Mkuu kwa hiyo wewe huamini kwamba nchi hii ni tajiri? Huwezi kuamka leo ukakuta mana imejaa nchi nzima hivyo mnaanza kula na kusema sasa kweli nchi ni tajiri. Naamini baada ya muda huduma za kijamii zitaboreka na kuimarika. Tumpe muda Rais ao yeshe jinsi atakavyotumia utajiri wa nchi kuneemesha nchi na wala si kuneemesha wananchi wachache. Miaka mitano wala haiko mbali, apewe nafasi asipoonyesha hayo jipange 2020 si basi. Adui yako si umuombee njaa. Tuache siasa. Wenzetu Kenya hawajatulia baada ya uchaguzi wa 2012 wao wamekuwa wakipiga siasa tu na mwaka kesho uchaguzi huuuu, hakuna kitu. Hata bomba tumewapiga!!Kwa muda mrefu Ccm iliweza kuwadanganya wananchi kwa Tanzania ni nchi changa na masikini. Mpaka miaka ya karibuni wapinzani walipoanza kuwafumbua macho kwamba nchi yenye madini aina zote, misitu, ardhi yenye rutuba, maziwa na bahari, gesi nk siyo masikini.
Magufuli akaidaka na kuitumia kwenye kampeni zake kwamba nchi hii si masikini. Hata baada ya kuukwaa urais ameendelea kuwambia wananchi juu ya utajiri wa nchi hii. Hadithi za kasungura kadogo hatuzisikii tena. Wananchi wanaambia ukweli na kupewa matumaini.
Tatizo litakuja pale ambapo wananchi wanaoimbiwa nchi yao ni tajiri wasipoona utajiri huo ktk haliza za maisha ya kawaida. Leo kelele zimeanza kwamba mitaani hakuna fedha na hali ni ngumu sana. Leo watu wanauliza tunabiwa serikali imeongeza makusanyo, mbona hatuoni nafuu kwenye huduma za jamii? Naamini hawamu hii itakuwa ngumu sana kwa wananchi wakati rais wetu anatuambia nchi yetu ni tajiri!
Naamini hawamu hii itakuwa ngumu sana kwa wananchi wakati rais wetu anatuambia nchi yetu ni tajiri!
Kujishughulisha sawa lakini hakuondoi ugumu wa maisha pindi mzunguko wa fedha ukiwa mdogo. Kumbuka wakati wa Kikwete pamoja na kwamba kulikuwa na mianya ya kujinufaisha bado watu walilalamikia ugumu wa maisha. Sasa itakuwaje mara hii?Kama watu hawafanyi kazi wewe unafikiri watapata wapi pesa?.
Tatizo sisi watanzania tunalalamika sana lakini kujishughulisha hatutaki,yaani watu badala ya kufanya kazi wamekazania kujadili DNA ya Tiffa Dangote
Mwanzo mgumu mkuu,mimi sioni kama kuna shida kubwa nafikiri mambo yatakuwa mazuri tukazane tu kufanya kazi!Kujishughulisha sawa lakini hakuondoi ugumu wa maisha pindi mzunguko wa fedha ukiwa mdogo. Kumbuka wakati wa Kikwete pamoja na kwamba kulikuwa na mianya ya kujinufaisha bado watu walilalamikia ugumu wa maisha. Sasa itakuwaje mara hii?
Angalia historia ya nchi zetu. Sisi tulikuwa,wajamaa na wenzetu mabepari na hii inatufanya tuwe nyuma kiujasiriamali. Watanzania wameanza kufanya biashara miaka ya 90 wakati Mwinyi. Huko nyuma waliojaribu kufanya biashara waliitwa walanguzi au wahujumu uchumiNchi hii ina hela za kumwaga.Wageni wanashangaa kuona watanzania wenyewe kama watu binafsi walivyozubaa.
Wewe kampuni hadi kutoka jirani tu hapa kenya wanakuja waanzisha bishara za kuzalisha vifaranga wanatajirika kibao mtanzania kazubaa tu anaangalia serikali imtafutie fursa.
Ziko kampuuni kama STEERS wanauza chips kuku wametajirika hadi basi.
Wako wafanyabiashara kama SAMAKI SAMAKI anajiuzia chakula chenye samaki ana maduka kila kona Dar salaam,MTANZANIA KAZUBAA TU ANASUBIRI SERIKALI IMTAFUTIE FURSA.
Raisi anaposema Tanzania kuna utajiri hatanii.Tatizo ni watu waliozubaa kama wewe.
Uganda ukienda walimu badala ya kulalamika huungana na kuanzisha shule zao.Wakiwa wao ndio wamiliki na walimu.Mashule mengi makubwa ya kutisha uganda yanamilikiwa na walimu.Tanzania watu wamezubaa tu unakuta mtu ana PHD anasubiri serikali imtafutie fursa hajui cha kufanya kama yule DK.RUTENGWE aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro
Hebu ifike wakati wenye michango chanya wasaidie taifa letu!Kwa muda mrefu Ccm iliweza kuwadanganya wananchi kwa Tanzania ni nchi changa na masikini. Mpaka miaka ya karibuni wapinzani walipoanza kuwafumbua macho kwamba nchi yenye madini aina zote, misitu, ardhi yenye rutuba, maziwa na bahari, gesi nk siyo masikini.
