here..Everyone old enough and conversant with the history of Kenya in 60-70s knows that there is only one man who sowed the seeds of tribalism in Kenya and that man is the ONE &ONLY JOMO KENYATTA..GEMA.....
 
Nigga plizz..Don't be so hostile to the facts here..Everyone old enough and conversant with the history of Kenya in 60-70s knows that there is only one man who sowed the seeds of tribalism in Kenya and that man is the ONE &ONLY JOMO KENYATTA..GEMA.....
You can swallow a grenade i dont care, no other candidate ever publicly vied for presidency on the basis on pitting tribe against tribe. If there was tribalism, he mainstreamed it
 
You can swallow a grenade i dont care, no other candidate ever publicly vied for presidency on the basis on pitting tribe against tribe. If there was tribalism, he mainstreamed it

You sir must be avulsed from reality. Blaming Raila for everything and anything that is wrong with tribalism in Kenyais so jejune.
There is no scintilla of evidence to link RAO to the current tribal decay-THATS A FACT not even a blind man can deny that. He found the system already putrefied.
RAO tried to remedy that by campaigning for that thankless KIBAKI in 2002 and managed to convince the Luos to vote for a Kikuyu.
So the stench of tribalism that permeates every aspect of our lives in Kenya today can be traced to the man buried near Parliament -JOMO KENYATTA-What a waste of tax money guarding a dead body-A NYANGAU WHO GRABBED 500,000 ACRES OF LAND..THAT LEFT THE REAL MAUMAU FIGHTERS LANDLESS AND LIVING AS SQUATTERS.
Lastly, your absurd suggestion of ostracizing RAO from the political equation is not only wrong but incogitable and phantasmagoric to say the least.
 
Hotbed kitu gani? Kwanza hiyo picha yako inakaa mbaya, it looks like a really black lady bent over with no clo.....just remove pic for christ's sake!
hiyo ni mbegu ya mti buana sio makalio au korodani,kimtokacho mtu ndicho kiujazacho moyo wake
 
Wewe hujielewi, sijui hata unatetea nini hapa,
Wenzio tumekaa pembeni kwanza tuwaone wanavyotupiana vijembe vya ukabila,
Barbarossa amawachokonoa kiaina umeona walivyotiririka..
Hahahaha.
Wewe ndo hujitambui, binadamu anayejitambua hawezi kushangilia mifarakano ya watu, bali anapaswa kuhimiza katika kuiondoa. Sawa wanatupiana vijembe, wewe unafaidikaje na huo ukabila wao !!! Ndugu wakigombana, chukua jembe ukalime, wakiapatana chukua kapu ukavune.
 
Kenya was not founded by whites you dumbass, Kenya was existing before the whites....The issue of believing that Whites discovered Africa, Mt.Kilimanjaro,Victoria should stop, Do you imply that the people who were living around these places didn't know they existed?

Anyway just so you know, below is the composition of the Kenya population
1. Bantu-64%
2.Nilotes,cushites and rest-23%
3.Non African(whites, arabs and indian)-13%.

The tribal bigotry in Kenya is so complicated for you to understand !
 
Hata waswahili walisema mwacha mila ni mtumwa, na mwacha asili? I celebrate my language, i celebrate my tribe, i celebrate our diversity, i shun the negative ethnicity brought about by one Raila Odinga to show how divided we are. Remove Rao from the equation and the perceived divisions are minor. How many times have i been in a place where the language they speak is alien but never received any hate? Why is the hate only when there are elections? We have our minor divisions but 41 against 1 was the game changer that hopefully will not recur. A nation doesn't have to be monolingual to thrive; Somalia is one tribe, why has it experienced warfare for decades?

akili matope hii itaweza kujenga nchi

somalia nao ni kabila lakini bado wana koo na ndo shida
 
Back
Top Bottom