Maua kilasa
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 1,040
- 561
Kuna gharama kubwa ya kuvunja contract. Ila alichofanya mkuu kuhusu mchnga ni sawa ila amesoma mkataba?
Wakati ule Zitto anasema mchanga usisafirishwe Alikuwa anamaanisha nini?Utaambiwa kipo kahama, subiri lumumba waje.
AMA KWELI UJINGA NI ZAIDI YA MZIGO......... RUDI SHULE NDUGU, JAPO ELIMU YA WATU WAZIMA...Chadema wameweza kufanya haya kwa nchi yetu kwa muda mfupi Sana mara tu baada ya Lowasa kujiunga na chama chao,.
Hata kabla ya kushika dola chadema tumekuwa na ujasiri wa kuifanyia haya nchi yetu pendwa Tanzania.
1. Kutetea kila aina ya wakwepa kodi
2. Kutetea na kupokea kila aina ya fisadi wa nchi hii
3. Kupinga watu wasilipe kodi.
4.Kutetea wauza madawa ya kulevya na kuwakumbatia kwenye chamá chetu.
5. Kupinga hadharani viroba visifungiwe, hivyo kuhamasisha Viana waendelee kutumia viroba.
6. Kupinga serikali kubana matumizi ,ikiwemo kujenga hosteli za bei nafuu pale UDSM.
7. Kupinga serikali kuzuia safari za nje.
Maana yake sisi tukishika dola, watu watasafiri nje kama wanavyotaka.
8. Kupinga mkandarasi aliyechelewesha kwa makusudi mradi wa maji Lindi asinyang'anywe passport .Hivyo sisi tukiingia madarakani wakandarasi hata wakichelewesha mradi itakuwa poa tu.
10. Tumeweza kuwachangia pesa watu wanao tukana matusi mitandaoni ili wasiende jela.
11. Tumeweza kutetea wazembe kazini, na kuwakumbatia wote waliotumbuliwa.
12. Sasa hivi wanapinga zuio la rais la kutosafirishwa mchanga wa dhahabu nje ya nchi. Maana yake hawa wapinzani wanataka dhahabu yetu iendelee kusafirishwa nje ya nchi??
Swali la kujiuliza kama wameweza kufanya haya kabla ya kushika dola, je tukishika dola itakuwaje??
Watanzania tuwakatae
Ndo kazi ya kufanya ulionayo.Last Activity:
1 minute ago
Joined:
Yesterday
Messages:
11
Likes Received:
5
Trophy Points:
5
Liked:
Mtabadili ID weeeee! Lakin nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe
wauza Ngada MwafaaMember
#1
Today at 1:42 PM
Joined: Yesterday
Messages: 11
Likes Received: 4
Trophy Points: 5
Mawakala wa mafisadi mnajulikanaAMA KWELI UJINGA NI ZAIDI YA MZIGO......... RUDI SHULE NDUGU, JAPO ELIMU YA WATU WAZIMA...
Mkuu kwenye dhahabu hakuna kitu cha kutupwa. Kuna madini mengine mengi tu ambayo yapo pamoja na huo mchanga. Kontena moja la mchanga linaweza kuuzwa mpaka kwa thamani ya tshs milioni 800 mpaka bilioni moja.Kama huo mchanga hauna faida, wanausafirisha wa nini.
Chadema acheni kutetea wizi
Kichaa kapewa rungu, anajiona ndugu yake na YesuMambo unayoyasema ni ya kusadikika..
Lakin nikisem magufuli amefanya haya muda mfupi..
1.kulinda watu wasio kuwa na vyeti.
2.ukifuata haki na sheria kwake adui
3.kapunguza masirahi kwa watumish wa umma na kupunguza ari ya kufanya kazi nchini
4.kazuia democrasia kukua nchini na badala yake kapandikiza bengu ya autocratique leadership nchin
5.kwa hofu ya kupoteza urais kafunga wapinzani kadhaa hadi sasa.
