Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,069
Teh mujisafishe kwanza kama vile hakuna mtu hajui maisha ya huko
So Raila is the cause of tribalism in Kenya? Wow.
I have never been a Raila fan but your assertions are absurd.
Mkuu barbrosa, nilipata mshangao sana, kwenye meeting moja tulikuwa na wakenya, basi mkenya alienda kupresent jambo, cha kushangaza aliweza kutaja tena kwa ujasiri idadi ya watu katika kabila lao, yaani majamaa yanahesabiana kikabila.. ,
wote tulionekana kumshangaa halafu yeye (tena ni msomi wa level ya masters) hakuonekana kuwa na wasiwasi kabisa na aliona ni sahihi kabisa na kwa kujiamini,
Sasa mtu anatangaza ukabila hadi nje ya nchi Yake, what a nonsense
For sure Kenyans need to stand as a Nation, these ethnicity will take you no where.
Nchi ya Kenya ukiondoa labda Mombasa, ilikosewa uanzishwaji wake, walioianzishwa (Wazungu) hawakujali tofauti kubwa ya Kiutamaduni ya watu waishio nchini humo, ikumbukwe kwamba nchi ya Kenya ukiondoa Mombasa ni matokeo ya Reli ya Mombasa - Uganda, Waingereza walivyoamua kujenga hiyo Reli ndiyo ikakusanya jamii mbali mbali zilizokuwa zinaishi ilikopita hii Reli lkn jamii ambazo zilikuwa hazina uhusiano wowote ule, siyo wa kilugha wala Kiutamaduni!
Tofauti na Tanzania ambapo zaidi ya 98% ya watu waisho nchini TZ ni Wabantu maana yake ni kwamba ni watu wa tamaduni, lugha na way of life zinazofanana au kukaribiana, na ndiyo maana ni Tanzania hakuna ethnics conflicts, na ugomvi pekee ulioko Tanzania ni Wafugaji dhidi ya Wakulima ambapo Wafugaji pia siyo Wabantu hivyo wana utamaduni mwingine ndiyo maana kuna conflict wakati nchi ya Kenya watu wake ni tofauti sana kuna Wabantu, sijui Nilotic, Semitc na hao wote ni idadi kubwa tu hivyo hawa watu hawawezi kuja kuunda nchi moja, yaani Taifa, kwa mfano ukienda huko Eastleigh kuna Wasomali ambao wala hawajui kama wako Kenya na ukimuuliza kuhusu Mkikuyu hajui chochote kwa maana hana ukaribu naye kwa chochote kile!
Hivyo nchi ya Kenya itajitahidi kupiga hatua kubwa kimaendeleo inavyotaka lkn kuna limitations, yaani kuna mahali hawawezi kuvuka, nitatoa mfano mdogo sana ni kawaida kwa kiongozi wa Kenya kusema ,,my people" akimaanisha watu wa ethnic group yake na siyo Taifa la Kenya, kitu ambacho Tanzania sijawahi kusikia Kiongozi akisema my people, kwa kawaida sisi tukisema my people tunamaansha Watanzania!
Hivyo kama ilivyo pia nchi ya Nigeria ambapo kwa mfano wa Igbo wanakwambia wako tofauti na Wayoruba na hawawezi kuishi pmj kwa maana hakuna kinachowaunganisha, nchi ya Kenya ni ngumu sana kuona huko mbele itasimama vp kwa maana matatizo waliyo nayo ni makubwa sana chukulia tu mfano hapa Tanzania Vyuo vikuu tuna wawakiishi wa vyama vya Kisiasa labda hata Mkoa wanayotoka lkn Kenya kuna wawakilishi wa ethnic groups vyuoni, kuna TV stations za ethnics groups, kuna Radio stations za ethnics group, kuna mpaka Hospital ingawaje siyo official lkn unaweza kusema ni za kiethnics mpaka Benki, ukienda restaurant kuna Migahawa ya kiethnics, bar ha kiethnics n.k sasa unawezaje kuondoa tofauti hizi zote?

Could you kindly explain how Raila is the sole cause of tribalism in Kenya? Coz from my perspective ni watu wengi sana wakubwa na nitakueleza ukishanifafanulia msimamo wako.Kuna matatizo ya Ukabila katika nchi yetu, lakini Raila ndiye Kiberiti. ni kama tu Machar na South Sudan.
Ukabila si ugonjwa wa wananchi. Ni Ugonjwa wa wale waojiita viongozi. Na Raila ndiye tatizo kubwa katika taifa letu. Ni balaa tupu.
Watu waTanzania wangekuwa na mtu kama Raila, wangekuwa wakililia chooni.
