Kariakoo: Polisi wafanikiwa kuwaua majambazi wanne baada ya majibizano ya risasi

Wazee tuache utani, haya mambo siyo ya kuyafanyia mzaha wala kuyashabikia kwa lolote. Tuanzishe vita ya kupinga vitendo hivi kwenye mitandao kwa kiwataja kwa majina tunaowahisi ili wafuatiliwe nyendo zao. Tukumbuke mchelea mwana kulia hulia yeye

Unawataja kwa nani? Usidhani watu hawawafahamu waharibu, ninachokiona hawana uhakika wa usalama wao pindi wakiwataja. Ninatamani kungelikuwa na chombo chenye weledi na kijachojali wanachi ili mtu akitoa taarifa awe salama asipigwe mnada!.
 
Hata wakiuwa sawa majambazi Hawana faida sisi tufanye kazi yale kirahisi
 
hao nao walikuwa kazini,kumbukeni ule msemo``teseka malaya ashibe``
 
kwa taarifa za awali .Hongera jeshi la polisi na Mungu awatie nguvu mfanye kazi kwa weled,

Lakini hao kweli ni majambazi, isije ikawa wamepigwa raia wema waliokua eneo la tukio kisha majambazi kutokomea
Uwe unaenda kuwaulizq waliokua wanaibiwaa eti wale ni majambazii
 
Wazee tuache utani, haya mambo siyo ya kuyafanyia mzaha wala kuyashabikia kwa lolote. Tuanzishe vita ya kupinga vitendo hivi kwenye mitandao kwa kiwataja kwa majina tunaowahisi ili wafuatiliwe nyendo zao. Tukumbuke mchelea mwana kulia hulia yeye
Tungekua wote na moyo huo uhalifu ungepungua sana katka maeneo tunayoishi.
 
Wakiwa na bunduki unataka wakamatwe vipi? Uwe unawaza na nje wa box

WAtu kama wewe huwa nawaita wapumbavu. Huna mafunzo ya kupambana na waharifu unatuletea hadithi za kawahani hapa!. Ungelikuwa na taaluma yoyote ya ulinzi na usalama usingeleta uharo wako hapa. Pumbavue!.
 
Ubashite unakusumbuaaa mtu mwenye silaha si wakumjeruhi ni wakumaliza ,,unaweza mshoot risasi ya mguu akaangu lakini bado anauweza wa kukudhuru. We ni bashite
 
kama alivyokuwa bashite mungu wa dar es salaam na mkulu mdogo wake yesu.
 
Ubashite unakusumbuaaa mtu mwenye silaha si wakumjeruhi ni wakumaliza ,,unaweza mshoot risasi ya mguu akaangu lakini bado anauweza wa kukudhuru. We ni bashite

Acha kuleta nadharia hapa!. Nenda kapate elimu kwanza ya kupambana na wahribu ndipo uje na hoja yako hapa. Unafahamu hapa JF kuna mada nyingi sana. Ustaarabu ni kujifunza kwa usioyoyajua, na kuchangia kwa unayoyafahamu. Usilazimishe hoja yako katika jambo lisilo fani yako. watu wasiofani ndiyo hulazimisha kufit kila mahali na kuend up kuonyesha how they are masters of none.
 
Naelewa ninachokuambia.
 
WAtu kama wewe huwa nawaita wapumbavu. Huna mafunzo ya kupambana na waharifu unatuletea hadithi za kawahani hapa!. Ungelikuwa na taaluma yoyote ya ulinzi na usalama usingeleta uharo wako hapa. Pumbavue!.
We ndo mpumbavu mwenye level ya PHD hivi jambazi mwenye silaha unataka umkamate kama kuku... Nakujua kabisa wewe unauwezo mdogo Wa kufikiri lakini Tumia huo huo uwezo wako mdogo kufikiri...
 
Mbona matukio ya ujambazi yanazidi kuongezeka jamani?Jana tu mwanza majambazi watatu chali.
Afu inaonekana polisi wetu wako njema kwenye shabaha....
 
Katika ha
Possible kabisa... Mana majambazi hawana mafunzo ya kutosha so wao ni wanapiga hovyo hovyo tu ila askari wanapiga kwa target maana wana mafunzo ya kutosha
hayhayo uliyo yaandika ulidanganywa na nani?? Nadhan wewe unaongelea vibaka wenye silaha sio majambazi mkuu,
 
Back
Top Bottom