Katika hili, Prof. Lipumba ndio mpinzani wa kweli aliyebakia Tanzania

Angekaa pembeni moja kwa moja au kuanzisha chama chake kikaja na hoja hii. Laikini si kuja kuwavuruga aliowakimbia vitani

Lipumba mswahili & mchumia tumbo kama wengine
vita gani mnavyovizungumzia wakati mzee lipumba aliwambia mtu aliyepinga rasimu ya wananchi iwejee awe mgombea

sasa subilini ifike 2020 ndio mtakumbuka maneno ya lipumbaa
 
Waswahili wana msemo wao usemao mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni tuu....

mwaka jana 2015 wakati profesa lipumba wakati anajiuzulu kuna maneno aliyazungumza na kusema yeye kama yeye hawezi kumuunga mkono mgombea uraisi kupitia ukawa kwa sababu yeye ni mmoja kati ya watu walioipinga katiba ya wananchi ambayo ilikuwa na tume huru na katiba mpya ya wariobaa. ..

sasa leo hii kuna watu wameanza kulalamika jf kuhusu tume na wengine wameapa kutopiga kura tena bila katiba mpya mimi nadhani wapinzani wangekuwa na akili wangemsikiliza profesa lipumba.

ushauli wangu kwa wapinzani na ukawa waende kumpigia magoti awape ushauli sio siri kama watu mngemsikiliza lipumba maana lipumba ndio mpinzani wa kweli aliyebakiaa kwa sasa.

Ni bahati mbaya sana Prof. hajitambui anacho kitaka nini hasa katika siasa za nchi hii. Maana yeye alichehelewesha sana kumkubali Dr. Slaa asitangazwe kuwa Mgombea rasm wa UKAWA hadi pepo mchafu akaingilia kati, mambo yakaharibika. Angemkuubali Dr. mapema, leo hii anguekuwa Majaliwa wa sasa au Prof. Mpango. Prof. ameveruga sana upinzani na Mungu hatamsamehe kwa dhambi hii.
 
sasa kati ya lipumba wa cuf na chadema ya mbowe ni nani msaliti wa kweli hawa chadema hawataki tume huru na katiba ya wananchi lakini cuf na lipumba ndo moja kati ya wapigania katiba mpyaa
"""
season...../targets...../lipumba si mtaka urais na mabadiliko ya kweli,huyu anawachezea watu akili tu,miaka na miaka ipite...huku akilipwa malipo ya kazi yake maalum.
 
Ni bahati mbaya sana Prof. hajitambui anacho kitaka nini hasa katika siasa za nchi hii. Maana yeye alichehelewesha sana kumkubali Dr. Slaa asitangazwe kuwa Mgombea rasm wa UKAWA hadi pepo mchafu akaingilia kati, mambo yakaharibika. Angemkuubali Dr. mapema, leo hii anguekuwa Majaliwa wa sasa au Prof. Mpango. Prof. ameveruga sana upinzani na Mungu hatamsamehe kwa dhambi hii.
Hivi ww mbona muongo na unafikiri mungu atakusamehekwa uongo wako.
Aliyechlewesha slaa kutangazwa ni nani??
Kwan slaa alichukua fomu ndani ya chama chake??
Waliochukua fomu ktk vyama vyao ni prof lipumba na yule dk wa nccr.
Wakisubiri atakayepitishwa na cdm .Baada ya hapo ilikuwa wakae kwa kufuata vigezo vya ukawa.
 
Waswahili wana msemo wao usemao mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni tuu....

mwaka jana 2015 wakati profesa lipumba wakati anajiuzulu kuna maneno aliyazungumza na kusema yeye kama yeye hawezi kumuunga mkono mgombea uraisi kupitia ukawa kwa sababu yeye ni mmoja kati ya watu walioipinga katiba ya wananchi ambayo ilikuwa na tume huru na katiba mpya ya wariobaa. ..

sasa leo hii kuna watu wameanza kulalamika jf kuhusu tume na wengine wameapa kutopiga kura tena bila katiba mpya mimi nadhani wapinzani wangekuwa na akili wangemsikiliza profesa lipumba.

ushauli wangu kwa wapinzani na ukawa waende kumpigia magoti awape ushauli sio siri kama watu mngemsikiliza lipumba maana lipumba ndio mpinzani wa kweli aliyebakiaa kwa sasa.
Aanzishe chama chake kama Zitto Kabwe ndo atuonyeshe upinzani wake wa kweli sio kurudi alikotoka na kung'ang'ania kwa watu wasiomtaka (ambao kwa bandiko lako hili unamaanisha sio wapinzani wa kweli). Zitto aliweza kujitoa na kusajili upya aina ya watu alioona wanaendana nae, je kwa nn huyu Mwenyekiti wa Lubuva asianzishe Chama chake na yeye ili asajili wale anaoona wanaendana nae?
 
