Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,412
- 40,309
Wanaukumbi.
Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.
Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.
Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .
Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.
Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.