kama kazz
JF-Expert Member
- Apr 28, 2015
- 1,080
- 580
Raisi anatakiwa kuifanya pesa ya tanzania iwe na thamani. Kwa mfano Tsh/=10,000 inatakiwa ikidhi mahitaji ya nyumbani kwa siku,, ila kwa sasa 10.000 imekuwa chenchi..
Sasa kwa siku mtu anaeingiza ten kwa siku hawezi fanya maendeleo yeyote atabaki anazungusha gurudumu la maisha pasipo faida yeyote., Kuna baadh ya vijana nguvu kazi ya taifa inayojitahid sana kupambana kwa ajili ya mafanikio ya kimaisha.
Ila kwa style hii ya kupata 10.000 kwa siku..
Toa nauri 1,000
Toa chai.1,500
Maji Kiu. 1,200
Chakula. 2,500
Uck chill. 2,500
Jumla inakuwa 8,700 hapa nabakiwa 1,300 nauri ya kesho tena town sasa kwa hali kama hii Naomba watanzania Tupunguziwe gharama za mahitaji muhimu ya mwananchi., ili tufikie malengo muhimu ni hayo kwa Leo.