Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,939
- 9,959
Ngoja nimuulize jamaa yangu nisije nikapigwa mawemkuu ukipewa kusoma biblia kwenye kanisa lililoko ujitani hapo papotezee...
Ngoja nimuulize jamaa yangu nisije nikapigwa mawemkuu ukipewa kusoma biblia kwenye kanisa lililoko ujitani hapo papotezee...
Anauza makoti ya ngozi Dar?Nani kakwambia watu hawafanyi kazi? Acheni kauli za kilevi hizo... Leo nilikua napata nyama choma sehemu akaja kijana mmoja anauza makoti ya ngozi lundo mkononi mwake ... Kaja amechoka kabisa.... Tukamwambia asante hakuelewa akaanda kutulilia hali... Kwamba kazunguka wiki nzima hajauza na hapo alipo hajala.... Ilibidi tumnunulie ugali ajiunge nasi kula nyama... Kisha nikampa elfu 10 akaenda zake... Huyo ni mmoja wengine?
Watu wanavuja jasho sema kazi hazina tija... Acheni kauli za shibe na kilevi hizo....
Kwani nimekwambia nipo Dar?Anauza makoti ya ngozi Dar?
Kwa muda mrefu Ccm iliweza kuwadanganya wananchi kwa Tanzania ni nchi changa na masikini. Mpaka miaka ya karibuni wapinzani walipoanza kuwafumbua macho kwamba nchi yenye madini aina zote, misitu, ardhi yenye rutuba, maziwa na bahari, gesi nk siyo masikini.
Magufuli akaidaka na kuitumia kwenye kampeni zake kwamba nchi hii si masikini. Hata baada ya kuukwaa urais ameendelea kuwambia wananchi juu ya utajiri wa nchi hii. Hadithi za kasungura kadogo hatuzisikii tena. Wananchi wanaambia ukweli na kupewa matumaini.
Tatizo litakuja pale ambapo wananchi wanaoimbiwa nchi yao ni tajiri wasipoona utajiri huo ktk haliza za maisha ya kawaida. Leo kelele zimeanza kwamba mitaani hakuna fedha na hali ni ngumu sana. Leo watu wanauliza tunabiwa serikali imeongeza makusanyo, mbona hatuoni nafuu kwenye huduma za jamii? Naamini hawamu hii itakuwa ngumu sana kwa wananchi wakati rais wetu anatuambia nchi yetu ni tajiri!
Nani asiyefanya kazi?? Hizo kazi zipo wapi ambazo watu hawazifanyi??Kama watu hawafanyi kazi wewe unafikiri watapata wapi pesa?.
Tatizo sisi watanzania tunalalamika sana lakini kujishughulisha hatutaki,yaani watu badala ya kufanya kazi wamekazania kujadili DNA ya Tiffa Dangote
Kwa muda mrefu Ccm iliweza kuwadanganya wananchi kwa Tanzania ni nchi changa na masikini. Mpaka miaka ya karibuni wapinzani walipoanza kuwafumbua macho kwamba nchi yenye madini aina zote, misitu, ardhi yenye rutuba, maziwa na bahari, gesi nk siyo masikini.
Magufuli akaidaka na kuitumia kwenye kampeni zake kwamba nchi hii si masikini. Hata baada ya kuukwaa urais ameendelea kuwambia wananchi juu ya utajiri wa nchi hii. Hadithi za kasungura kadogo hatuzisikii tena. Wananchi wanaambia ukweli na kupewa matumaini.
Tatizo litakuja pale ambapo wananchi wanaoimbiwa nchi yao ni tajiri wasipoona utajiri huo ktk haliza za maisha ya kawaida. Leo kelele zimeanza kwamba mitaani hakuna fedha na hali ni ngumu sana. Leo watu wanauliza tunabiwa serikali imeongeza makusanyo, mbona hatuoni nafuu kwenye huduma za jamii? Naamini hawamu hii itakuwa ngumu sana kwa wananchi wakati rais wetu anatuambia nchi yetu ni tajiri!