Could you kindly explain how Raila is the sole cause of tribalism in Kenya? Coz from my perspective ni watu wengi sana wakubwa na nitakueleza ukishanifafanulia msimamo wako.
Kuna matatizo ya Ukabila katika nchi yetu, lakini Raila ndiye Kiberiti. ni kama tu Machar na South Sudan.
Ukabila si ugonjwa wa wananchi. Ni Ugonjwa wa wale waojiita viongozi. Na Raila ndiye tatizo kubwa katika taifa letu. Ni balaa tupu.
Watu waTanzania wangekuwa na mtu kama Raila, wangekuwa wakililia chooni.
ouch! and i had all along thought u had something between your ears. dah typical mungiki..Kuna matatizo ya Ukabila katika nchi yetu, lakini Raila ndiye Kiberiti. ni kama tu Machar na South Sudan.
Ukabila si ugonjwa wa wananchi. Ni Ugonjwa wa wale waojiita viongozi. Na Raila ndiye tatizo kubwa katika taifa letu. Ni balaa tupu.
Watu waTanzania wangekuwa na mtu kama Raila, wangekuwa wakililia chooni.
wewe upo kwa group ya silent majority, ambayo inaelewa umuhimu wa uhusiano mzuri baina ya kenya na Tz. ila tuna louder minority ambayo yafanya kile kibaya wanachosema kionekane ni kama waTz wote wanakikubali. nimekupa heshma mkuu kwa kuyasema yalivyo...big up bro na unapofika pale Nrb, nijulishe ili tule nyama choma kwenye tusker baridi tukijadili mengi kuhusu biz na kuunda mkwanjaAcha kuwaombea wenzako mabaya, Wakenya ni Ndugu zetu. Mimi elimu ya msingi nimesoma Kenya na kubahati kushi huko kwa kuwa nina ndugu huko, mipaka ya Kikoloni iligawa Kenya na Tanzania bila kujali jamii zilizokuwa mipakani zinavyohusiana, unashangaa watu wa familia (Babu mmoja) walihawanywa wengine wako Tanzania na wengine wako Kenya, shughuli za kijamii katika shida na raha kama vile arusi, misiba na n.k tuko pamoja. Ninachofahamu ni kwamba nchi ya Kenya iko mbele kimaendeleo, nenda Nairobi uone watu walivyo na pesa, majumba yanvavyojenga, angalia watu wanavyotembea kwa haraka barabarani wakiwa katika maeneo yao ya kazi; rudi hapo Dar uone mnavyotembea kizembe, mnavyopoteza muda kucheza pool siku nzima, hala unarudi kula nyumbani bila kuzalisha kitu !! Wacha wewe kuombea wenzako mabaya, rekebisha ya kwako. Sawa ni kweli hao watu wana vituo vya runinga vya kikabila, hata shuleni tulikuwa tunafundishwa lugha ya Mama katika madarasa ya awali, je, unawazidi nini katika maendeleo ??
Sijasema Kuwa Raila is the sole cause of Tribalism. Nimesema kuwa Tribalism ni ugonjwa wa viongozi na Raila ndiye epitome of that doctrine.
Tatizo la Raila ni kuwa yeye huwa na politics of Brinkmanship. Anapenda nchi iwe in a crisis wakati wote ndiposa ajifanye kiongozi. Hata wetangula naye anakaa keshaanza upumbavu huo.
And now, upon being confronted over ur argument, u turn around to state that u meant that Raila is the man who creates crises in Kenya, which he capitalizes on for his political advancements. Do u then realize the contradictions in your arguments? Just bcos he spawns all these crises for his political ends, does that make him a tribalist? Does he preach hatred btwn tribes? Those two are very different things.Kuna matatizo ya Ukabila katika nchi yetu, lakini Raila ndiye Kiberiti. ni kama tu Machar na South Sudan.
Ukabila si ugonjwa wa wananchi. Ni Ugonjwa wa wale waojiita viongozi. Na Raila ndiye tatizo kubwa katika taifa letu. Ni balaa tupu.
Watu waTanzania wangekuwa na mtu kama Raila, wangekuwa wakililia chooni.
You had first painted Raila as a the poster-child of tribalism in in Kenya in your comment here, in support of Dhuks senseless comment
And now, upon being confronted over ur argument, u turn around to state that u meant that Raila is the man who creates crises in Kenya, which he capitalizes on for his political advancements. Do u then realize the contradictions in your arguments? Just bcos he spawns all these crises for his political ends, does that make him a tribalist? Does he preach hatred btwn tribes? Those two are very different things.
Raila is not the epitome of tribalism in Kenya, it exists in all us, and all our leaders merely capitalize on them for their own goals in politics. It is a problem that had begun long before Raila had indeed gained any foothold in politics.