Magufuli akaidaka na kuitumia kwenye kampeni zake kwamba nchi hii si masikini. Hata baada ya kuukwaa urais ameendelea kuwambia wananchi juu ya utajiri wa nchi hii. Hadithi za kasungura kadogo hatuzisikii tena. Wananchi wanaambia ukweli na kupewa matumaini.
Tatizo litakuja pale ambapo wananchi wanaoimbiwa nchi yao ni tajiri wasipoona utajiri huo ktk haliza za maisha ya kawaida. Leo kelele zimeanza kwamba mitaani hakuna fedha na hali ni ngumu sana. Leo watu wanauliza tunabiwa serikali imeongeza makusanyo, mbona hatuoni nafuu kwenye huduma za jamii? Naamini hawamu hii itakuwa ngumu sana kwa wananchi wakati rais wetu anatuambia nchi yetu ni tajiri!
Hakuna wa kukupatia pesa ili uthibitishe kuwa hii nchi tajari, piga kazi mkuu usituchonganisheKwa muda mrefu Ccm iliweza kuwadanganya wananchi kwa Tanzania ni nchi changa na masikini. Mpaka miaka ya karibuni wapinzani walipoanza kuwafumbua macho kwamba nchi yenye madini aina zote, misitu, ardhi yenye rutuba, maziwa na bahari, gesi nk siyo masikini.
Magufuli akaidaka na kuitumia kwenye kampeni zake kwamba nchi hii si masikini. Hata baada ya kuukwaa urais ameendelea kuwambia wananchi juu ya utajiri wa nchi hii. Hadithi za kasungura kadogo hatuzisikii tena. Wananchi wanaambia ukweli na kupewa matumaini.
Tatizo litakuja pale ambapo wananchi wanaoimbiwa nchi yao ni tajiri wasipoona utajiri huo ktk haliza za maisha ya kawaida. Leo kelele zimeanza kwamba mitaani hakuna fedha na hali ni ngumu sana. Leo watu wanauliza tunabiwa serikali imeongeza makusanyo, mbona hatuoni nafuu kwenye huduma za jamii? Naamini hawamu hii itakuwa ngumu sana kwa wananchi wakati rais wetu anatuambia nchi yetu ni tajiri!
Hatuwezi kuacha kusema ukweli kwa kuogopa ku-fail kuitwa sisi si wazalendo. Tumekuwa wazalendo kuliko yoyote nchi hii, lakini uzalendo ni kusema lililo kweli hata kama linauma.Hebu ifike wakati wenye michango chanya wasaidie taifa letu!
Wengi wa wanaojiita wapinzani na wale ambao wanajiona ndio elite ktk nchi mchango wao mkubwa ni kukatisha tamaa umma au kukosoa tu kwa lolote linalotendwa! Wanachungulia hata kipunje cha doubt ktk a mountain of a successful project!
Huu sio uzalendo!
Mzalendo wa kweli husaidia jamii kuutambua ukweli, kutoa matarajio yenye uhalisia ikiwemo chances za kufeli ktk mipango! Yes tunainvest eneo ambalo likelihood ya kufanikiwa ni kubwa kuliko kufeli lkn sio zero chance ya kufeli! Kuinvest ktk hofu za wananchi sio uzalendo ni ujinga na ni uchawi ktk siasa!
Serikali ya awamu ya tano ikifeli tunafeli wote, na kama nchi itakuwa tumepoteza 5-10 years ambayo hatuwezi ku-recover!
Tatizo la nchi hii ni kuacha watawala wafanye wanavyotaka hadi kila mmoja anajiona anaweza kuwa rais. Nchi nyingine kiti hicho ni cha moto. Rais lazima apigwe presha ajue anaongoza watu wanaofuatilia kila kinachofanywa na serikali yake.Roma haikujengwa kwa siku moja, piga kazi muache Magufuli afanye yake, 2020 sio mbali akishindwa tunakuchagua wewe!
Ni watanzania wajinga na wapumbavu peke yao watakaotegemea muhujiza wa aina hiyo! JPM aanze transformation leo kisha asali na maziwa vianze kutiririka kesho!Kwa muda mrefu Ccm iliweza kuwadanganya wananchi kwa Tanzania ni nchi changa na masikini. Mpaka miaka ya karibuni wapinzani walipoanza kuwafumbua macho kwamba nchi yenye madini aina zote, misitu, ardhi yenye rutuba, maziwa na bahari, gesi nk siyo masikini.
Magufuli akaidaka na kuitumia kwenye kampeni zake kwamba nchi hii si masikini. Hata baada ya kuukwaa urais ameendelea kuwambia wananchi juu ya utajiri wa nchi hii. Hadithi za kasungura kadogo hatuzisikii tena. Wananchi wanaambia ukweli na kupewa matumaini.
Tatizo litakuja pale ambapo wananchi wanaoimbiwa nchi yao ni tajiri wasipoona utajiri huo ktk haliza za maisha ya kawaida. Leo kelele zimeanza kwamba mitaani hakuna fedha na hali ni ngumu sana. Leo watu wanauliza tunabiwa serikali imeongeza makusanyo, mbona hatuoni nafuu kwenye huduma za jamii? Naamini hawamu hii itakuwa ngumu sana kwa wananchi wakati rais wetu anatuambia nchi yetu ni tajiri!
...mana imejaa nchi nzima...!!