Kazi za ubunifu za Claudi Cassanovas

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
309,827
762,408
JF inaenda viwango vingine vya kimataifa zaidi.. Tunajiribu kupanua wigo wa mijadala na kazi za ubunifu za maonesho mbali mbali za wabunifu kwenye nyanja zote ambao ni maarufu duniani
Kwa kushirikisha kazi zao kwenye mitandao yetu kunatupa nasi nafasi ya kuzitambua na kuzienzi kazi zao adhimu
Kwa macho ya kawaida unaweza kudhani ni mapichapicha yasiyo na faida wala maana yoyote.. Lakini hizi ni mojawapo ya kazi za kipekee na ghali zaidi duniani zilizobeba tafsiri mbalimbali za
Kijamii
Kiroho
Asili
Filosofia
Na muunganiko kati ya uhai, Mani, ardhi na mbingu.. Lance kumi za dunia na maono ya ndani kwenye hatima za kila kitu
Claudia Cassanovas ni mbunifu anayetumia malighafi za asili kufikisha ujumbe wake

Naamini niko jukwaa sahihi
1744742494394.jpg
 
Back
Top Bottom