Raila has no hand in Kikuyu Kalenjin enmity over land or Kikuyus vs masais or the cushites vs bantus, luo vs Kalenjins, or the bitter rivalries btwn tribes in the coastal regions etc. This is a problem we Kenyans must face and resolve with an open mind, not by laying the blame on one individual or group.
You are no different from the other tribalists if that's how you view things. See, Raila supporters who are tribalists will justify their hate for Uhuru and his supporters by absurd claims like, 'Uhuru is the reason Kenya is so tribal' just in a similar fashion you claim Raila is the problem. If we were to go back in history you'll realize that the only person who had the power to stop tribalism was Kenyatta Sr but he instead encouraged it. All that said and done, I honestly believe Raila is one of the least tribal politicians in this country. Let's stop blaming each other and do what's right. The 'they're bad and tribal and we are not' mantra is the biggest cause of tribalism in the first place and from my experience - the people who go around blaming somebody from the other side of the divide for the situation are the biggest tribalists ever.
My question then, how has he spread the tribal animosity in Kenya? Has ever preached hatred against any community? Has he ever ever orchestrated violence targeting any particular tribe?Nitarudia kwa kusema kuwa Raila ndiye Kiberiti. Kiberiti hakiwezi kufanya chochote hadi kuni iwepo. Hata Tanzania ina kuni, Ingawa kuni yao si nyingi kama yetu. kile wanachokosa ni viberiti. Hilo sote twalijua.
Kwangu mie, sina ukabila. Sina shida na kumpa mtu yeyote uongozi. Hata awe mzungu, sina shida.
Rich Kenyans !! Bado sijaona ni kwa nini tunawalaum ndugu zetu Wakenya kwa kiasi hiki, mimi binafsi ni ndugu zangu Kenya na nimesomea Kenya elimu ya Msingi, hawa watu wana uzalendo sana na nchi yao kitu ambacho ni tofauti na nchi nyingine. Ukiigusa Kenya, wanaondoa tofauti zao na kukushambulia wewe, sio rahisi hicho kitu kinachohusu ukabila kikavunja umoja wao katika ngazi ya Kimataifa, angalia hata michezoni - riadha n.k wanashiriki kama Kenya sio kabila wala Ukanda fulani, angalia maendeleo yao hata barabara, watu wa mikoa ya Kanda ya Ziwa kutoka Tz wamekuwa wakitumia barabara za kenya muda mrefu kwenda Nairobi, angalia kule Rorya na Tarime - Cement, mabati, sukari, nondo, sabuni mafuta ya kupikia vyote vyatoka Kenya. Watanzania ndio wanabaguana nje ya nchi, hao wakenya wakiwa nje ya nchi wanavaa nguo zenye rangi ya bendera ya nchi yao, ni vizuri Watz tukajifunza mazuri kutoka kwao kama vile kufanya kazi kwa bidii, kutumia fursa yoyote inayojitokeza nje ya nchi na kurudi kuwekeza kwetu na kuipenda nchi yetu, yale mabaya tuwaachie wayashughulike wenyewe, maana dawa yake wanayo wenyewe.poor kenyans...
Rich Kenyans !! Bado sijaona ni kwa nini tunawalaum ndugu zetu Wakenya kwa kiasi hiki, mimi binafsi ni ndugu zangu Kenya na nimesomea Kenya elimu ya Msingi, hawa watu wana uzalendo sana na nchi yao kitu ambacho ni tofauti na nchi nyingine. Ukiigusa Kenya, wanaondoa tofauti zao na kukushambulia wewe, sio rahisi hicho kitu kinachohusu ukabila kikavunja umoja wao katika ngazi ya Kimataifa, angalia hata michezoni - riadha n.k wanashiriki kama Kenya sio kabila wala Ukanda fulani, angalia maendeleo yao hata barabara, watu wa mikoa ya Kanda ya Ziwa kutoka Tz wamekuwa wakitumia barabara za kenya muda mrefu kwenda Nairobi, angalia kule Rorya na Tarime - Cement, mabati, sukari, ndono, sabuni mafuta ya kupikia vyote vyatoka Kenya. Watanzania ndio wanabaguana nje ya nchi, hao wakenya wakiwa nje ya nchi wanavaa nguo zenye rangi ya bendera ya nchi yao, ni vizuri Watz tukajifunza mazuri kutoka kwao kama vile kufanya kazi kwa bidii, kutumia fursa yoyote inayojitokeza nje ya nchi na kurudi kuwekeza kwetu na kuipenda nchi yetu, yale mabaya tuwaachie wayashughulike wenyewe, maana dawa yake wanayo wenyewe.