6.ameshindwa kutengeneza tafsri haris ya kauli mbiu ya hapa kazi tu na viwanda badala yake imekuwa serkal ya" hapa kiki tu"..
7.serkali imekosa cha kusimamia badala yale rais amejikuta anahangaikana badhite mud wote.
8.ameweza kushawushi chama kihakikishe anakuwa mgombea pekee 2020 ndanj ya chama nk..
Enhe! Rais wenu amechukua hatua gani?!!Hv unajua bar moja ya dhahabu ina uzito gani? Unajua ni bar ngapi huwaga zinafichwa kwny kuzihakiki na mtu wa TMAA unajua wanamuonyeshaga nn TRA ofisa mpk ana issue export permitt?? Unajua concentrate ya gold kwny ule mchanga? Kwny hili tulia kuna watu wako jikoni wanaona haya madudu uko kwenye migodi
Chadema wameweza kufanya haya kwa nchi yetu kwa muda mfupi Sana mara tu baada ya Lowasa kujiunga na chama chao,.
Hata kabla ya kushika dola chadema tumekuwa na ujasiri wa kuifanyia haya nchi yetu pendwa Tanzania.
1. Kutetea kila aina ya wakwepa kodi
2. Kutetea na kupokea kila aina ya fisadi wa nchi hii
3. Kupinga watu wasilipe kodi.
4.Kutetea wauza madawa ya kulevya na kuwakumbatia kwenye chamá chetu.
5. Kupinga hadharani viroba visifungiwe, hivyo kuhamasisha Viana waendelee kutumia viroba.
6. Kupinga serikali kubana matumizi ,ikiwemo kujenga hosteli za bei nafuu pale UDSM.
7. Kupinga serikali kuzuia safari za nje.
Maana yake sisi tukishika dola, watu watasafiri nje kama wanavyotaka.
8. Kupinga mkandarasi aliyechelewesha kwa makusudi mradi wa maji Lindi asinyang'anywe passport .Hivyo sisi tukiingia madarakani wakandarasi hata wakichelewesha mradi itakuwa poa tu.
10. Tumeweza kuwachangia pesa watu wanao tukana matusi mitandaoni ili wasiende jela.
11. Tumeweza kutetea wazembe kazini, na kuwakumbatia wote waliotumbuliwa.
12. Sasa hivi wanapinga zuio la rais la kutosafirishwa mchanga wa dhahabu nje ya nchi. Maana yake hawa wapinzani wanataka dhahabu yetu iendelee kusafirishwa nje ya nchi??
Swali la kujiuliza kama wameweza kufanya haya kabla ya kushika dola, je tukishika dola itakuwaje??
Watanzania tuwakatae
Huu ushauri mpe mboe aache kuuza ngadaEnhe! Rais wenu amechukua hatua gani?!!
Kwenda bandarini kutafuta kiki?!!
Govt ihakikishe upatikanaji wa umene wa uhakika, kisha wawalete wawekezaji wa kujenga refinery bas. Mambo ya kwenda bandarini kusaka kiki haitosaidia chochote, zaidi ya kuwaste front page za magazeti.
Huu ushauri mpe mboe aache kuuza ngada
Mmeuwa vijana wetu sana kwa kuwageuza matejaAsiyeuza ndio huyu anayevamia ofisi za watu kwa bunduki? Na kuwanganisha ktk list ya wauza ngada.
Yaani bongo wauza ngada ndio wastaarabu zaidi ya wazuia ngada
Fikra Butu!!!Chadema wameweza kufanya haya kwa nchi yetu kwa muda mfupi Sana mara tu baada ya Lowasa kujiunga na chama chao,.
Hata kabla ya kushika dola chadema tumekuwa na ujasiri wa kuifanyia haya nchi yetu pendwa Tanzania.
1. Kutetea kila aina ya wakwepa kodi
2. Kutetea na kupokea kila aina ya fisadi wa nchi hii
3. Kupinga watu wasilipe kodi.
4.Kutetea wauza madawa ya kulevya na kuwakumbatia kwenye chamá chetu.