Hivi wewe akili yako iko sawa? Kwa hiyo unataka Rais ajaze pesa katika mfuko wako ili uone kwamba awamu hii ni nafuu kwako??? Fanya kazi wewe Mtanzania, timiza wajibu wako na acha kulalamika na kulia hovyo.Kwa muda mrefu Ccm iliweza kuwadanganya wananchi kwa Tanzania ni nchi changa na masikini. Mpaka miaka ya karibuni wapinzani walipoanza kuwafumbua macho kwamba nchi yenye madini aina zote, misitu, ardhi yenye rutuba, maziwa na bahari, gesi nk siyo masikini.
Magufuli akaidaka na kuitumia kwenye kampeni zake kwamba nchi hii si masikini. Hata baada ya kuukwaa urais ameendelea kuwambia wananchi juu ya utajiri wa nchi hii. Hadithi za kasungura kadogo hatuzisikii tena. Wananchi wanaambia ukweli na kupewa matumaini.
Tatizo litakuja pale ambapo wananchi wanaoimbiwa nchi yao ni tajiri wasipoona utajiri huo ktk haliza za maisha ya kawaida. Leo kelele zimeanza kwamba mitaani hakuna fedha na hali ni ngumu sana. Leo watu wanauliza tunabiwa serikali imeongeza makusanyo, mbona hatuoni nafuu kwenye huduma za jamii? Naamini hawamu hii itakuwa ngumu sana kwa wananchi wakati rais wetu anatuambia nchi yetu ni tajiri!
Mbona huwi makini ndugu?Hatuwezi kuacha kusema ukweli kwa kuogopa ku-fail kuitwa sisi si wazalendo. Tumekuwa wazalendo kuliko yoyote nchi hii, lakini uzalendo ni kusema lililo kweli hata kama linauma.
Tunaambiwa fedha zinakusanywa kwa matrioni lakini ukweli kwamba haziendi kwa Halmashauri za nchi hii. Mfano Halmashauri nakozaliwa mimi wamepeleka chi ya 37% kama ruzuku tangu Magufuli ameingia madarakani. Tukihoji tutaambiwa si wazalendo!
Unajua kuna kitu kimoja inabidi jamii ieleweshwe. Wametuambia tufunge mikanda nchi inaenda uchumi wa kati. Kwenye nchi za uchumi tunaonda sio kila raia/mkazi analipa tax, mfano UK ulifanya Kazi chini ya 16 hours a week hulipi income tax. Sasa unatakiwa kwanza uishauri serikali itengeneze mwongozo wa ulipaji kodi kwa wafanya Kazi, wafanya biashara Na makampuni halafu sasa ndio urudi mtaani Na kuwaambia watu walipe kodi.Mleta mada you are not thinking straight!
Use your brain, make money, pay tax!!!
You will get rich!!!
Vinginevyo umasikini ni halali yako maisha yako yote!!
...Unajua kuna kitu kimoja inabidi jamii ieleweshwe. Wametuambia tufunge mikanda nchi inaenda uchumi wa kati. Kwenye nchi za uchumi tunaonda sio kila raia/mkazi analipa tax, mfano UK ulifanya Kazi chini ya 16 hours a week hulipi income tax. Sasa unatakiwa kwanza uishauri serikali itengeneze mwongozo wa ulipaji kodi kwa wafanya Kazi, wafanya biashara Na makampuni halafu sasa ndio urudi mtaani Na kuwaambia watu walipe kodi.
Mimi Nina Mitsubishi Canter tani 2, guess how much nalipa kodi ya mapato kwa mwaka, ni vichekesho yaani kipato Na kodi haviendani system imejaa ukandamizaji na uonevu.
Ulitakiwa umfundishe ujasiliamali!Nani kakwambia watu hawafanyi kazi? Acheni kauli za kilevi hizo... Leo nilikua napata nyama choma sehemu akaja kijana mmoja anauza makoti ya ngozi lundo mkononi mwake ... Kaja amechoka kabisa.... Tukamwambia asante hakuelewa akaanda kutulilia hali... Kwamba kazunguka wiki nzima hajauza na hapo alipo hajala.... Ilibidi tumnunulie ugali ajiunge nasi kula nyama... Kisha nikampa elfu 10 akaenda zake... Huyo ni mmoja wengine?
Watu wanavuja jasho sema kazi hazina tija... Acheni kauli za shibe na kilevi hizo....
