JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,195
Njoo mjini kati uone wazee wanavyoshona viatu vya ngozi kwa wanafunzi. Hao wamachinga hakuna anayeuza hata pair ya viatu vya hao wajasiriamali. Huo ni mfano mmoja tu, tukipata viongozi wenye akili tutatoboa.Mwenye shibe hamjui mwenye njaa! Unategemea watafanya mini wakati ndiyo kazi Yao inayowaweka hapa duniani?!