Wamsikilize nn hasa huyo mmeo? Mtu uliyeoa utasikilizaje ushauri kwa mtu ambaye hajaoa?
 
mimi naunga mkono asilimia 100 hoja profesa lipumba aliona mbali sana huyu mzee kiukweli tangu hayupo hata ile ajenda ya katiba mpya kupitia ukawa imeshakufaa

Lipumba ndio mpinzani wa kweli nchi hii

viongoz wa upinzani wapo kuhadaa raia na maigizo yao ya siasa...

zitto, mbowe, seif, lipumba, mrema, lowasa....
mamluki wakisiasa ambao wanamaslahi na ccm...

uzi huu wachangiaji wengi ni uvccm tu.

uvccm kama nao wanaishi tz, na wao wataisoma namba kmyakmya... kama sio moja kwa moja basi kupitia ndugu zao...
 
Lipumba huyu anaejitahidi kuua upinzani nchini ?! Huyu argent wa Magogoni ?!

Huu ni utani au unamtumikia nani ?!
Namtumikia mungu kwa kusema ukweli.
Hivi kuna argent zaidi ya mbowe na genge lake??
Unafikiri kama vigezo vya ukawa vingefuatwa saa hizi ai tuna waziri mkuu kama sio rais
 
Ni bahati mbaya sana Prof. hajitambui anacho kitaka nini hasa katika siasa za nchi hii. Maana yeye alichehelewesha sana kumkubali Dr. Slaa asitangazwe kuwa Mgombea rasm wa UKAWA hadi pepo mchafu akaingilia kati, mambo yakaharibika. Angemkuubali Dr. mapema, leo hii anguekuwa Majaliwa wa sasa au Prof. Mpango. Prof. ameveruga sana upinzani na Mungu hatamsamehe kwa dhambi hii.
lipumba ni mpinzani anayejitambuaa kuliko wapinzani wote unawajua wewe ndo maana aliwambiaa katiba katiba katiba tupiganie kwanza mengine badae wenzake wakamsaliti hebu angalia kilichotokea
 
Lipumba Mjanja Anapiga pesa tu.
Ametumwa Kazi Kuua Upinzani
Ila Jamaa Anapiga Kazi Kwa Ulinzi Anaopewa tu Nakwisha Kabisa.
 
"""
season...../targets...../lipumba si mtaka urais na mabadiliko ya kweli,huyu anawachezea watu akili tu,miaka na miaka ipite...huku akilipwa malipo ya kazi yake maalum.
lipumba ni mtaka mabadiliko pekee ndio maana ndani ya ukawa agenda yake kuu ilikuwa ni kupigania katiba ya wananchi

ila chadema ndio waliomsaliti kwa kumtangaza mgombea uraisi ambae aliyeipinga katiba ya wananchi sasa hapo ni nani mkweli ni nani muongoo
 
Aanzishe chama chake kama Zitto Kabwe ndo atuonyeshe upinzani wake wa kweli sio kurudi alikotoka na kung'ang'ania kwa watu wasiomtaka (ambao kwa bandiko lako hili unamaanisha sio wapinzani wa kweli). Zitto aliweza kujitoa na kusajili upya aina ya watu alioona wanaendana nae, je kwa nn huyu Mwenyekiti wa Lubuva asianzishe Chama chake na yeye ili asajili wale anaoona wanaendana nae?
kuanzisha chama sio tijaa lipumba ana uwezo wa kuanzisha chama chake na akawa na wafuasi ila mnachoshidwa kuelewa ni kwamba ni nini agenda ya upinzani
 
Sawa je? Alipomtembelea rais ikulu alimshauri kuhusu katiba mpya? Au alienda kuomba kibarua?
 
Back
Top Bottom