Nchi hii ina hela za kumwaga.Wageni wanashangaa kuona watanzania wenyewe kama watu binafsi walivyozubaa.
Wewe kampuni hadi kutoka jirani tu hapa kenya wanakuja waanzisha bishara za kuzalisha vifaranga wanatajirika kibao mtanzania kazubaa tu anaangalia serikali imtafutie fursa.
Ziko kampuuni kama STEERS wanauza chips kuku wametajirika hadi basi.
Wako wafanyabiashara kama SAMAKI SAMAKI anajiuzia chakula chenye samaki ana maduka kila kona Dar salaam,MTANZANIA KAZUBAA TU ANASUBIRI SERIKALI IMTAFUTIE FURSA.
Raisi anaposema Tanzania kuna utajiri hatanii.Tatizo ni watu waliozubaa kama wewe.
Uganda ukienda walimu badala ya kulalamika huungana na kuanzisha shule zao.Wakiwa wao ndio wamiliki na walimu.Mashule mengi makubwa ya kutisha uganda yanamilikiwa na walimu.Tanzania watu wamezubaa tu unakuta mtu ana PHD anasubiri serikali imtafutie fursa hajui cha kufanya kama yule DK.RUTENGWE aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro
Uchambuzi wako dhaifu sana. Utajiti unaozungumziwa lazima uambatane na kufanya kazi. Msikilize Magufuli mara zote anasema kama kila mmoja akijituma kufanya kazi kwa bidii. Pia kigezo ulichotumia cha kuwa na hela nyingi mtaani si kila wakati ndio kipimo cha uchumi mzuri. Kinachotakiwa ktk uchumi mzuri ni kutengeneza mazingira ya kwamba mtu akijishughulisha atapata hela.Kwa muda mrefu Ccm iliweza kuwadanganya wananchi kwa Tanzania ni nchi changa na masikini. Mpaka miaka ya karibuni wapinzani walipoanza kuwafumbua macho kwamba nchi yenye madini aina zote, misitu, ardhi yenye rutuba, maziwa na bahari, gesi nk siyo masikini.
Magufuli akaidaka na kuitumia kwenye kampeni zake kwamba nchi hii si masikini. Hata baada ya kuukwaa urais ameendelea kuwambia wananchi juu ya utajiri wa nchi hii. Hadithi za kasungura kadogo hatuzisikii tena. Wananchi wanaambia ukweli na kupewa matumaini.
Tatizo litakuja pale ambapo wananchi wanaoimbiwa nchi yao ni tajiri wasipoona utajiri huo ktk haliza za maisha ya kawaida. Leo kelele zimeanza kwamba mitaani hakuna fedha na hali ni ngumu sana. Leo watu wanauliza tunabiwa serikali imeongeza makusanyo, mbona hatuoni nafuu kwenye huduma za jamii? Naamini hawamu hii itakuwa ngumu sana kwa wananchi wakati rais wetu anatuambia nchi yetu ni tajiri!
kazi kweliKujishughulisha sawa lakini hakuondoi ugumu wa maisha pindi mzunguko wa fedha ukiwa mdogo. Kumbuka wakati wa Kikwete pamoja na kwamba kulikuwa na mianya ya kujinufaisha bado watu walilalamikia ugumu wa maisha. Sasa itakuwaje mara hii?
Mkuu unaujua mzunguko wa fedha au unasikia tu story za vijiweni!? Unataka uone hali imebadilika kwa makusanyo ya miezi mitatu?Kujishughulisha sawa lakini hakuondoi ugumu wa maisha pindi mzunguko wa fedha ukiwa mdogo. Kumbuka wakati wa Kikwete pamoja na kwamba kulikuwa na mianya ya kujinufaisha bado watu walilalamikia ugumu wa maisha. Sasa itakuwaje mara hii?
Nashukuru umenielewa mkuu, pia kumbuka kuna baadhi ya nchi watu hawalipi kodi kabisa uwe kipato cha chini au cha juu mfano UAE, Bahamas, Bermuda, Andorra Monaco etc. Sasa Tax isiwe ndio fimbo ya kuchapia wananchi. Nchi inawezekana kujengwa kwa kutumia rasilimali za ndani tu kama walivyofanya Dubai (UAE)...
....well noted Mkuu