Kasi ya Rais Magufuli yageuza upinzani nchini

Sasa hivi Zito kabwe anataka mchanga wa dhahabu usafirishwe kwenda nje ya nchi
Mikataba waliyoingia na hao wawekezaji inasemaje kuhusu mchanga kusafirishwa nje? Kama inaruhusu/hairuhusu, lini ilirekebishwa ikashindikana kutekelezwa mpaka mchanga ukamatwe? na je nani iliyeingia hiyo mikataba upande wa nchi yetu? Hapa kitakachofuata ni kushitakiwa na kulipa fidia ya ajabu ! Ngoja tusubiri.
 
Chadema wameweza kufanya haya kwa nchi yetu kwa muda mfupi Sana mara tu baada ya Lowasa kujiunga na chama chao,.

Hata kabla ya kushika dola chadema tumekuwa na ujasiri wa kuifanyia haya nchi yetu pendwa Tanzania.

1. Kutetea kila aina ya wakwepa kodi

2. Kutetea na kupokea kila aina ya fisadi wa nchi hii

3. Kupinga watu wasilipe kodi.

4.Kutetea wauza madawa ya kulevya na kuwakumbatia kwenye chamá chetu.

5. Kupinga hadharani viroba visifungiwe, hivyo kuhamasisha Viana waendelee kutumia viroba.

6. Kupinga serikali kubana matumizi ,ikiwemo kujenga hosteli za bei nafuu pale UDSM.

7. Kupinga serikali kuzuia safari za nje.

Maana yake sisi tukishika dola, watu watasafiri nje kama wanavyotaka.

8. Kupinga mkandarasi aliyechelewesha kwa makusudi mradi wa maji Lindi asinyang'anywe passport .Hivyo sisi tukiingia madarakani wakandarasi hata wakichelewesha mradi itakuwa poa tu.

10. Tumeweza kuwachangia pesa watu wanao tukana matusi mitandaoni ili wasiende jela.

11. Tumeweza kutetea wazembe kazini, na kuwakumbatia wote waliotumbuliwa.

12. Sasa hivi wanapinga zuio la rais la kutosafirishwa mchanga wa dhahabu nje ya nchi. Maana yake hawa wapinzani wanataka dhahabu yetu iendelee kusafirishwa nje ya nchi??

Swali la kujiuliza kama wameweza kufanya haya kabla ya kushika dola, je tukishika dola itakuwaje??

Watanzania tuwakatae
wasiwasi wa nini kama mlishinda uchagizi?
 
Swali la kujiuliza kama
kufanya haya kabla ya kushika dola, je tukishika dola itakuwaje?? Jipange
 
Mikataba waliyoingia na hao wawekezaji inasemaje kuhusu mchanga kusafirishwa nje? Kama inaruhusu/hairuhusu, lini ilirekebishwa ikashindikana kutekelezwa mpaka mchanga ukamatwe? na je nani iliyeingia hiyo mikataba upande wa nchi yetu? Hapa kitakachofuata ni kushitakiwa na kulipa fidia ya ajabu ! Ngoja tusubiri.
Hii ndio chadema uchwara ya kutetea rasilimali zetu kuibiwa
 
Wakati 2007 alitimuliwa bungeni kisa alikuwa anatetea madini yetu kuwa tunaibiwa sana..na akasema makampuni yameingia mikataba miaka ambayo yamefanya tathmini na kujua baada ya miaka yatakuwa yamemaliza madini kwenye mgodi husika..leo anasema yaachwe hatuna uwezo wa kuchuja..
ZZK A VERY UNRELIABLE CREATURE.EVERYBODY TAKE CARE !
 
We kasome maaanake elimu haijakusaidia
Kwa elimu yko bora na Vyeti vya kueleweka,, Hebu twambie Umegundua Siraha gani mwenzetu iliyoleta ufanisi ktk vita?

Au Umegudua kifaa gani kilichosaidia kuleta ufanisi bora ktk Maabara zetu ?

Kama katika tafiti yako ulitumia Copy and Paste ya wasomi waliokutangulia hivi wakiitwa wasomi kesho waende pale Ikulu Wakanywe Supu na Mh. Rais na wew utaenda?
 
Chadema wameweza kufanya haya kwa nchi yetu kwa muda mfupi Sana mara tu baada ya Lowasa kujiunga na chama chao,.

Hata kabla ya kushika dola chadema tumekuwa na ujasiri wa kuifanyia haya nchi yetu pendwa Tanzania.

1. Kutetea kila aina ya wakwepa kodi

2. Kutetea na kupokea kila aina ya fisadi wa nchi hii

3. Kupinga watu wasilipe kodi.

4.Kutetea wauza madawa ya kulevya na kuwakumbatia kwenye chamá chetu.

5. Kupinga hadharani viroba visifungiwe, hivyo kuhamasisha Viana waendelee kutumia viroba.

6. Kupinga serikali kubana matumizi ,ikiwemo kujenga hosteli za bei nafuu pale UDSM.

7. Kupinga serikali kuzuia safari za nje.

Maana yake sisi tukishika dola, watu watasafiri nje kama wanavyotaka.

8. Kupinga mkandarasi aliyechelewesha kwa makusudi mradi wa maji Lindi asinyang'anywe passport .Hivyo sisi tukiingia madarakani wakandarasi hata wakichelewesha mradi itakuwa poa tu.

10. Tumeweza kuwachangia pesa watu wanao tukana matusi mitandaoni ili wasiende jela.

11. Tumeweza kutetea wazembe kazini, na kuwakumbatia wote waliotumbuliwa.

12. Sasa hivi wanapinga zuio la rais la kutosafirishwa mchanga wa dhahabu nje ya nchi. Maana yake hawa wapinzani wanataka dhahabu yetu iendelee kusafirishwa nje ya nchi??

