Katika hili, Prof. Lipumba ndio mpinzani wa kweli aliyebakia Tanzania

katiba mpya iko kazini; katiba mpya ilisisitiza uadilifu uzalendo, usimamizi wa rasilimali, anachokifanya JPM ni kutekeleza wa yale yaliyokuwa kilio cha Watanzania, kwa vitendo. katiba hata ingekuwa nzuri kiasi gani bila kuingizwa kwenye vitendo ni bure. JPM alianza na kuuambia umma kwamba hawezi kuingilia suala la Zanzibar kwa sababu ni Nchi ina bendera yake Rais wake na maamuzi yake hivyo JPM anatekeleza serikali tatu kwa vitendo. utakapofika muda yale yanayotekelezeka yatawekwa kwenye andiko ili wote watakao fuata baada yake wafuate njia. Sidhani kama ni jambo la hekima uchote mabilioni ya fedha wakati huduma za Afya ziko tete ili kuwafurahisha watu.
Lipumba kwa uyakini wake hata ukimuuliza leo atakwambia kwamba upinzani kwa sasa hawana hoja.
 
Lipumba hakumsafisha lowasa alimkaribisha tu.
Inabidi ujiongeze ndio uelewe ninachokizungumza. Hata hukumsikia au kumsoma alipowashangaa wanaomtuhumu Lowasa kuwa fisadi bila kumfungulia mashtaka zaidi ya miaka saba tangu aondoke serikalini? Ulitaka amsafishe kwa Omo? Nasisitiza, kama unakubaliana na Lipumba basi atakuona wewe ni 'Zoba' kweli kweli!
 
sasa kama ndio hivo mbona lowasa,sumaye na mbowe hadi leo hii wanapewa ulinzi na ccm ,

na bado hadi leo hii wanalipwa na ccm na hadi kutibiwa wanatibiwa na ccm
Umeota? Ulinzi wa Propesa Lipumba na mengine niliyoyataja, sio haki yake kwa mujibu wa sheria/katiba ya nchi hii. Ni mipango yenu huko lumumba. Kama hamna cheo cha kumpa sasa hivi mrudisheni tena Rwanda akapumzike au mwanzishieni chama kuimarisha usaliti wa jemedari aliekimbia vita.
 
lipumba ni lazima arudii kutetea chama chake kwa maana chadema nia na madhumuni yao waiuwee cuf wabaki peke yaoo
Baada ya kufikisha viti 10 vya ubunge kutoka vya Propesa, viwili. Ndio kuua CUF? Kung'ang'ania kumrudisha msaliti alokimbia vita ndo lengo la kuua CUF. Ngedere anakushauri namna ya kuimarisha ulinzi wa shamba la mahindi. Inakuja hiyo.
 
katiba mpya iko kazini; katiba mpya ilisisitiza uadilifu uzalendo, usimamizi wa rasilimali, anachokifanya JPM ni kutekeleza wa yale yaliyokuwa kilio cha Watanzania, kwa vitendo. katiba hata ingekuwa nzuri kiasi gani bila kuingizwa kwenye vitendo ni bure. JPM alianza na kuuambia umma kwamba hawezi kuingilia suala la Zanzibar kwa sababu ni Nchi ina bendera yake Rais wake na maamuzi yake hivyo JPM anatekeleza serikali tatu kwa vitendo. utakapofika muda yale yanayotekelezeka yatawekwa kwenye andiko ili wote watakao fuata baada yake wafuate njia. Sidhani kama ni jambo la hekima uchote mabilioni ya fedha wakati huduma za Afya ziko tete ili kuwafurahisha watu.
Lipumba kwa uyakini wake hata ukimuuliza leo atakwambia kwamba upinzani kwa sasa hawana hoja.
ni kweli kabisa upinzani kwa sasa wamekosaa hoja enzi zile upinzani walikuwa na hoja kama ufisadi na katiba mpyaa tofauti na sasa
 
Inabidi ujiongeze ndio uelewe ninachokizungumza. Hata hukumsikia au kumsoma alipowashangaa wanaomtuhumu Lowasa kuwa fisadi bila kumfungulia mashtaka zaidi ya miaka saba tangu aondoke serikalini? Ulitaka amsafishe kwa Omo? Nasisitiza, kama unakubaliana na Lipumba basi atakuona wewe ni 'Zoba' kweli kweli!
hoja ya lipumba ilikuwa sio kumkaribisha lowassa bali yeye alijikitaa katika agenda ya katika mpyaaa
 
Umeota? Ulinzi wa Propesa Lipumba na mengine niliyoyataja, sio haki yake kwa mujibu wa sheria/katiba ya nchi hii. Ni mipango yenu huko lumumba. Kama hamna cheo cha kumpa sasa hivi mrudisheni tena Rwanda akapumzike au mwanzishieni chama kuimarisha usaliti wa jemedari aliekimbia vita.
kwani hawa wapinzani wa chadema ni nani anayewalinda
 