5. Kupinga hadharani viroba visifungiwe, hivyo kuhamasisha Viana waendelee kutumia viroba.
6. Kupinga serikali kubana matumizi ,ikiwemo kujenga hosteli za bei nafuu pale UDSM.
7. Kupinga serikali kuzuia safari za nje.
Maana yake sisi tukishika dola, watu watasafiri nje kama wanavyotaka.
8. Kupinga mkandarasi aliyechelewesha kwa makusudi mradi wa maji Lindi asinyang'anywe passport .Hivyo sisi tukiingia madarakani wakandarasi hata wakichelewesha mradi itakuwa poa tu.
10. Tumeweza kuwachangia pesa watu wanao tukana matusi mitandaoni ili wasiende jela.
11. Tumeweza kutetea wazembe kazini, na kuwakumbatia wote waliotumbuliwa.
12. Sasa hivi wanapinga zuio la rais la kutosafirishwa mchanga wa dhahabu nje ya nchi. Maana yake hawa wapinzani wanataka dhahabu yetu iendelee kusafirishwa nje ya nchi??
Swali la kujiuliza kama wameweza kufanya haya kabla ya kushika dola, je tukishika dola itakuwaje??
Watanzania tuwakatae
Chadema wameweza kufanya haya kwa nchi yetu kwa muda mfupi Sana mara tu baada ya Lowasa kujiunga na chama chao,.
Hata kabla ya kushika dola chadema tumekuwa na ujasiri wa kuifanyia haya nchi yetu pendwa Tanzania.
1. Kutetea kila aina ya wakwepa kodi
2. Kutetea na kupokea kila aina ya fisadi wa nchi hii
3. Kupinga watu wasilipe kodi.
4.Kutetea wauza madawa ya kulevya na kuwakumbatia kwenye chamá chetu.
5. Kupinga hadharani viroba visifungiwe, hivyo kuhamasisha Viana waendelee kutumia viroba.
6. Kupinga serikali kubana matumizi ,ikiwemo kujenga hosteli za bei nafuu pale UDSM.
7. Kupinga serikali kuzuia safari za nje.
Maana yake sisi tukishika dola, watu watasafiri nje kama wanavyotaka.
8. Kupinga mkandarasi aliyechelewesha kwa makusudi mradi wa maji Lindi asinyang'anywe passport .Hivyo sisi tukiingia madarakani wakandarasi hata wakichelewesha mradi itakuwa poa tu.
10. Tumeweza kuwachangia pesa watu wanao tukana matusi mitandaoni ili wasiende jela.
11. Tumeweza kutetea wazembe kazini, na kuwakumbatia wote waliotumbuliwa.
12. Sasa hivi wanapinga zuio la rais la kutosafirishwa mchanga wa dhahabu nje ya nchi. Maana yake hawa wapinzani wanataka dhahabu yetu iendelee kusafirishwa nje ya nchi??
Swali la kujiuliza kama wameweza kufanya haya kabla ya kushika dola, je tukishika dola itakuwaje??
Watanzania tuwakatae
Alikuwa Karamagi, bepari la Kihaya, swahiba mkubwa wa Lowasa, hao ndio wangechukia nchi mamvi angebahatika kuingia Ikulu.Mikataba waliyoingia na hao wawekezaji inasemaje kuhusu mchanga kusafirishwa nje? Kama inaruhusu/hairuhusu, lini ilirekebishwa ikashindikana kutekelezwa mpaka mchanga ukamatwe? na je nani iliyeingia hiyo mikataba upande wa nchi yetu? Hapa kitakachofuata ni kushitakiwa na kulipa fidia ya ajabu ! Ngoja tusubiri.
Wauza unga hamtampata BashiteMagufuli ni dikteta Uchwara tu aendelee kumkumbatia Bashite kwa maslahi yao binafsi yatamtokea puani siku sio nyingi.