Karume na mabinti wa kiarabu Zanzibar

hivi Kambarage alipofuta uongozi wa kijadi na ukabila alitenda kinyume na haki za binadamu, unapokuwa kiongozi simamia unachoona kinafaa hata kama hakipendwi. wanaume wengi wa kiarabu wamekufa ktk mapinduzi na wengine kukimbilia Oman je wanawake wataolewa wapi kama sio kwa weusi
 
Karume was a forceful bully presiding over a mostly illiterate people in eager glee of tasting the hitherto mysterious arab flesh.Far from being a uniter, he was actually a human rights abuser and mass rape organizer.

There is evidence of rape and murder in the very Karume household.You can blame it on the Zeitgeist but I beg to differ.How this brutal dictator came to be hailed as a founding father of our nation and an East African statesman beats me.


Whom did he rape in his household?
 
Wakati ule madhali kulikuwepo na kambi kuu mbili zenye nguvu hapa duniani karume aliweza kufanya mauaji makubwa hata baada ya mapinduzi ya 1964 kwani kipindi kilichofuatia kilikuwa cha kuwalazimisha waarabu kuolewa na waafrika.Hili lilimpa shida sana Julius Nyerere lakini hata hivyo alifumba macho ili asimuudhi swahiba wake huyo katili mkubwa.

Hakuna ubaya wa kuona makabila kwa hiari kwani hata kabla ya ndoa hizo za maguvu kulikuwapo na waafrika wachache waliokuwa na wake wa kiarabu.Wote hawa walikuwa Waswahili ila tatizo ni kutumia mabavu.
Karume alivunja haki za binadamu na aliuawa si kwa ajili ya kuoa waarabu bali kwa kumuua mkwe wake Mwarabu na kisha kumdanganya shemeji yake kila alipokuwa akimuuliza kuhusu uhai wa baba yake.

Matokeo shemeji huyo Lt.Humud alimimima risasi na kuhakikisha anamwondoa uhai shemeji yake KARUME.
Zanzibar kuna mambo kumbe.ni muhimu sana kuijua historia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mmeawafanya watu watumwa kuwatafuna ndo mnaona issue? acheni hizo bhana.
 
Back
Top Bottom