Waliosema kiingereza ni janga la Taifa hawajakosea imefika wakati elimu kuanzia primari iwe kwa kiingereza mahausigeli na mama mboga wa Malawi,Zambia,Kenya na Uganda wanaongea kiingereza kizuri kushinda Kanumba.Wakina Kanumba ni wengi tukubali kiswahili 'will take us nowhere' na tutaishia kuogopa soko huru la ajira kwakuwa hatuko 'competetive'.
Nawaonea huruma sana wale wanaopigania kiswahili kitumike hadi universities. Unang'ang'ania lugha yako wakati kiuchumi unawategemea wenye lugha zao.Waliosema kiingereza ni janga la Taifa hawajakosea imefika wakati elimu kuanzia primari iwe kwa kiingereza mahausigeli na mama mboga wa Malawi,Zambia,Kenya na Uganda wanaongea kiingereza kizuri kushinda Kanumba.Wakina Kanumba ni wengi tukubali kiswahili 'will take us nowhere' na tutaishia kuogopa soko huru la ajira kwakuwa hatuko 'competetive'.
Where will English take you to?
Tafadhali tofautisha lugha na maarifa. Binafsi ningefurahi siku moja kusikia mtu anasema kuwa mimi ni mchumi ua mhandisi lakini siwezi kuzungumza kiingereza kama ambavyo tunakiri bila tatizo kuwa hatuwezi kuzungumza kifaransa. Tukifikia hapo tutakuwa tumetatua walau tatizo muhimu kwenye suala la lugha na maarifa. Sisi tunakosa maarifa tunasingizia lugha. Hivyo vitu siyo sawa! Kwa hali ilivyo sasa ni vurugu tupu. Kiingereza hatuji na hata kiswahili pia.
Kesharufi Bongo jamani msitoane macho, hatawaaibisha tena!
Kwani wewe hujui kuwa kingereza ni "JANGA LA KITAIFA"?
English will take you to wider part of the international market. Huwezi tegemea lugha yako wakati kiuchumi hujakamilika.
Mitoto inatoa EXCUSES za kitoto eti sio lugha yetu sijui vile, kama unajua hujui unaenda kufanya nini?. Shame on all of you who supported Kanumba's presence in that House.
kumbuka alipata mwaliko, mbona hukupata wewe na mimi. Yaani hakuna aliyekuona. Sometimes its better not to disclose/air-out things that you think you know.
jamani wana JF hii ni miujiza.mbona kuna vijana wengi bogo wanaongea kingereza vizuri,ikawaje wakamuona Kanumba au coz he is star!
Is wider International market=English? Where are the Chines and Japanese?
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Who is your favourite housemate so far?[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Kevin[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]18.87 % (127)[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Quinn[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]14.86 % (100)[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Jeremy[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]12.04 % (81)[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Hannington[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]10.40 % (70)[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Itai[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]9.66 % (65)[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Kaone[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]8.62 % (58)[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Edward[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]7.13 % (48)[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Wayoe[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]5.94 % (40)[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Phil[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]3.86 % (26)[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Teddy[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]3.71 % (25)[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Yacob[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]2.97 % (20)[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Leonel[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]1.93 % (13)[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Total votes: 673[/FONT]
Where is Kanumba in the BB House chart above?
Tatizo letu hapa ni kuwa wengi wetu mtu akiwa 'STAR' tunamwekea viwango vyetu wenyewe na tunalazimisha awe kama tunavyotaka.watanzania wengi kingereza ni tatizo lakitaifa...hivyo sioni tatizo kwa Kanumba kukossea/kubabaika lungha ya wenzetu....cha msingi hapa ni kwamba tuchukue hii kama changamoto kwa wasanii wengine kwamba at least tujifunze ile basic english....ya kawaida tu ya kuombea maji ya darasa la saba(shule za walala hoi!!) itakusaidia sana if u are aiming higher in your carrier because in one way or another u will almost always need to use english in the international arena....please wake up tusilaumu tu hapa kwa sababu u are alone with ur computer so u can comment whatever u want lakini ww unakijua? au mimi maimuna zaidi!!! big up Kanumba I am ur fan but my comment is very neutral...work hard pal!