Baada ya kufikisha viti 10 vya ubunge kutoka vya Propesa, viwili. Ndio kuua CUF? Kung'ang'ania kumrudisha msaliti alokimbia vita ndo lengo la kuua CUF. Ngedere anakushauri namna ya kuimarisha ulinzi wa shamba la mahindi. Inakuja hiyo.
kama hoja ni ubunge cuf hailustahili kupata wabunge kumi ivi mnakumbuka nini segerea kilitokea
 
Waswahili wana msemo wao usemao mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni tuu....

mwaka jana 2015 wakati profesa lipumba wakati anajiuzulu kuna maneno aliyazungumza na kusema yeye kama yeye hawezi kumuunga mkono mgombea uraisi kupitia ukawa kwa sababu yeye ni mmoja kati ya watu walioipinga katiba ya wananchi ambayo ilikuwa na tume huru na katiba mpya ya wariobaa. ..

sasa leo hii kuna watu wameanza kulalamika jf kuhusu tume na wengine wameapa kutopiga kura tena bila katiba mpya mimi nadhani wapinzani wangekuwa na akili wangemsikiliza profesa lipumba.

ushauli wangu kwa wapinzani na ukawa waende kumpigia magoti awape ushauli sio siri kama watu mngemsikiliza lipumba maana lipumba ndio mpinzani wa kweli aliyebakiaa kwa sasa.
Punguza kula ugolo
 
Lipumba aliona mbali sana asee
Umbali upi aliyoona kama si ushindi wa Ukawa unakuja naye kuingia mitini kama njia ya kuhujumu
Huyu mtu aliingia msikitini na kuwaambia wasimchague Dr Slaa bali JK kwa sababu ati za udini
Ni huyu huyu Macho Kodo alishiriki kumuomba Lowassa ahamie Ukawa,lakini hakutegemea Tsunami ilyofuata na mabwana zake wakamwamuru aanze kumponda
Huyo ndiye ProPesa Lipumb**
 
ni kweli kabisa siku hizi hoja ya katiba mpya siisikii tena kabisa lipumba ndiye aliyekuwa muasisi katika hili
Mkuu mi sikumbuki ni lini mara ya Mwisho Mbowe kasema neno FISADI. Yaani Lowasa kaleta MABADILIKO ile mbaya!
 
Waswahili wana msemo wao usemao mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni tuu....

mwaka jana 2015 wakati profesa lipumba wakati anajiuzulu kuna maneno aliyazungumza na kusema yeye kama yeye hawezi kumuunga mkono mgombea uraisi kupitia ukawa kwa sababu yeye ni mmoja kati ya watu walioipinga katiba ya wananchi ambayo ilikuwa na tume huru na katiba mpya ya wariobaa. ..

sasa leo hii kuna watu wameanza kulalamika jf kuhusu tume na wengine wameapa kutopiga kura tena bila katiba mpya mimi nadhani wapinzani wangekuwa na akili wangemsikiliza profesa lipumba.

ushauli wangu kwa wapinzani na ukawa waende kumpigia magoti awape ushauli sio siri kama watu mngemsikiliza lipumba maana lipumba ndio mpinzani wa kweli aliyebakiaa kwa sasa.
km sio mjinga pasi na shaka utakuwa mpumbavu
 
Kwa hyo hlo nalo hulitaki au?

Alisema anatoka Kwa sababu ukawa imefuta agenda ya katiba ya wananchi Kwa kupokea walioipinga katiba ya wananchi Leo hii mnalialia kwamba katiba ni mbovu hii ndo maana ya Profesa kuona mbali

Hivi kuwa mpinzani ndo lazma uwe mjinga jmn!!!!!!??
Alishiriki kuwapokea!
Wajinga ni ninyi vibaraka wa ccm mnaotumiwa kusifia upumbavu!
 
Jee na hivi sasa anaendelea na ajenda yake ya katiba mpya. Maana katika wapinzani yeye ananafasi ya pekee golden chance
 
Yaani lowasa ni bora aondoke tu,yeye na kingunge walipitisha katiba mbovu
Tatizo hujui siasa Kuna wakati nilazima utii chama cha sio matakwa yako tuangalie ya lio mtokea Othman Massoud aliekuwa mwanasheria wa zanzibar kwenye Hilo bunge alifanywa nini baaada kutetea kinyume
 
hoja ya lipumba ilikuwa sio kumkaribisha lowassa bali yeye alijikitaa katika agenda ya katika mpyaaa
Tafuta clip ya hiyo pc, lakini katika akili tu hata ya mtoto wa chekechea, ingekuwa vigumu kweli kuelewa, kupitia hiyo pc, kwamba Mzee Lipumba hakuwa na tatizo tena na Lowassa kujiunga na Ukawa? Na labda ili kukusaidia, kwa taarifa yako, Lipumba alikuwa miongoni mwa viongozi wa Ukawa waliofanikisha Lowassa kujiunga Ukawa. Mngekuwa mnajisomea hata machapisho mengine badala ya kuamkia na kukesha JF peke yake, matokeo yake mnaleta hapa mada ambazo zinapwaya mno! Kwa mfano hoja yako kwamba Lipumba alijikita kwenye hoja ya katiba mpya ulilenga kutueleza nini?
 
Back
Top Bottom