Swali la kujiuliza kama wameweza kufanya haya kabla ya kushika dola, je tukishika dola itakuwaje??
Watanzania tuwakatae

MKUU UKIONGELEA WAPINZANI MAANA YAKE UNAZUNGUMZIA MAREHEMU WA KISIASA KWA TAFSIRI YANGU MTU KAMA ZITO UNAWEZA KUSIKILIZA UPUMBAVU WAKE KWA MTU MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZI KUSIKILIZA. PIA UPUUZI WA KITILA MKUMBO ASIYEJUA LUGHA NI TATIZO LA UELEWA KWA WATANZANIA UTAFITI WA MTOTO WA DRSA LA KWANZA UKIMUULIZA NIKISEMA KISWAHILI UTAELEWA AU KIINGEREZA LEO HII LI MTU LINALOITWA PROFESA HALIWEZI KUTAMBUA HILO HATA KWA WATOTO WA BABA ZAKE NAKO AMESHINDWA KUJUA KUWA LUGHA NI TATIZO LEO UNAMPA NCHI LABDA UWE TAAHIRA WAMCHUKUE NA KIBARAKA WAO NAPE WALIYEDHANI WAKIMTUMIA WATAFURAHI WAO NA WAUZA UNGA WENZAO AENDE MWANAKWENDA HA CCM MILELE ITATAWALA
 
Hii ndio chadema uchwara ya kutetea rasilimali zetu kuibiwa

Kaka jifunze kutetea jambo kwa tija na taratibu... ! Mke anaweza akakudharau lakini si busara kumsukumia konde la usoni au teke la tumboni....!!! Watakao kupinga ktk utaratibu wako huo inamaana wanakubaliana na dharau aloifanya mkeo??!!

Iliombwa mikataba ije bungeni mkasema
ni siri kubwa sana haiwezekani, utaratibu ndio huo unaanza na mikataba, mkisha rekebisha linafuata suala la ujenzi wa kiwanda/maabara husika ndipo unazuia mchanga kwenda nje.... Leo ACACIA wanatengeneza hasara ya $1,000,000 kila siku hata km wanatukosea ktk mikataba je unaamini busara ndio hii??
 
Mambo unayoyasema ni ya kusadikika..

Lakin nikisem magufuli amefanya haya muda mfupi..
1.kulinda watu wasio kuwa na vyeti.
2.ukifuata haki na sheria kwake adui
3.kapunguza masirahi kwa watumish wa umma na kupunguza ari ya kufanya kazi nchini
4.kazuia democrasia kukua nchini na badala yake kapandikiza bengu ya autocratique leadership nchin
5.kwa hofu ya kupoteza urais kafunga wapinzani kadhaa hadi sasa.

6.ameshindwa kutengeneza tafsri haris ya kauli mbiu ya hapa kazi tu na viwanda badala yake imekuwa serkal ya" hapa kiki tu"..

7.serkali imekosa cha kusimamia badala yale rais amejikuta anahangaikana badhite mud wote.
8.ameweza kushawushi chama kihakikishe anakuwa mgombea pekee 2020 ndanj ya chama nk..
Nifafanulie kwenye mamba nne maana naona unafuata mikumbo bila kufikiria vzr
 
Ukiona MTU hajui nchi yetu kuwa inamatatizo ya uongozi,basi ujue wewe ndiyo tatizo,
Cc.Lema
 
Kwa elimu yko bora na Vyeti vya kueleweka,, Hebu twambie Umegundua Siraha gani mwenzetu iliyoleta ufanisi ktk vita?

Au Umegudua kifaa gani kilichosaidia kuleta ufanisi bora ktk Maabara zetu ?

Kama katika tafiti yako ulitumia Copy and Paste ya wasomi waliokutangulia hivi wakiitwa wasomi kesho waende pale Ikulu Wakanywe Supu na Mh. Rais na wew utaenda?

HATA HUYO KIBARAKA WAO WANAYEMUUNGA MKONO KUWA ANA VYETI MBONA VYETI VIMESHINDWA KUMSAIDIA ABAKI KWENYE CABINET??? ukitaka kujua Elimu siyo vyeti angalia upumbavu aliousema KITILA MKUMBO kuwa hajui kuwa tatizo la elimu tanzania ni lugha ya kufundishia utafiti ambao angeanzia kwa baba zake kule iramba akisema kiingereza wanamuelewa au akisema kinyiramba na kiswahili ataeleweka kwa lipi kama uwezo huo wa kupambanua anaeleweka kwa lugha ipi hana basi hafai hata kuitwa Profesa.
 
Hapo hofu ni mkataba ambao ulishajazwa,kuwa ukiukatisa kwa mdomo tu ujue kuna hasara kama taifa utapaswa kuja kulipa baadae!!....so ussue sio mchanga bali madhara ya kitakachotokea baada ya hapo ..so tujifunze mafhara ya kusain mikataba isiyokuwa na mbele wala nyuma!
Kwa hiyo mlitaka afanyaje si ndo zito huyohuyo alikuwa anapiga kelele madini yetu yanachukuliwa serikali inaangalia tu leo hii kageuka tena duuuuuh
 
Akili za fisiem bwana kila kitu ni ndio mzee,hivi bombardier teyari zimewasaidia ndugu zako wa kule kijijini kujikimu kiuchumi? Au ile milion 50 kila kijiji mshapewa? Au mnasubulia 2019? Ule uhakiki uliokwamisha stahiki kwa watumishi hivi umeisha kweli? Au miezi miwili Bado? Laana zingine mnajitakia tu. Endeleeni kuaminisha watu kuwa mpo kwa ajili ya Wanyonge.
 
Back
Top Bottom